Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Wewe ukiwa wa hivi, wenzio ni wa vile, sisi ndio tumepata nafasi ya kuwajua vizuri nyinyi. Ona nandy kajichukua mwenyewe kavujisha mwenyewe.. Tizama wanawake wengine mitandaoni wanavyojianika wenyewe kwa hiyari yao, bado tulaumiwe sie kweli!
Yaani sie watu sie sijui hata tukoje
 
Unakuta mwanamke anakutumia picha yupo uchi kbs kwa kudai eti kamiss unavompelekea-ga moto. Leo wanakuja kutulaumu wanaume

Nikizipata nazedete bila kuchelewa

Mkuu mimi huwa sizidiliti muda huo huo nakaa nazo kidogo kwa muda kama wa siku mbili hiv halafu nazifuta.

Anakutumia sms ya kawaida ingia Wassap kuna kitu nimekutumia ukiingia unakutana nazo hizo wadada wenyewe mbili sometimes hazimo
 
Hahahaha mkuu Hapo umekazia point moja ya msingi sana Kwa bahati mbaya spare tairi nipo tunafunga tunaendeleza gurudumu na safari ya maisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unakuta mwanamke anakutumia picha yupo uchi kbs kwa kudai eti kamiss unavompelekea-ga moto. Leo wanakuja kutulaumu wanaume

Nikizipata nazedete bila kuchelewa
Wachache mko hvyo wengine wanazi expose
 
Back
Top Bottom