Ewe kijana kabla haujafungua biashara yako katafute kwanza kinasa wateja. Utanishukuru baadaye

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
3,711
9,384
Mimi sio mchoyo nawasanua vijana.

Haijarishi unaanzisha genge, duka la mangi, banda la chipsi, kuuza mitumba, hata iwe kuuza pipi n.k hakikisha unatafuta kwanza kinasa wateja.

Mambo ya customer care, location, research, demand and suply watakazokuambia humu hazina nguvu huku mtaani ziache kwenye vitabu huko huko.

Yaliwahi kunikuta mwaka 2020 Kutokupata wateja kuanzia asubuhi hadi jioni baadhi ya siku kwenye huo uzi watu wameleta mpaka statics za USA na blah blah kibao mwingine akawa analeta mfano wa matrekta na ujinga ujinga meingi kilichotokea biashara ilifirisika wateja sifuri nilikuwq nashinda kwenye fremu asbh mpaka jioni bila bila ila wenzangu biashara hiyo hiyo wanauza kwq pembeni nikahama location lakini hali hiyo hiyo.

Ukweli nilikuja kuujua baadae.

Ushauri wangu kwenu kabla haujaanzisha biashara katafute kinasa wateja, usilete ulokole kwenye biashara.

Uzi nilioleta mwaka 2020 kuomba ufafanuzi na ushauri soma hapo chini

Mimi sio mchoyo nawasanua vijana.

Haijarishi unaanzisha genge, duka la mangi, banda la chipsi, kuuza mitumba, hata iwe kuuza pipi n.k hakikisha unatafuta kwanza kinasa wateja .
Mambo ya customer care, location, research , demand and suply watakazokuambia humu hazina nguvu huku mtaani ziache kwenye vitabu huko huko.

Yaliwahi kunikuta mwaka 2020 Kutokupata wateja kuanzia asubuhi hadi jioni baadhi ya siku kwenye huo uzi watu wameleta mpaka statics za USA na blah blah kibao mwingine akawa analeta mfano wa matrekta na ujinga ujinga meingi kilichotokea biashara ilifirisika wateja sifuri nilikuwq nashinda kwenye fremu asbh mpaka jioni bila bila ila wenzangu biashara hiyo hiyo wanauza kwq pembeni nikahama location lakini hali hiyo hiyo.

Ukweli nilikuja kuujua baadae

Ushauri wangu kwenu kabla haujaanzisha biashara katafute kinasa wateja, usilete ulokole kwenye biashara.
Kinasa wateja ni nini,na unakitafuta wapi,?Na kukipata wapi?
 
Umelipa fremu town kati kati laki mbili kwa mwezi unashinda bila bila hakuna mteja unalipia ulinzi, taka taka, maji umeme TRA halafu wa pemmbeni anauza na anabiashara kama yako, mkuu nilifilisika
Mkuu,
Yesu KRISTO ndiye NJIA, KWELI NA UZIMA

sisi tunamwomba yeye na simu za Oda zinaita kila uchwao nipo kwenye my industry (Gemu) kitambo Sasa
 
Mafanikio kwenye biashara yanategemea nguvu ya kiroho uliyonayo Mungu anatoa baraka na shetani pia atakusaidia kupata pesa zenye masharti

Ukiwa na nguvu ya kiroho sio kwamba wateja ndio wanaongezeka hapana ukiwa na nguvu ya kiroho unakuwa na maarifa makubwa na utajua namna kuiendesha hiyo biashara yako kwa mafanikio
 
Thats fucking weak mkuu,haya ukifanikiwa utajifia nn Sasa?Mfano eti Kuna mtu anatumia mitishamba Ili kupata mademu yaani Hadi nawahurumia,Sasa utajivunia uwezo upi ulionao kama Kila kitu unaenda Kwa waganga?Hii Inamaanisha hata vyuoni kufaulu umeloga,kupata mchumba na kazi umeloga,kwenye ndoa umeloga Sasa ukiangalia unafaida Gani duniani?
 
Back
Top Bottom