European Parliament resolution on Tanzania

European Parliament resolution on Tanzania

Papaa Mobimba, What is the conclusion?? What is the resolution??
Umezoea kutafuniwa...haya meza hiki hapa:

9. Urges the President of Tanzania to make the country’s Human Rights Commission operational as soon as possible, to appoint commissioners to follow up on human rights violations, and to take action to support domestic workers abroad;
 
Hapo number 8,hawa EU ni bure kabisa!, Rais Magufuli ndiye aliyesema hasomeshi wenye mimba, sasa una call authority gani iingilie?.

Number 9 wanampangia kazi Rais Magufuli?!.

Number 10 kuna watu wameshitakiwa for political crimes or ni criminal issues.

Hawajui kuwa Magufuli hapangiwi?. Kama katiba alioapa kuilinda ameweka pembeni, who is EU?.

Naona hawa wazungu wanajifurahisha tuu, kama vipi wazuie tuu misaada yao na watunyime visas za Shengen, tutakwenda UK na China.

Tanzania ni sovereign state, tuna uhuru wa kujipangia mambo yetu kama hatutaki ushoga wasitupangie na kutulazimisha bali tufundishwe tuu managing diversity ya kuwakubali mashoga kama walemavu wengine wote, tusiwabague wala kuwanyanyapaa lakini kubadili sheria zetu bado sana.
P
6. Urges the EU and its Member States to make full use of the LGBT Toolkit to encourage third countries to decriminalise homosexuality, help reduce violence and discrimination and protect LGBTI human rights defenders;


JEE HII NO 6, HAIJAKUKERA, SIO SHERIA YA TANZANIA TUU INAYO CRIMINALISE USHOGA, BALI HATA MILA NA DINI ZETU ZINA CRIMINILISE UCHAFU HUO. JEE WANATAKA HATA MILA ZETU TUZIBADISHE .
 
Hapo number 8,hawa EU ni bure kabisa!, Rais Magufuli ndiye aliyesema hasomeshi wenye mimba, sasa una call authority gani iingilie?.

Number 9 wanampangia kazi Rais Magufuli?!.

Number 10 kuna watu wameshitakiwa for political crimes or ni criminal issues.

Hawajui kuwa Magufuli hapangiwi?. Kama katiba alioapa kuilinda ameweka pembeni, who is EU?.

Naona hawa wazungu wanajifurahisha tuu, kama vipi wazuie tuu misaada yao na watunyime visas za Shengen, tutakwenda UK na China.

Tanzania ni sovereign state, tuna uhuru wa kujipangia mambo yetu kama hatutaki ushoga wasitupangie na kutulazimisha bali tufundishwe tuu managing diversity ya kuwakubali mashoga kama walemavu wengine wote, tusiwabague wala kuwanyanyapaa lakini kubadili sheria zetu bado sana.
P

Demokrasia ni pamoja na kuheshimu mila na tamaduni za watu wengine hata kama hazifanani za zako. Ulaya wana mila na tamaduni zao, wanakubali ushoga, na hata ndoa za mashoga zinaruhusiwa. Ni haki yao na Tanzania haijawahi kuziambia serikali za Ulaya wanabadili Katiba zao ili kukomesha ushoga. Leo hii Ulaya wanataka Tanzania ifuate mila na tamaduni zao halafu wanajidai wanatetea demokrasia. Kama kweli ni watetezi wa demokrasia wawambie Saudia hizi ngonjera walizoondika hapa.

Wamekosa EPA sasa wanakazana kujificha kwenye ushoga! Kama ni kauli ya Makonda, Serikali ilishatoa ufafanuzi, walitaka nini cha zaidi? kugeuzana?
 
Hili azimio litoshe kumfungua macho Jiwe, uhuru wa watu ungekuwa hauminywi haki za kidemokrasia zingekuwa hazisiginwi Taifa lingekuwa na umoja wa nguvu kuwalaani wazungu juu ya kutushinikiza kubadiri sheria za nchi kuhusu mambo ya ushoga. Lakini matendo yake ya ukandamizaji wa haki za msingi za kikatiba na kisiasa zilizoko kisheria yametuletea mgawanyo wa kitaifa kiasi kwamba watu wanawaona wazungu ni wakombozi badala ya yeye kiongozi wetu!.

Hili litoshe kumjulisha kuwa ipo siku Taifa litapata challenge inayotaka umoja wa kitaifa kulitatua lakini kwa kuwa watu wameminywa, wamegawanyika wanaona hata huo wito wa kuunganisha nguvu kwa ajili ya kupambana kwa pamoja kuondoa tatizo husika hauna maana!.

Fikiria kwa mfano Taifa liingie vitani na Malawi, huku wananchi wa kusini wanapigwa danadana kulipwa korosho zao, Huku watu wa kaskazini wakilalamika kutengwa, huku wapinzani wakiminywa hawapumui. HIYO COALITION YA KITAIFA ITAPATIKANAJE?

Wazungu huwa hawaingii kiurahisi katika nchi zenye umoja, bali watawala kwa matendo yao hutengeneza mazingira ya watu kuwaomba wazungu waje wasaidie bila hata kujali gharama!.
Sasa ona leo Wazungu wanatumia loophole za uminywaji wa haki za kiraia kupenyeza kiakili sana ajenda yao ya ushoga!, Laiti tungekuwa tumeungana, Taifa lina haki, Sote tungewashukia hawa jamaa kama mwewe!

KITU KIKUBWA CHA KUTISHIA USALAMA WA NCHI HUWA NI KUTOKUHESHIMU KATIBA NA SHERIA ZA NCHI, HATA MWALIMU ALILIITA JAMBO HILI KUWA NI NYUFA
Hakuna kitu. Mzungu ni mpumbavu tu. Lengo la kuitawala Afrika liko palepale wewe mlambe matako bado atakuminywa korodani. Sioni cha maana. Hata umoja wa kitaifa unasaidia nini vita ya kagera tulipigishwa kura au uamuzi ufanywa na Mwl pekee yake?
Kimsingi E.U kwanza itasambaratika ngoja Uk ijitoe
 
Shida ya kutegemea donors hii ndomadhala yake haya.
Hawa watu ifike mahala kuwakazia tuu sio MIungu kuwa tusipoiabudu tutakufa.
Homosexuality ni kinyume na tamaduni zetu sasa unaanzaje come up na such an awakward resolution
 
Sasa mtajisukumia vidole? Usenge ni matatizo ya kijamii. Jiwe ana fursa ya kuituliza jamii hata isijiingize kwenye usenge. Kwani masenge wa Tanzania wewe unawajua? Wengine wanatatuliwa marinda na wafanya maamuzi.
Mkuu nisaidie marinda ni nini?
 
Urges, calls on, expresses concern, urges,urge, concern, urges, calls,reminds...
 
Nanukuu;

KIPENGELE 2. ""Denounces all incitement to hatred and violence on grounds of sexual orientation; urges the Tanzanian authorities to ensure that Paul Makonda ends his provocation against the LGBTI community and is brought to justice for incitement to violence""

Tafsiri;

(EU) Inapinga uchochezi wa chuki na machafuko/vurugu kwa misingi ya maswala ya mwelekeo wa kingono; (EU) Inalazimisha Mamlaka ya Tanzania kuhakikisha PAUL MAKONDA anaacha uchochezi kwa LGBTI na AFIKISHWE MBELE YA SHERIA KWA KUCHOCHEA VURUGU/MACHAFUKO.

***BASHITE akimbie magogoni akajifiche aiseee, au lasivyo ARREST WARRANT YA MAHAKAMA YA KIMATAIFA inamhusu wasipo mchukulia hatua za kisheria.[emoji18] [emoji57]

KIPENGELE 3: ""Calls for independent investigations to be conducted into cases of attacks and assaults on journalists, LGBTI people, human rights defenders and opposition party members, with a view to bringing suspected perpetrators to justice""

Tafsiri; Wanatoa wito kwa UPELELEZI BINAFSI/HURU kufanyika kuchunguza case za MASHAMBULIZI KWA WAANDISHI WA HABARI, MASHOGA, WATETEZI WA HAKI ZA BINAADAMU NA WANACHAMA WA UPINZANI. Kwa mtazamo wa kufikisha wahusika katika mikono ya sheria.

Mtazamo wangu,

***EU wangetoa amri hata WABUNGE WA CCM wapigwe viboko 30 kila mtu, kwa kutazama haya yaliofanyika, wao ni chanzo pia.

***Mahakama ya Makosa Ya Jinai Ya Kimataifa itafunga wengi tu kama tutadharau wito wao waliotoa, tujiandae.[emoji18] [emoji57] [emoji53]

Zitto 2020
Ila mimi niko hivi
Tangu wazungu wakae mezani kuigawana Afrika
Tangu wete unyonyaji ambao hadi leo hakuna mahakama ya kimataifa iamuru Afrika ilipwe fidia
Tangu Wapuuzi hawa walazimishe watu kufirana kwa mwamvuli wa Haki za binadamu
Tangu hawa jamaa wajipange na kuingiza ukoloni mambo leo
Tangu baadhi wadiriki kusema mwafrika si binadamu kamili
MAAMUZI YANGU NI HAYA
Hata kiongozi wetu ni mpuuzi maadam ni Mwafrika sitasiliza yao
Hata kama Haki na demokrasia haziendi sawa siwaungi mkono ng'o
Hata wqsomi wetu ambao wameshindwa kubuni elimu inayoendana na utamaduni wetu na kutumika kwa Elimu ya wazungu mimi nawaona kama wasaliti
Bila kujali Wanakosoa kwa Haki wale weusi wenzetu pale tu wanakosoa kwa muelekeo wa kuhitaji wazungu kuwa msaada nawao a wasaliti
E.U au UN ni foolishness congregation iliyoundwa kama mkono wa pili kwa manufaa ya weupe wala SIISIKILIZI
Asasi zake hata kama zinaninunulia 1 au 2 bado hazinishawishi. SIZIKUBALI
 
Back
Top Bottom