Ewe Mdada, kwa nini mpaka leo bado hujaolewa?

Kuolewa ni nini?

Na, je mtu anaolewa sababu anaolewa au anaolewa sababu kapata right partner?

Mjukuu mwenzangu Kongosho, hv unajua unaweza kukutana na wanaume ambao wanakutoa thamani eti kisa hujaolewa?
Kuolewa si sheria, bali humletea heshima mwanamke kwa kum-define tabia yake ya ujumla...lol!
Msome MwanajamiiOne hapo above.
Hata babu yetu mkali Dark City analitambua hilo na ndio maana kanunua bunduki ya kutulinda.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha, ukijali watu mjukuu mwenzangu utakufa

Ila nimekupata

Mjukuu mwenzangu Kongosho, hv unajua unaweza kukutana na wanaume ambao wanakutoa thamani eti kisa hujaolewa?
Kuolewa si sheria, bali humletea heshima mwanamke kwa kum-define tabia yake ya ujumla...lol!
Msome MwanajamiiOne hapo above.
Hata babu yetu mkali Dark City analitambua hilo na ndio maana kanunua bunduki ya kutulinda.
 
Last edited by a moderator:
Kuna mdau aliwauliza wanaume kwa nini mpaka leo hawajaoa?

Nami naja kuwauliza wadada na wanawake, kwa umri huo uliokuwa nao kwa nini mpaka leo hii bado hujaolewa?

Mie Madame B sijaolewa mpaka leo kwa sababu nilijiapiza sitaolewa mpaka wadogo zangu wawili waolewe kwanza.
CC: amu, Paloma na Mtambuzi

Swali lilikuwa short and clear...... Na mtoa mada kafundisha namna ya kujibu....

Sasa angalia mitanzania inavyojibu sasa..... Khaaa!!

Madame B................ kwani kuolewa kuna faida gani ambazo zitamhamasisha ambaye hajaolewa awe huru kukueleza kwa nini hajaolewa mpaka sasa?

Kuolewa ni nini?

Na, je mtu anaolewa sababu anaolewa au anaolewa sababu kapata right partner?

Nyie mademu, jibuni swali siyo mnaulizauliza.

Ndo mjue nimekasirika leo.
 
babu unanitenga mjukuu wako! au vile nimekataa kukaguliwa???!! lol. miss u too my babu.

Sijakutenga mjukuu wangu......... Huyo aliyekuficha mwambie nikimwona namng'oa meno kwa bisibisi....Shenzy zake na robo!!

Hivi bado uko Mpwapwa au umesogeasogea kidogo?
 
Sijakutenga mjukuu wangu......... Huyo aliyekuficha mwambie nikimwona namng'oa meno kwa bisibisi....Shenzy zake na robo!!

Hivi bado uko Mpwapwa au umesogeasogea kidogo?

hhhhhhhaaaahha!!! sasa kama hamna aliyenificha utaning'oa mimi au?. nipo mpwapwa babu. karibu sana.
 
Back
Top Bottom