EWURA: Taarifa kwa umma kuhusu bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia 1 Desemba 2021

Mbona umefura sana?!
Magufuli alizaliwa na kuikuta Tanzania na amekufa na kuiacha Tanzania hakuna mtu mkubwa zaidi ya Tanzania yenyewe muendeele kumkumbuka tu.

Halafu mko uchumi wa kati why lita moja kwa 0.97 $ iwashide? Huku tunanunua hadi 1.99$ kwa lita
 
Mda mwingine muwe mnaficha ujinga na upumbavu wenu! Huyo Magufuli aloshafariki mnamleta kwenye mjadala wa nini? Huyu mama kama Anashindwa kujisimamia kwenye masuala nyeti kama ya mafuta na gesi nayo imepanda lazima ukweli usemwe! Ila zio kila anayemkosoa mama ni team Magufuli hapo tunaharibu Sana!
 
Nawalaumu sana EWURA kwani nilitaka wapandishe mpaka Tsh 12,500/= kwa Lita ili Akili zitukae vyema Watanzania..
 
Yapande tuheshimiane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…