Mashaurijr
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 885
- 1,363
Kinasa wateja lazima aisee. Sio lazima ushirikina but ni lazima kuwa na imani kali
Mkuu!! Unasema Mungu na shetani wanashirikiana kukufanikisha kwa kukuongezea nguvu ya kiroho au nimeelewa vibaya?Mafanikio kwenye biashara yanategemea nguvu ya kiroho uliyonayo Mungu anatoa baraka na shetani pia atakusaidia kupata pesa zenye masharti
Ukiwa na nguvu ya kiroho sio kwamba wateja ndio wanaongezeka hapana ukiwa na nguvu ya kiroho unakuwa na maarifa makubwa na utajua namna kuiendesha hiyo biashara yako kwa mafanikio
Namaana kwamba Mungu anatoa riziki na shetani pia anatoa riziki kwa mashartiMkuu!! Unasema Mungu na shetani wanashirikiana kukufanikisha kwa kukuongezea nguvu ya kiroho au nimeelewa vibaya?
Kwaiyo Mungu hatoshi mpaka shetani aongezee nguvu 🤔
Ndugu yangu hayo mambo yapo ila sio rahisi sana kumpata mganga walio wengi ni matapeliMkuu unalizungumziaje hili suala la kinasa wateja?
KivipWalioajiriwa hii thread hawawezi kuielewa hata kidogo,,, huu uzi ni kwa ajili ya wanaotafuta Utajiri na siyo hela ya kula..
Kwenye hizi biashara za utafutaji Mali kuna mambo mengi sana, hasa nyumba za makuti.... Ukiazisha biashara jua kabisa lazima utatumbukia kwenye ulozi..Kivip
Biashara yahitaji ujitoe hasa kama ni ulozi na uufanye kweli na vice versa is true.Kwenye hizi biashara za utafutaji Mali kuna mambo mengi sana, hasa nyumba za makuti.... Ukiazisha biashara jua kabisa lazima utatumbukia kwenye ulozi..
1. Wachawi watajaribu kuharibu biashara yako. (kumbuka hawa hawana biashara yeyote ile wanayo ifanya bali ni majirani tu. )
2. Wachawi watajaribu kutest nguvu uliyonayo kwenye masuala ya biashara. ( kumbuka hawa hawana biashara yeyote ile wanayo ifanya bali ni majirani tu)
3. Hapa utakutana na wazee wa kushusha nyota ( wafanya biashara wenzio, Kwa nje sura ya tabasamu, Kwa ndani wanatamani kukupoteza kwenye ramani ya biashara)
Kiufupi tu biashara inamambo mengi, usione duka la mtu wateja hawakauki ukadhani labda ametega location zuri... Usiingie kichwa kichwa utachoma mtaji wote.
Ila kama unatafuta hizi 200,, 200 za kula hapo Sawa, siyo lazima utumie nguvu ya numba za makuti, BIBLE na Qur'an zinatosha kabisa kuweka kama security kwenye Ofisi yako.
Naam, Ndo maana watu wanafika hadi hatua ya kulala kwenye mageneza...........Biashara yahitaji ujitoe hasa kama ni ulozi na uufanye kweli na vice versa is true.
Hizi hela hizi ni hatariNaam, Ndo maana watu wanafika hadi hatua ya kulala kwenye mageneza...........
Nmeshafika mkuukuna jamaa asipokuja kwenye huu uzi basi uzk ni batili..... ila jamaa ana kitu atafika mbali katoa siri kubwa sana ya kambi
Kwani mkuu unajua uwezo ni nini? hata kutafuta njia ya kurahisisha kazi ni uwezo pia, usifikiri kila mtu anweza kuloga mwingine anapewa njia zote na bado anashindwa kufuata masharti. KULOGA ni uwezo pia mkuuThats fucking weak mkuu,haya ukifanikiwa utajifia nn Sasa?Mfano eti Kuna mtu anatumia mitishamba Ili kupata mademu yaani Hadi nawahurumia,Sasa utajivunia uwezo upi ulionao kama Kila kitu unaenda Kwa waganga?Hii Inamaanisha hata vyuoni kufaulu umeloga,kupata mchumba na kazi umeloga,kwenye ndoa umeloga Sasa ukiangalia unafaida Gani duniani?
Washirikina bwana😂
Wewe maskini una faida gani dunianiThats fucking weak mkuu,haya ukifanikiwa utajifia nn Sasa?Mfano eti Kuna mtu anatumia mitishamba Ili kupata mademu yaani Hadi nawahurumia,Sasa utajivunia uwezo upi ulionao kama Kila kitu unaenda Kwa waganga?Hii Inamaanisha hata vyuoni kufaulu umeloga,kupata mchumba na kazi umeloga,kwenye ndoa umeloga Sasa ukiangalia unafaida Gani duniani?