Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Mmh. Rafiki akili zinahama huku simu zinakumbukwa lol.

Mie naona si tabia njema. Ila kwa mbaali najiwazia kwa nini haya mambo ni kwa wale wapenzi na sio baina ya Mke na Mume kwa nini?

Au wapenzi wanataka akiba ya silaha za maangamizi ili siku ikitokea kibuti basi zitumike. Teh.

Mwanzo wanakuwa hawana mawazo hayo ya kuzisambaza hizo vedeo na picha, movie la kihindi linaanza pale wanapokwaruzana tu na kutokuelewana ndiyo zinaachiwa sasa.

Ila sio poa kabisa yani
 
Mwingine anategesha camera kwa siri pembeni we hujui!

Wengine ndo hao wapuuzi wanaokubali kupigwa eti asizirushe, simu hushikwa na watu wengi sana u never know,kuna kuibiwa simu n.k!
Huyo Dada ni kichaa
Wala sio kichaa, tena ni mzuri na msomi kbs. Sijui mpoje dada zetu mnarubunika kirahisi mno!
 
Ujue kutiana mkiamua kujifungia ipasavyo mkatulia vizuri hadi mkatokwa na maneno ya lugha hata hamjui mnaongea nini yataka faragha sana. Sasa mara simu inaita, mara huyu anapiga picha, mara anarecord- muda huo sina kwakweli ni bora tu nit0mBe godoro khaaa!
Hahahaaa. Lol.

Kweli kabisa rafiki mapenzi yanahitaji faragha na hayo ya kupigana pigana mipicha hata sio aiseee.
 
Hahaaaa. Lol.

Bora huwa unajiongeza rafiki sababu mimi kama mimi pia nimewaza kama wewe sababu saa nyingine hiyo simu yaweza pokelewa ikawa ya madeni ukajikuta ukitoka hapo huo mshedede ushasinzia sasa mpaka kuanza kuuamsha tena lol.

Ni vyema muda ule usiingiliane na jambo aiseee.

Hahahahahahaha, sijasoma Hapo juu nimecheka tu sister langu la nguvu hahahahah aiseeeee!
 
Mwanzo wanakuwa hawana mawazo hayo ya kuzisambaza hizo vedeo na picha, movie la kihindi linaanza pale wanapokwaruzana tu na kutokuelewana ndiyo zinaachiwa sasa.

Ila sio poa kabisa yani
Na wenye tabia hizo ni nyie ndugu zetu Me sa sijui kwa nini huwa hamna tabia ya kukubali matokeo?
 
Kuna wengine wanatuma bila hata ya kuomba,mi kuna dada tulikua hatujaonana kwa muda,kumtext tu nimekumiss kanitumia picha kibao,nikazifuta muda huo huo!
Ndo uanaume huo siyo mwingine hasira zakeee anaamua apost Picha zakoo

Mm nahisi mwanaume anayepost ndo unajiharibia demu gani atakubali tena ajekwako kama una tabia ya kupost pichaaaa ila kwa upande wa mwanamke utakuwa umemfungulia njiaaaa
 
Ndio hapo rafiki. Akili inahama kabisa ndio sababu unakuta mtu anahangaika kuliko kiwango cha Mbalizi mwenyewe kumbe lengo baadae aonekane amejua kumshughulikia kumbe hamna kitu.
Hao hao wenye muda wa kupigana picha. Niache kukusugua tusuguane tukasuguka kweli kweli nianze kuhangaika na picha! Thubutuuuuuuuu
 
Ndo uanaume huo siyo mwingine hasira zakeee anaamua apost Picha zakoo

Mm nahisi mwanaume anayepost ndo unajiharibia demu gani atakubali tena ajekwako kama una tabia ya kupost pichaaaa ila kwa upande wa mwanamke utakuwa umemfungulia njiaaaa
Kuna wengine wanaona labda akimtumia mpenz wake labda ndio kumuonesha kuwa anampenda sana!
 
Back
Top Bottom