EWURA: Taarifa kwa umma kuhusu bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia 1 Desemba 2021

Hakuna chaka zuri la kujificha kwa serikali dhaifu ya CCM kama chaka la soko la dunia.Utasikia mabati,gesi,sukari na kadhalika bei ipo juu kwa sababu Soko la dunia halijatulia.
 
Magufuli alizaliwa na kuikuta Tanzania na amekufa na kuiacha Tanzania hakuna mtu mkubwa zaidi ya Tanzania yenyewe muendeele kumkumbuka tu.

Halafu mko uchumi wa kati why lita moja kwa 0.97 $ iwashide? Huku tunanunua hadi 1.99$ kwa lita
Nchi gani?usikute ni uarabunu ambapo dola ipo chini.
 
Duuuh nmeagiza gari, ila kwa bei hizi za mafuta nimepigwa Ganzi Nzito Saaana.
Bora wewe umeagiza unaweza kuuza..tatizo ambao tushazoea halafu tuna yale dizaini za majini😀 gari zingine sio, utadhani zina ubia na ewura kwa kunywa wese
 
Daah hii bei ya mafuta inakokwenda bila Rais kuingilia kati kufuta baadhi ya kodi kama za ewura na aina zingine kodi korofi Watanzania wataendelea kupata maumivu makali ya bei ya mafuta maana huko soko la Dunia kupanda ni kawaida tuu ila na mzigo uliopo unaongezeka zaidi...
 
Muacheni mama apige kazi! Sukuma gang mnalalamika sana 😅😅😅 sie wa Msogani hatuumii na bei elekezi yapande mpaka yafike 50,000 per litre! Tuna fedha za kutosha 😅
Gesi leo ya kununua 58,000/- (Oryx) na 52,000/- (mian)..!!! Tutakoma
 
Somaa hiyoooooo
IMG_20211201_175701_315.jpg
 
Back
Top Bottom