mrawira
Senior Member
- Sep 20, 2018
- 104
- 51
Huyu mtu wamtenge tu mpaka atakapojirekebisha.
Jinga sana wewe
Huyu mtu wamtenge tu mpaka atakapojirekebisha.
Papaa Mobimba, Where is the source; or did you write this "resolution"?
Wanapoteza muda wao sisi Hapa Kazi Tu!
Mkuu wanapokusanya taarifa hawa watu hawaichi upenyo. Taarifa zao sasa zimekusanywa zimechujwa , zimelinganishwa wana uhakika nazo.Sikatai , vya maana vipo,ingawa vyootw ifa vimesemewa baada ya Mr Zero brain kuwagusa GBLTI. Ukali huu ulikua wapi siku zote za miaka hii mitatu ambapo jiwe kafanya mengi ya hovyo?.
Hawa wana agenda ya siri
Anachofanya mkuu wa nchi ni sawa na nyama ya kitimoto, inajikaanga kwa mafuta yake yenyewe!😀Hili azimio litoshe kumfungua macho Jiwe, uhuru wa watu ungekuwa hauminywi haki za kidemokrasia zingekuwa hazisiginwi Taifa lingekuwa na umoja wa nguvu kuwalaani wazungu juu ya kutushinikiza kubadiri sheria za nchi kuhusu mambo ya ushoga. Lakini matendo yake ya ukandamizaji wa haki za msingi za kikatiba na kisiasa zilizoko kisheria yametuletea mgawanyo wa kitaifa kiasi kwamba watu wanawaona wazungu ni wakombozi badala ya yeye kiongozi wetu!.
Hili litoshe kumjulisha kuwa ipo siku Taifa litapata challenge inayotaka umoja wa kitaifa kulitatua lakini kwa kuwa watu wameminywa, wamegawanyika wanaona hata huo wito wa kuunganisha nguvu kwa ajili ya kupambana kwa pamoja kuondoa tatizo husika hauna maana!.
Fikiria kwa mfano Taifa liingie vitani na Malawi, huku wananchi wa kusini wanapigwa danadana kulipwa korosho zao, Huku watu wa kaskazini wakilalamika kutengwa, huku wapinzani wakiminywa hawapumui. HIYO COALITION YA KITAIFA ITAPATIKANAJE?
Wazungu huwa hawaingii kiurahisi katika nchi zenye umoja, bali watawala kwa matendo yao hutengeneza mazingira ya watu kuwaomba wazungu waje wasaidie bila hata kujali gharama!.
Sasa ona leo Wazungu wanatumia loophole za uminywaji wa haki za kiraia kupenyeza kiakili sana ajenda yao ya ushoga!, Laiti tungekuwa tumeungana, Taifa lina haki, Sote tungewashukia hawa jamaa kama mwewe!
KITU KIKUBWA CHA KUTISHIA USALAMA WA NCHI HUWA NI KUTOKUHESHIMU KATIBA NA SHERIA ZA NCHI, HATA MWALIMU ALILIITA JAMBO HILI KUWA NI NYUFA
Kanusha wewe na serikali yako mnaojua ukweli.Hahahaha ni bora wapinzani fake wafe ili nchi iendelee kuliko kuwa na wajinga fulani wanaopeleka uongo kwa wazungu, na ninaamini serikali iandae utaratibu wa ku kukanusha huu uongo mfano L.
Na uhame na nchi mi utanikuta nipo KWA MALIKIA NIMESHAKIMBIA NAENDA KUOMBA ASYLUM SEEKER NIWE M BRITISH TU KWA KISINGIZIO NIMENUSURIKA KUKAMATWA NA MAKONDA TEHE TEHE NAWAAMBIA MI GAY KWANI WATANICHUNGULIA TUNDU LANGU KUPROOVEMkuu
Nikipata vijisenti najenga documentary kabisa aisee!
Nakusanya materials yote yanayotoka sasa hivi....videos zake,magazeti,vituko vya lissu,makonda na clouds,mo,korosho,makinikia,rwanda,bombadier,utumbuaji,fungafunga mbowe,tra,etc,etc..siachi kitu...
Nikija fyatua documentary 2026 ni best seller na nakua rich forever!
Well said bro!Document lugha imekaa kiamri amri ndio utaelewa who runs this world...
Sasa jiwe ajifanye kichwa ngumu aone!
Hii dunia jifunze ku-negotiate your way among vultures,jifanye tofali kama hutachongwa ukae sawa!
Dunia ina kila aina ya watu,penda usipende lazima ujifunze jinsi ya ku-coexist,know your place small soldier!
Zikilizeni kinachofuata jiwe akijifanya hamnazo!
Mbona hapo hakuna ukweli, zimejaa porojo, yaani EU wanadhani Tz ni kama subsidiary yao. Sisi kama nchi kila jambo linafanyika kwa mujibu wa sheria, mfano issue ya yule diwani wa chama kilichokufa wa Moro aliuawa na visasi vya ardhi na kesi ipo mahakamani, lakini eti wanasema serikali inahusika. Yaani hiyo ripoti unaweza dhani imeandikwa na wapinzani akina mbow gerezaniKanusha wewe na serikali yako mnaojua ukweli.
hivi hapa kazi tu ya ujenzi wa exchange ya ubungo imefika wapi? msaada tu maana mimi ni mgeni hapaHamna kitu hapo. Bla bla tupu. JPM piga kazi. Lete mchezomchezo fyekelea kule gerezani wakafanye huo mchezo wao.
Na wanatufahamu sana especially kuhusu emotions. Wazungu wanajuwa kuzi stoke!Mkuu naona umeona ushoga tu kwasababu ushajipanga kuelekea huko..
Document imeongelea haki kibao mkuu....jaribu kusoma vizuri!
Watu emotional wanakimbilia kile kilichostua emotions zao wanaacha mambo chungu nzima ya maana vilevile..
Ondoa neno ushoga kichwani mwako for a minute and re-read the document uone vitu vingine!
Paragraph zote zilizoanza na "Calls för....' ndio resolution,conclution zenyewe, KiongoziPapaa Mobimba, What is the conclusion?? What is the resolution??
Wewe ndiye ulipendekeza kukanusha, mkakanushe hizo hoja.Mbona hapo hakuna ukweli, zimejaa porojo, yaani EU wanadhani Tz ni kama subsidiary yao. Sisi kama nchi kila jambo linafanyika kwa mujibu wa sheria, mfano issue ya yule diwani wa chama kilichokufa wa Moro aliuawa na visasi vya ardhi na kesi ipo mahakamani, lakini eti wanasema serikali inahusika. Yaani hiyo ripoti unaweza dhani imeandikwa na wapinzani akina mbow gerezani
Mtawekewa kitambaa chekundu hadi mtie akili.Asilimia 90% ya tamko ni kutetea useng.e tu (homosexuality). Yaani hizo issue nyingine ni visingizio tu. Useng.e wa kufilana Sie hatutaki.
Unaposema “hatutaki ushoga” Kwani wanachotaka wao ni kipi? Maana mwishoni umesema “tufundishwe tu managing diversity ya kuwakubali mashoga kama walemavu wengine wote...”Hapo number 8,hawa EU ni bure kabisa!, Rais Magufuli ndiye aliyesema hasomeshi wenye mimba, sasa una call authority gani iingilie?.
Number 9 wanampangia kazi Rais Magufuli?!.
Number 10 kuna watu wameshitakiwa for political crimes or ni criminal issues.
Hawajui kuwa Magufuli hapangiwi?. Kama katiba alioapa kuilinda ameweka pembeni, who is EU?.
Naona hawa wazungu wanajifurahisha tuu, kama vipi wazuie tuu misaada yao na watunyime visas za Shengen, tutakwenda UK na China.
Tanzania ni sovereign state, tuna uhuru wa kujipangia mambo yetu kama hatutaki ushoga wasitupangie na kutulazimisha bali tufundishwe tuu managing diversity ya kuwakubali mashoga kama walemavu wengine wote, tusiwabague wala kuwanyanyapaa lakini kubadili sheria zetu bado sana.
P
Mkuu,hata kokoto zilikuwa Jiwe! Kwa hiyo hata jiwe nalo linaweza kugeuka kokoto anytime!Document lugha imekaa kiamri amri ndio utaelewa who runs this world...
Sasa jiwe ajifanye kichwa ngumu aone!
Hii dunia jifunze ku-negotiate your way among vultures,jifanye tofali kama hutachongwa ukae sawa!
Dunia ina kila aina ya watu,penda usipende lazima ujifunze jinsi ya ku-coexist,know your place small soldier!
Zikilizeni kinachofuata jiwe akijifanya hamnazo!
Mkuu,karibu sana humu tuendeleze mapambano.Tumefurahi umerudi.Unapitisha bakuli lako la omba omba kisha unataka kuleta kiburi kwa EU!
Serikali yaiangukia Benki ya Maendeleo Ulaya (EIE) itoe kibali cha mkopo. - JamiiForums
akili yako inasikitisha sanaMbona hapo hakuna ukweli, zimejaa porojo, yaani EU wanadhani Tz ni kama subsidiary yao. Sisi kama nchi kila jambo linafanyika kwa mujibu wa sheria, mfano issue ya yule diwani wa chama kilichokufa wa Moro aliuawa na visasi vya ardhi na kesi ipo mahakamani, lakini eti wanasema serikali inahusika. Yaani hiyo ripoti unaweza dhani imeandikwa na wapinzani akina mbow gerezani
Upo sahihi! Ndugu zangu Lumumba siwaoni! Sasa sijui ni lugha gongana au kitu gani? Hapo kwenye bold ndo ukweli wenyewe. Wanaweza ingiza timu!Document lugha imekaa kiamri amri ndio utaelewa who runs this world...
Sasa jiwe ajifanye kichwa ngumu aone!
Hii dunia jifunze ku-negotiate your way among vultures,jifanye tofali kama hutachongwa ukae sawa!
Dunia ina kila aina ya watu,penda usipende lazima ujifunze jinsi ya ku-coexist,know your place small soldier!
Zikilizeni kinachofuata jiwe akijifanya hamnazo!
14. Calls for the EU to continue to closely monitor the human rights situation in Tanzania, particularly through regular reporting by its delegation; calls on the European Union Delegation and Member States to do all they can to provide emergency protection and support to human rights defenders at risk;