EWURA: Hifadhi ya Petrol ya iliyopo Tanzania ni ya siku 27, jiandaeni kwa bei mpya Jumanne Aprili 5, 2022

Technically when inflation hits 3 % or 4% is not bad for any country economy . coz always it tends to bust up investment which later promotes more jobs and final improves living standards of the people.

But when inflation hits double digits like 10% . then is only moments people will go to the market with bundles of cash ( money ) in the backet and retunt back to their homes with only few goods in the pocket.

But when inflation hits more than 15% , and cause the price of oil as well as foods to rise up ( like what is happaning right now in Tanzania ) that is when we are going to say this country is experiencing hyper inflation . coz the price will be rising up everyday if any measures of dealing with the situation will no be taken right away.
 
Kwa hali ya sasa hivi, hizo ni bei za kawaida duniani;


Bei ya Tsh 2,861 kwa lita ni sawa na $4.66 kwa galoni ambayo kwa leo hii ni bei ya kawaida sehemu nyingi za Marekani. Jana nilipita kituo fulani ambacho kinasemekana ndicho kinauza bei ya chini sana nikiwa na kuponi ya senti 12 kwa galoni, nikaongezea kama galoni 18 kwenye mkoko wangu ambazo nitatambelea kwa siku kama 7 hivi kwa kuchoma karibu $70 (=TSh160,000).





 
Basi hali ni mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani,siyo Tanzania,elfu tatu au elfu mbili miatisa ni kubwa sana,kwa fedha ya Tanzania
 
Kama mnaona hali ngumu pakini vyombo vyenu vya moto

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…