Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 31,871
- 33,290
Majizi tuTAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI KUANZIA JUMATANO, TAREHE 1 DESEMBA 2021
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 1 Desemba 2021. Pamoja na kutambua bei hizo, ni muhimu kuzingatia yafuatayo:-