European Parliament resolution on Tanzania

European Parliament resolution on Tanzania

Mkuu naona umeona ushoga tu kwasababu ushajipanga kuelekea huko..

Document imeongelea haki kibao mkuu....jaribu kusoma vizuri!

Watu emotional wanakimbilia kile kilichostua emotions zao wanaacha mambo chungu nzima ya maana vilevile..

Ondoa neno ushoga kichwani mwako for a minute and re-read the document uone vitu vingine!
Sikatai , vya maana vipo,ingawa vyootw vimesemewa baada ya Mr Zero brain kuwagusa GBLTI. Ukali huu ulikua wapi siku zote za miaka hii mitatu ambapo jiwe kafanya mengi ya hovyo?.
Hawa wana agenda ya siri
 
Hapo number 8,hawa EU ni bure kabisa!, Rais Magufuli ndiye aliyesema hasomeshi wenye mimba, sasa una call authority gani iingilie?.

Number 9 wanampangia kazi Rais Magufuli?!.

Number 10 kuna watu wameshitakiwa for political crimes or ni criminal issues.

Hawajui kuwa Magufuli hapangiwi?. Kama katiba alioapa kuilinda ameweka pembeni, who is EU?.

Naona hawa wazungu wanajifurahisha tuu, kama vipi wazuie tuu misaada yao na watunyime visas za Shengen, tutakwenda UK na China.

Tanzania ni sovereign state, tuna uhuru wa kujipangia mambo yetu kama hatutaki ushoga wasitupangie na kutulazimisha bali tufundishwe tuu managing diversity ya kuwakubali mashoga kama walemavu wengine wote, tusiwabague wala kuwanyanyapaa lakini kubadili sheria zetu bado sana.
P
Vp mkuu naona povu hataree!

Hapo sasa ndo Pasco originale!teh
 
Hakuna kitu hapa zaidi ya kuwafariji mamluki wao kujifurahisha.
 
Document lugha imekaa kiamri amri ndio utaelewa who runs this world...

Sasa jiwe ajifanye kichwa ngumu aone!

Hii dunia jifunze ku-negotiate your way among vultures,jifanye tofali kama hutachongwa ukae sawa!

Dunia ina kila aina ya watu,penda usipende lazima ujifunze jinsi ya ku-coexist,know your place small soldier!

Zikilizeni kinachofuata jiwe akijifanya hamnazo!
Hawana akili ya kuona hivi vitu!Nimeshajiuliza sana mkuu. Ndiyo nikabakia na ile statement ya Zito Kabwe.
 
Mkuu naona bado hujajielewa!

Hii dunia ina kila aina ya watu,upende au usipende it does not matter,they will exist!

Sasa basi unachotakiwa kujua ni wewe unataka nini na wao wanataka nini,kipi ni priority kwako na kipi unaweza trade off na kipi huwezi...

Lazima ujifunze kukaa meza moja na vultures uka-negotiate your way and win.....

Hii dunia ni ya ajabu sana,utajifanya wewe ndio kidume then wata-take exception with you just to teach you a lesson mpaka unakuja kukaa sawa muda wako ushaisha!
They're in the mood of learning through the hard way,let them be bro.
 
Nawewe unataka kuwa mjinga.Hata kama Rais kasema, mihimili mingine inaweza kulisimamia hili swala kwa mujibu wa sheria za nchi yetu.Au sheria inasemaje?
Kuna mihimili mingine ipi?. Hujausikia mihimili uliojichimbia zaidi?. Kama katiba imekanyagwa then kuna sheria gani unayoizungumzia?. Hawa EU wanajifurahisha tuu mbele ya Magufuli, hapangiwi!.
P
 
Sikatai , vya maana vipo,ingawa vyootw vimesemewa baada ya Mr Zero brain kuwagusa GBLTI. Ukali huu ulikua wapi siku zote za miaka hii mitatu ambapo jiwe kafanya mengi ya hovyo?.
Hawa wana agenda ya siri

I can understand your perspective too....

Tuseme either way,EU ka-react baada ya kuingiliwa interests zake!

Na kama LBGT ni "interests" zake,basi yameguswa ndio maana wame-react accordingly..

Nadhani interests zao hasa ni economic and security interests kuna mahali jiwe kawaingilia,sasa walikua wanamtafutia pa kumkamatia,na ndio walipomshikia..Thats how I see it!

EU hana upendo mkubwa kiasi hicho cha kutetea haki za watoto wenye mimba,LBGTs,Lissu,etc..kuna mahali jiwe ka-cross their interest lines!
 
At least siwashabikii weupe.........

Hapo umefeli...

Sishabikii yeyote...sio jiwe wala wazungu!

Naangalia maslahi yangu yametetewa wapi?

Maslahi yangu ni haki,demokrasia,etc...EU wameingia na kumkemea jiwe atoe hayo...currectly as per document ya EU naona mambo positive mengi tu!

Na kuhusu sijui haki za mashoga,bro,I dont care,ni wanadamu sio wanyama,hey,chochote kinachotetea mwanadamu sina tatizo nacho kabisa!

Choice zao kama wao wala hazinihusu!
 
Unapitisha bakuli lako la omba omba kisha unataka kuleta kiburi kwa EU!

Serikali yaiangukia Benki ya Maendeleo Ulaya (EIE) itoe kibali cha mkopo. - JamiiForums

Hapo number 8,hawa EU ni bure kabisa!, Rais Magufuli ndiye aliyesema hasomeshi wenye mimba, sasa una call authority gani iingilie?.

Number 9 wanampangia kazi Rais Magufuli?!.

Number 10 kuna watu wameshitakiwa for political crimes or ni criminal issues.

Hawajui kuwa Magufuli hapangiwi?. Kama katiba alioapa kuilinda ameweka pembeni, who is EU?.

Naona hawa wazungu wanajifurahisha tuu, kama vipi wazuie tuu misaada yao na watunyime visas za Shengen, tutakwenda UK na China.

Tanzania ni sovereign state, tuna uhuru wa kujipangia mambo yetu kama hatutaki ushoga wasitupangie na kutulazimisha bali tufundishwe tuu managing diversity ya kuwakubali mashoga kama walemavu wengine wote, tusiwabague wala kuwanyanyapaa lakini kubadili sheria zetu bado sana.
P
 
Hapo umefeli...

Sishabikii yeyote...sio jiwe wala wazungu!

Naangalia maslahi yangu yametetewa wapi?

Maslahi yangu ni haki,demokrasia,etc...EU wameingia na kumkemea jiwe atoe hayo...currectly as per document ya EU naona mambo positive mengi tu!

Na kuhusu sijui haki za mashoga,bro,I dont care,ni wanadamu sio wanyama,hey,chochote kinachotetea mwanadamu sina tatizo nacho kabisa!

Choice zao kama wao wala hazinihusu!
Step father "The muzungu".... mtetezi
 
Step father "The muzungu".... mtetezi

Mkuu

Ukiwa unaandika kitu,uwe unaweka present context ili anaekufatilia aweze kukuelewa!

Flow ya conversations zetu zilivyokua,ni kwamba unapoweka phrase kama "Step father "The "muzungu"...." nashindwa kuelewa ulikua una maanisha nini hasa?

Nichukulie literal meaning au ulikua una maana ingine kama lugha ya picha au nini hasa?

Jifunze kuongea na mtu aelewe bila kutumia nguvu nyingi ili muelewane!

Wewe ni mshabiki wa Magufuli na sio mzungu,nikasema sawa,ila mimi sio mshabiki wa yeyote kati ya hao wawili....

Nikasema mimi ni mshabiki wa interests zangu tu!Hapo EU wanamkomalia jiwe anipatie then nimefurahi for today atleast!
 
Back
Top Bottom