Mpaka atakapojirekebisha kwa kufanyaje sasa? Kuhimiza ushoga? Mbona hamueleweki nyie nyumbu?Huyu mtu wamtenge tu mpaka atakapojirekebisha.
Hapo wametega asipojirekebisha,inakula kwake.Hapo number 8,hawa EU ni bure kabisa!, Rais Magufuli ndiye aliyesema hasomeshi wenye mimba, sasa una call authority gani iingilie?.
Number 9 wanampangia kazi Rais Magufuli?!.
Number 10 kuna watu wameshitakiwa for political crimes or ni criminal issues.
Hawajui kuwa Magufuli hapangiwi?. Kama katiba alioapa kuilinda ameweka pembeni, who is EU?.
Naona hawa wazungu wanajifurahisha tuu, kama vipi wazuie tuu misaada yao na watunyime visas za Shengen, tutakwenda UK na China.
Tanzania ni sovereign state, tuna uhuru wa kujipangia mambo yetu kama hatutaki ushoga wasitupangie na kutulazimisha bali tufundishwe tuu managing diversity ya kuwakubali mashoga kama walemavu wengine wote, tusiwabague wala kuwanyanyapaa lakini kubadili sheria zetu bado sana.
P
Hapo number 8,hawa EU ni bure kabisa!, Rais Magufuli ndiye aliyesema hasomeshi wenye mimba, sasa una call authority gani iingilie?.
Number 9 wanampangia kazi Rais Magufuli?!.
Number 10 kuna watu wameshitakiwa for political crimes or ni criminal issues.
Hawajui kuwa Magufuli hapangiwi?. Kama katiba alioapa kuilinda ameweka pembeni, who is EU?.
Naona hawa wazungu wanajifurahisha tuu, kama vipi wazuie tuu misaada yao na watunyime visas za Shengen, tutakwenda UK na China.
Tanzania ni sovereign state, tuna uhuru wa kujipangia mambo yetu kama hatutaki ushoga wasitupangie na kutulazimisha bali tufundishwe tuu managing diversity ya kuwakubali mashoga kama walemavu wengine wote, tusiwabague wala kuwanyanyapaa lakini kubadili sheria zetu bado sana.
P
Nyumbu ni nyie mnaona hoja hapo ni ushoga tu.Mpaka atakapojirekebisha kwa kufanyaje sasa? Kuhimiza ushoga? Mbona hamueleweki nyie nyumbu?
Angalia tu sio lazima usome, hata mimi nimefanya hivyo.Papaa Mobimba, Sisi ambao lugha ya Malikia imetupitia kushoto unatusaidiaje...
Yaani hawaoni jinsi watu weusi wanavyobaguliwa kwenye nchi zao kabisaa. Wao wanaona "haki" za mashoga na wasagaji tu.Kabisa
Wa deal na Tereza May wao na mafujo huko ufaransa
Nataka kujua kimeandika nn kutoka kwa muandishi ambaye kwangu binafsi ni kati ya wachache niliokuwa na iman nao sio mchumia tumbo km yule kichaa wa tanz...Angalia tu sio lazima usome, hata mimi nimefanya hivyo.
Huyu mtu wamtenge tu mpaka atakapojirekebisha.
Kwa mtazamo wangu,haya maazimio ni kama mtego na akiendelea na kiburi chake,basi ajue tu watakwenda zaidi ya hapa.
Na tujue tu US watawaunga mkono EU.
Hapa hakuna kitu. Kuna nchi hadi leo jazikaliki na EU ipo naaraisi husika wapo pia wala hawajawafanya kitu. Waliwahi kutoa warrant wa jumkamata yule wa Sudan sijui iliishia wapi.Nanukuu;
KIPENGELE 2. ""Denounces all incitement to hatred and violence on grounds of sexual orientation; urges the Tanzanian authorities to ensure that Paul Makonda ends his provocation against the LGBTI community and is brought to justice for incitement to violence""
Tafsiri;
(EU) Inapinga uchochezi wa chuki na machafuko/vurugu kwa misingi ya maswala ya mwelekeo wa kingono; (EU) Inalazimisha Mamlaka ya Tanzania kuhakikisha PAUL MAKONDA anaacha uchochezi kwa LGBTI na AFIKISHWE MBELE YA SHERIA KWA KUCHOCHEA VURUGU/MACHAFUKO.
***BASHITE akimbie magogoni akajifiche aiseee, au lasivyo ARREST WARRANT YA MAHAKAMA YA KIMATAIFA inamhusu wasipo mchukulia hatua za kisheria.[emoji18] [emoji57]
KIPENGELE 3: ""Calls for independent investigations to be conducted into cases of attacks and assaults on journalists, LGBTI people, human rights defenders and opposition party members, with a view to bringing suspected perpetrators to justice""
Tafsiri; Wanatoa wito kwa UPELELEZI BINAFSI/HURU kufanyika kuchunguza case za MASHAMBULIZI KWA WAANDISHI WA HABARI, MASHOGA, WATETEZI WA HAKI ZA BINAADAMU NA WANACHAMA WA UPINZANI. Kwa mtazamo wa kufikisha wahusika katika mikono ya sheria.
Mtazamo wangu,
***EU wangetoa amri hata WABUNGE WA CCM wapigwe viboko 30 kila mtu, kwa kutazama haya yaliofanyika, wao ni chanzo pia.
***Mahakama ya Makosa Ya Jinai Ya Kimataifa itafunga wengi tu kama tutadharau wito wao waliotoa, tujiandae.[emoji18] [emoji57] [emoji53]
Zitto 2020
Keep on dreaming.The best solution is an EMBARGO for Magufuli's reign of terror!!
hujaona EPA agreement, wameichomekea. tukitulia na kuijibu kiufasaha itaeleweka tu. kifupi hawamo fair , tz sio mbaya kuzidi Congo, Yemen, Syria, Afghanistan, Libya au Iraq. Huwezi jifanya unapigania watu 10 unaacha mamia wanazamishwa Mediterranean au Wayemen. all in all ushawahi shauri kuwa tusiwape sababu maana jamaa kawabana interest zao.Hapo number 8,hawa EU ni bure kabisa!, Rais Magufuli ndiye aliyesema hasomeshi wenye mimba, sasa una call authority gani iingilie?.
Number 9 wanampangia kazi Rais Magufuli?!.
Number 10 kuna watu wameshitakiwa for political crimes or ni criminal issues.
Hawajui kuwa Magufuli hapangiwi?. Kama katiba alioapa kuilinda ameweka pembeni, who is EU?.
Naona hawa wazungu wanajifurahisha tuu, kama vipi wazuie tuu misaada yao na watunyime visas za Shengen, tutakwenda UK na China.
Tanzania ni sovereign state, tuna uhuru wa kujipangia mambo yetu kama hatutaki ushoga wasitupangie na kutulazimisha bali tufundishwe tuu managing diversity ya kuwakubali mashoga kama walemavu wengine wote, tusiwabague wala kuwanyanyapaa lakini kubadili sheria zetu bado sana.
P
Bado wanaona wana haki ya kumtawala mtu mweusi. Hao wengine hawathubutu.Hapa hakuna kitu. Kuna nchi hadi leo jazikaliki na EU ipo naaraisi husika wapo pia wala hawajawafanya kitu. Waliwahi kutoa warrant wa jumkamata yule wa Sudan sijui iliishia wapi.
Hapana wakimwekea economic embargo it's we the wanyonge na wa kipato duni kuteseka.....yeye atanyatuka arudi chatto ambako amepaboresha vzri sana ni zaidi ya wilaya.The best solution is an EMBARGO for Magufuli's reign of terror!!
Hawa wakikushukia kama Mwewe, hata huyo Mchina unayedhani atakutetea atakaa mbali nawe, anajua Mziki wao!