European Parliament resolution on Tanzania

European Parliament resolution on Tanzania

Mna uhuru wa kupiga wenzenu risasi si ndio?
Pumbavu kabisa!
 
Tuiombee nchi yetu kwa kweli labda huyu nahodha wetu amelala. Unajua hata enzi za mitume na manabii haya mambo ya ushoga yalikuwepo lakini hawakuwatenga. hapa ilipofika itakuwa shida sana. Zimbabwe walianzishiwa hivi hvi ila wao ilikuwa issue ya mashamba ya wazungu na kuwatenga hao wazungu. Mdogo mdogo mpaka leo zimbabwe ni kama kijiji kwisha kabisa. kila wakitaka kuinuka wanashindwa na inakadiriwa ili wawe kwenye mstari sawa sawa wanahitaji zaidi ya miaka 10.
 
Nasimama na rais wangu JJPM kupingana na masharti ya kipuuzi kutoka kwa EU na washirika wake wote hasa pale wanapotaka tuitengue katiba yetu iliyoweka misimamo mikali kusimamia maadili na ustawi mzuri wa jamii yetu kwa kupachika haki za ushoga, Usagaji & the likes.

Haijalishi wanasaidia kiasi gani kwa bajeti yetu ya nchi ila masharti yao tu yanadhihirisha vichwani mwao hawapo sawa kana kwamba sisi bado ni makoloni yao maisha.
 
Mkuu naona umeona ushoga tu kwasababu ushajipanga kuelekea huko..

Document imeongelea haki kibao mkuu....jaribu kusoma vizuri!

Watu emotional wanakimbilia kile kilichostua emotions zao wanaacha mambo chungu nzima ya maana vilevile..

Ondoa neno ushoga kichwani mwako for a minute and re-read the document uone vitu vingine!
Angalia vifungu vingi vinaongelea sexual orientation mkuu yaani full kugeuzana popote pale unapoona panafaa kwa matumizi yako.

Hivi ni nani mfungwa wa kisiasa hapa nchini???

Hicho kituo cha haki za binadamu ndo si ndo hiki daily kupingana na CCM na kuunga hoja za UPINZANI regardless wanatetea hoja ama pumba, ni rais gani mwenye timamu akili anaweza kukielewa hiki kikundi kidogo cha Intarahamweee???.

Anaongelea uhuru wa habari na haki za waandishi wa habari, hivi Tanzania inaipiku US kwa kuwatukana, kamata na kadhia mbali mbali hao viumbee au hiyo misimamo ni kwa Tanzania ya JPM tu.


Sasa tuelewane kua tunahitaji kufanya kazi kama punda ili tujiletee uhuru wa kweli na sio huu wakushikiwa mapaja wakati mke ni wako mbaaaaaaaafu na jinga sana EU.
 
Hapo number 8,hawa EU ni bure kabisa!, Rais Magufuli ndiye aliyesema hasomeshi wenye mimba, sasa una call authority gani iingilie?.

Number 9 wanampangia kazi Rais Magufuli?!.

Number 10 kuna watu wameshitakiwa for political crimes or ni criminal issues.

Hawajui kuwa Magufuli hapangiwi?. Kama katiba alioapa kuilinda ameweka pembeni, who is EU?.

Naona hawa wazungu wanajifurahisha tuu, kama vipi wazuie tuu misaada yao na watunyime visas za Shengen, tutakwenda UK na China.

Tanzania ni sovereign state, tuna uhuru wa kujipangia mambo yetu kama hatutaki ushoga wasitupangie na kutulazimisha bali tufundishwe tuu managing diversity ya kuwakubali mashoga kama walemavu wengine wote, tusiwabague wala kuwanyanyapaa lakini kubadili sheria zetu bado sana.
P

nimekuelewa
 
Huyu mtu wamtenge tu mpaka atakapojirekebisha.

Kwa mtazamo wangu,haya maazimio ni kama mtego na akiendelea na kiburi chake,basi ajue tu watakwenda zaidi ya hapa.

Na tujue tu US watawaunga mkono EU.
Naona una furaha sana
 
Nasimama na rais wangu JJPM kupingana na masharti ya kipuuzi kutoka kwa EU na washirika wake wote hasa pale wanapotaka tuitengue katiba yetu iliyoweka misimamo mikali kusimamia maadili na ustawi mzuri wa jamii yetu kwa kupachika haki za ushoga, Usagaji & the likes.

Haijalishi wanasaidia kiasi gani kwa bajeti yetu ya nchi ila masharti yao tu yanadhihirisha vichwani mwao hawapo sawa kana kwamba sisi bado ni makoloni yao maisha.
Ni wendawazimu kusema tunakataa masharti yao wakati tulikwishasaini mikataba ya kukubaliana na hiyo mikataba ya haki za mashoga. Hivi hukuona walivyonukuu hiyo mikataba ambayo tumeridhia?

Hapa tunabanwa katika yale tuliyoridhia. Kama tulikuwa hatutaki ilitakiwa tusisaini kuliko kusaini halafu unagoma kutekeleza.
 
Nipo Pakawa za kwako? Za masiku? Hatukukosea kuhusu huyu mkurupukaji kila kitu kinaenda kombo badala ya kukubali Nchi inayumba yuko busy kutafuta mchawi.

Upo Mkuu?
Asante kwa article
Kuna mtu karibu atavaa bugaluuu(zile suruali pana)
 
Huyu mtu wamtenge tu mpaka atakapojirekebisha.

Kwa mtazamo wangu,haya maazimio ni kama mtego na akiendelea na kiburi chake,basi ajue tu watakwenda zaidi ya hapa.

Na tujue tu US watawaunga mkono EU.
Utakuwa unapenda au unafaidika na ushoga
 
hiyo ni amri tunasubiri wale wanaosemaga sisi ni nchi huru wabishe..jifanye kama unajikuuuna vile..halfu mbona EU WANASEMA DE GEER ALIFUKUZWA WAKATI MAHIGA ANASEMA ALIKUWA SUMMONED NA EU,awamu ya tano ni waongo mnoooo
Ni waongo kila sekta, ona kwenye miradi wanasema hela zetu kumbe wanakopa, tuna fedha za kutosha hazina kumbe hakuna, tutanunua korosho kumbe wanatumia dola kupora nk nk.
Unakopa Kwa siri wakati was kulipa hupo madarakani? Huko si ni kumjengea misingi mibovu unayemuachi kwa kigezo cha 'atajiju'!
 
Back
Top Bottom