European Parliament resolution on Tanzania

European Parliament resolution on Tanzania

#Safari hii tutajua maana ya ule mwimbo "No body can stop raggae".[emoji18] [emoji53]

Nanukuu;

KIPENGELE 2. ""Denounces all incitement to hatred and violence on grounds of sexual orientation; urges the Tanzanian authorities to ensure that Paul Makonda ends his provocation against the LGBTI community and is brought to justice for incitement to violence""

Tafsiri;

(EU) Inapinga uchochezi wa chuki na machafuko/vurugu kwa misingi ya maswala ya mwelekeo wa kingono; (EU) Inalazimisha Mamlaka ya Tanzania kuhakikisha PAUL MAKONDA anaacha uchochezi kwa LGBTI na AFIKISHWE MBELE YA SHERIA KWA KUCHOCHEA VURUGU/MACHAFUKO.

***BASHITE akimbie magogoni akajifiche aiseee, au lasivyo ARREST WARRANT YA MAHAKAMA YA KIMATAIFA inamhusu wasipo mchukulia hatua za kisheria.[emoji18] [emoji57]

KIPENGELE 3: ""Calls for independent investigations to be conducted into cases of attacks and assaults on journalists, LGBTI people, human rights defenders and opposition party members, with a view to bringing suspected perpetrators to justice""

Tafsiri; Wanatoa wito kwa UPELELEZI BINAFSI/HURU kufanyika kuchunguza case za MASHAMBULIZI KWA WAANDISHI WA HABARI, MASHOGA, WATETEZI WA HAKI ZA BINAADAMU NA WANACHAMA WA UPINZANI. Kwa mtazamo wa kufikisha wahusika katika mikono ya sheria.

Mtazamo wangu,

***EU wangetoa amri hata WABUNGE WA CCM wapigwe viboko 30 kila mtu, kwa kutazama haya yaliofanyika, wao ni chanzo pia.

***Mahakama ya Makosa Ya Jinai Ya Kimataifa itafunga wengi tu kama tutadharau wito wao waliotoa, tujiandae.[emoji18] [emoji57] [emoji53]

*** Hilo swala la kukubali ushoga katika sheria zetu haliwezekani, EU wamepingana na HUKUMU ya Mahakama Yao wenyewe ya haki za binaadamu, mahakama yao ya haki za binaadamu ambayo IMEKATAA USHOGA/NDOA JINSIA MOJA SIO HAKI YA BINAADAMU.

The ECHR Unanimously Confirms the Non-Existence of a Right to Gay Marriage

Zitto 2020
 
Hili azimio litoshe kumfungua macho Jiwe, uhuru wa watu ungekuwa hauminywi haki za kidemokrasia zingekuwa hazisiginwi Taifa lingekuwa na umoja wa nguvu kuwalaani wazungu juu ya kutushinikiza kubadiri sheria za nchi kuhusu mambo ya ushoga. Lakini matendo yake ya ukandamizaji wa haki za msingi za kikatiba na kisiasa zilizoko kisheria yametuletea mgawanyo wa kitaifa kiasi kwamba watu wanawaona wazungu ni wakombozi badala ya yeye kiongozi wetu!.

Hili litoshe kumjulisha kuwa ipo siku Taifa litapata challenge inayotaka umoja wa kitaifa kulitatua lakini kwa kuwa watu wameminywa, wamegawanyika wanaona hata huo wito wa kuunganisha nguvu kwa ajili ya kupambana kwa pamoja kuondoa tatizo husika hauna maana!.

Fikiria kwa mfano Taifa liingie vitani na Malawi, huku wananchi wa kusini wanapigwa danadana kulipwa korosho zao, Huku watu wa kaskazini wakilalamika kutengwa, huku wapinzani wakiminywa hawapumui. HIYO COALITION YA KITAIFA ITAPATIKANAJE?

Wazungu huwa hawaingii kiurahisi katika nchi zenye umoja, bali watawala kwa matendo yao hutengeneza mazingira ya watu kuwaomba wazungu waje wasaidie bila hata kujali gharama!.
Sasa ona leo Wazungu wanatumia loophole za uminywaji wa haki za kiraia kupenyeza kiakili sana ajenda yao ya ushoga!, Laiti tungekuwa tumeungana, Taifa lina haki, Sote tungewashukia hawa jamaa kama mwewe!

KITU KIKUBWA CHA KUTISHIA USALAMA WA NCHI HUWA NI KUTOKUHESHIMU KATIBA NA SHERIA ZA NCHI, HATA MWALIMU ALILIITA JAMBO HILI KUWA NI NYUFA

Classic insights!

Punguani wanaongozwa na emotions hua hawawezi elewa madini nadra namna hii!

Na I think jiwe akileta ujuaji tu atafundishwa lesson moja kali sana!
 
Naona bado wako diplomatic. resolution si ndiyo hiyo namba 1-15? naona lugha ya kidiplomasia zaidi, lakini kimsingi nadhani jamaa wanatighten msimamo
Kidiplomasia hiyo resolution ya EU ni zaidi ya matusi. Read between the lines na lugha ya kuamrisha iliyotumika.
 
Huyu jamaa ndani ya muda mfupi sana amegeuka kituko cha karne kimataifa. Theses zitaandikwa nyingi sana "THE RISE AND FALL OF X". Ni kituko kweli kweli.

Mkuu

Nikipata vijisenti najenga documentary kabisa aisee!

Nakusanya materials yote yanayotoka sasa hivi....videos zake,magazeti,vituko vya lissu,makonda na clouds,mo,korosho,makinikia,rwanda,bombadier,utumbuaji,fungafunga mbowe,tra,etc,etc..siachi kitu...

Nikija fyatua documentary 2026 ni best seller na nakua rich forever!
 
Mkuu nawewe mtaalamu unauliza resolution haraka hivyo wamekutajia references zote hizo, case study ya Sudani Zimbabwe, Libya venezuela.....ndo wana conclude vizuri "every country is equal before the law"
Resolution ilikuwa haijawekwa...
 
Mkuu

Nikipata vijisenti najenga documentary kabisa aisee!

Nakusanya materials yote yanayotoka sasa hivi....videos zake,magazeti,vituko vya lissu,makonda na clouds,mo,korosho,makinikia,rwanda,bombadier,utumbuaji,fungafunga mbowe,tra,etc,etc..siachi kitu...

Nikija fyatua documentary 2026 ni best seller na nakua rich forever!
Kwa kweli utauza. Vizazi vijavyo miaka mingi ijayo watakuja kuigiza similar to SULTAN inayoigiza utwala wa Ottoman japo wao most positively.
 
Where is the resolution?
P
Kuuliza si ujinga. Lakini kuna swali la kijinga. Hili nalo ndilo. The resolution is there where it is. There where it's supposed to be. Anybody can always access it. Did you fail to get it? P of all the people! You must be kidding.. Sorry for being a bit harsh. You deserved it!
 
Document lugha imekaa kiamri amri ndio utaelewa who runs this world...

Sasa jiwe ajifanye kichwa ngumu aone!

Hii dunia jifunze ku-negotiate your way among vultures,jifanye tofali kama hutachongwa ukae sawa!

Dunia ina kila aina ya watu,penda usipende lazima ujifunze jinsi ya ku-coexist,know your place small soldier!

Zikilizeni kinachofuata jiwe akijifanya hamnazo!
cheap..... muzungu kasema
 
Resolu
Hapo number 8,hawa EU ni bure kabisa!, Rais Magufuli ndiye aliyesema hasomeshi wenye mimba, sasa una call authority gani iingilie?.

Number 9 wanampangia kazi Rais Magufuli?!.

Number 10 kuna watu wameshitakiwa for political crimes or ni criminal issues.

Hawajui kuwa Magufuli hapangiwi?. Kama katiba alioapa kuilinda ameweka pembeni, who is EU?.

Naona hawa wazungu wanajifurahisha tuu, kama vipi wazuie tuu misaada yao na watunyime visas za Shengen, tutakwenda UK na China.

Tanzania ni sovereign state, tuna uhuru wa kujipangia mambo yetu kama hatutaki ushoga wasitupangie na kutulazimisha bali tufundishwe tuu managing diversity ya kuwakubali mashoga kama walemavu wengine wote, tusiwabague wala kuwanyanyapaa lakini kubadili sheria zetu bado sana.
P
Impossible to issue resolutions based on fabricated issues Mzee
 
Back
Top Bottom