Mkuu hawa watu sio waungwana kabisa,yaani mtu mmoja ndiye awafanye angalau wafikirie,lakini hawakujali yaliyotokea Yemen kabla ya Kashoggi?Haingii akilini.Na Syria jee,Iraq ambako Saudia wana mkono wao?Kutengwa kwa Quatar je, ambako Saudia wanahusika moja kwa moja?Mkuu hivi unajua ISIS weapons na logistics wanakuwa supplied na Saudia?Unajua hata majengo pacha ya WTC Saudia ilitumiwa na Marekani kuyaporomosha tarehe 11 September?Hivi unajua Wahabism?Waache double standards,waache ushirika na Saudia kama wanataka tuwaamini,Saudia is such an evil Kingdom.