Ewe Mdada, kwa nini mpaka leo bado hujaolewa?

aaaah wapi? Hata mimi nina digrii ya kuwakataa watongozaji
Eti amu, hebu njoo pande hii..... Huyu tabibu ana jeuri ya kukataa tongozo langu? Hebu mkumbushe nlivopata shida ya kumkimbia mke wa Museven
 
Last edited by a moderator:
Madame B................ kwani kuolewa kuna faida gani ambazo zitamhamasisha ambaye hajaolewa awe huru kukueleza kwa nini hajaolewa mpaka sasa?[/QUOTE


faida yake utendi zambi ,unakula kitu kitakatifu, ambacho Mora mwenyewe anapenzwa

wapo wanaokula hilo tunda takatifu na wanajutia kuolewa. hicho ni kitu cha ziada sana .cha maana upate mtu sahihi wa kufanana nae ktk mambo fulani muelewane na upendo wa dhati.japo siku hizi watu wanaolewa kufata mkumbo
 
Back
Top Bottom