European Parliament resolution on Tanzania

European Parliament resolution on Tanzania

mkuu moja kati ya misingi mhimu wa demokrasia ni uhuru wa kutoa maoni

Hii nchi isingekua na demokrasia hata hii forum ingefungwa maana ni platform ya watu kutoa maoni

Ambacho kinazuiliwa ni mazoea ya watu kutoa matusi kwa viongozi na si vinginevyo

Na ndio maana kila siku unawaona kina fatma karume wanaongea bila kuguswa
Vipi kuhusu sheria mpya ya takwimu? vipi kuhusu kuzuia mikutano ya kisiasa kinyume na katiba? vipi kuhusu kanuni za maudhui ya mitandaoni? vipi kuhusu kufungia magazeti? vipi kuhusu mswada mpya wa vyama vya siasa? vipi kuhusu wizi wa kura?????????????????????
 
Akazie hapo hapo umbwa hawa. Mpaka ulaya waisome namba
Hata Mugabe alikaza mwisho wa siku akasanda hata hao wachina hawakumuokoa. Na kingine ufahamu kuwa Jiwe hayupo pale kwa maslai yetu sote bali kwa maslai yake yeye mwenyewe na kikundi chake na wakina Bashite. Kwa hiyo kwa hili hatutakuwa pamoja na Jiwe whatever the case happens.
 
Hilo swali lako nimekua silielewi, unaweza kufafanua mkuu?
Ulisema pamoja na magu kukunyima ajira lakini unamsapoti kupinga ushoga! Ndio nakuuliza, ukiambiwa uchague kati ya kupewa ajira na nchi kuruhusu ushoga utachagua nini?
 
Siku si nyingi, mahakama ya juu ya EU ilitoa azimio kwamba mapenzi ya jinsia moja si mmoja ya haki za binadamu. Iweje hawa hawa EU waoneshe kwamba kuminywa tabia ya mapenzi ya jinsia moja ni ukiukwaji wa haki za binadamu?
Je, wao baada ya uchaguzi kwa nini mikutano ya kisiasa huisha? Iweje sisi waone kama ni ukiukwaji wa haki za kiraia?
Sina uhakika haki za mtoto wa kike zinahesabiwaje. Alichosema raisi ni serikali kutokumsomesha mtoto aliyezaa na sio kuzuia mtoto aliyezaa kusoma!
Yote kwa yote, kama kuna yeyote anayenyimwa haki zake, tunazo mahakama ambazo kwa namna moja au nyingine zinaweza kuwapa haki ambayo wanadhani imepotea. Vinginevyo, wamwache Maghufuli arekebishe nchi ambayo kwao ilikuwa ni shamba la bibi!
 
Siku si nyingi, mahakama ya juu ya EU ilitoa azimio kwamba mapenzi ya jinsia moja si mmoja ya haki za binadamu. Iweje hawa hawa EU waoneshe kwamba kuminywa tabia ya mapenzi ya jinsia moja ni ukiukwaji wa haki za binadamu?
Je, wao baada ya uchaguzi kwa nini mikutano ya kisiasa huisha? Iweje sisi waone kama ni ukiukwaji wa haki za kiraia?
Sina uhakika haki za mtoto wa kike zinahesabiwaje. Alichosema raisi ni serikali kutokumsomesha mtoto aliyezaa na sio kuzuia mtoto aliyezaa kusoma!
Yote kwa yote, kama kuna yeyote anayenyimwa haki zake, tunazo mahakama ambazo kwa namna moja au nyingine zinaweza kuwapa haki ambayo wanadhani imepotea. Vinginevyo, wamwache Maghufuli arekebishe nchi ambayo kwao ilikuwa ni shamba la bibi!
Mahakama haikusema kitu kuhusu mapenzi ya jinsia moja, isipokuwa ilijikita kwenye NDOA za jinsia moja. Nina imani unaweza kutofautisha kati ya mapenzi ya jinsia moja na ndoa za jinsia moja.
 
Vipi kuhusu sheria mpya ya takwimu? vipi kuhusu kuzuia mikutano ya kisiasa kinyume na katiba? vipi kuhusu kanuni za maudhui ya mitandaoni? vipi kuhusu kufungia magazeti? vipi kuhusu muswada mpya wa vyama vya siasa? vipi kuhusu wizi wa kura?????????????????????
sheria mpya za takwimu umeshazisoma?

Unaweza kutuwekea hapa tuone ubaya wake?

Magufuri hakuzuia mikutano ya kisiasa, alitoa utaratibu wa kila mbunge kufanya mikutano jimboni kwake kwa kufata sheria

kanuni za maudhui mitandaoni ziliasisisiwa na kikwete, mbona sikusikia kelele za wazungu?

kufungia magazeti ilikuepo tangu enzi hizo ila sikusikia kelele za wazungu,

Hii nshu ya wizi wa kura mliambiwa kama mna ushahidi mwende mahakamani.
 
Wazungu kweli kuna wakati ni washenzi lakini Mara zote sisi mataifa ya ulimwengu wa tatu huwa tunawapa namna ya kutuingilia, hapa kwetu tumewapa nafasi na wataitumia kweli, tusubiri tuone, ngoma imeanza
 

The European Parliament,

– having regard to its previous resolutions on Tanzania, including that of 12 March 2015,

– having regard to the Declaration by High Representative Federica Mogherini of 15 November 2018 on behalf of the EU on EU-Tanzania relations,

– having regard to the local EU statement of 23 February 2018 on the rise in politicallyrelated violence and intimidation in Tanzania,

– having regard to the Council conclusions of 16 June 2016 on LGBTI equality,

– having regard to the statement by Michelle Bachelet, UN High Commissioner for Human Rights (OHCHR), of 2 November 2018 on the prosecution and arrests of LGBT people in Tanzania,

– having regard to the EU Council’s Toolkit to promote and protect the enjoyment of all human rights by lesbian, gay, bisexual and transgender people (the LGBT Toolkit),

– having regard to the Universal Declaration of Human Rights, the International Covenant on Civil and Political Rights and the Convention on the Elimination of All Forms of Discrimination against Women,

– having regard to the UN Convention on the Rights of the Child,

– having regard to the African Charter on Human and Peoples’ Rights (ACHPR),

– having regard to the ACP-EU Partnership Agreement (‘Cotonou Agreement’),

– having regard to Rules 135(5) and 123(4) of its Rules of Procedure,

A. whereas, since the election of Tanzanian President John Pombe Magufuli in 2015, basic rights in the country have been undermined through repressive laws and decrees; whereas critical journalists, opposition politicians and outspoken civil society activists have faced threats, arbitrary detention and harassment;

B. whereas there has been increasing stigmatisation, violence and targeted arrests against LGBTI people over the past two years in the country; whereas, under Tanzanian law, same-sex relationships are criminal offences punishable by 30 years to life imprisonment; whereas Tanzania’s anti-homosexuality law is among the harshest in the world;

C. whereas suspected gay men in Tanzania are subjected to forced anal examinations, a discredited method of ‘proving’ homosexual conduct that the United Nations and the African Commission on Human and People’s Rights have denounced as torture;

D. whereas Paul Makonda, the regional commissioner of Dar Es Salaam, has been a prominent advocate of the repression; whereas, at a press conference on 31 October 2018, he announced the creation of a task force to track down gay men, prostitutes and people conducting fraudulent fundraisers on social media; whereas he called on the public to report suspected gay people to the authorities;

E. whereas the Ministry of Health has temporarily suspended the provision of HIV and AIDS services at community level and has closed drop-in centres for key populations, including gay men; whereas it closed 40 health centres on 17 February 2017 for allegedly encouraging homosexuality; whereas several organisations have reported that the crackdown on the LGBTI community has resulted in HIV-positive men failing to access their anti-retroviral treatment, while others have stopped accessing testing and preventive services;

F. whereas in November 2018 ten men were arrested in Zanzibar for allegedly conducting a same-sex marriage ceremony; whereas 13 health and human rights activists were arrested on 17 October 2018 for participating in a meeting to discuss a law restricting the access of LGBTI people to some health services;

G. whereas many children and adolescents, particularly girls, are exposed to human rights abuses and harmful practices, including widespread sexual violence, corporal punishment, child marriages and teenage pregnancies, that make schooling difficult or impossible for them; whereas the Tanzanian Government obstructs access to sexual and reproductive health services and intimidates organisations providing information about such services;

H. whereas on 22 June 2018 President Magufuli issued a declaration banning pregnant girls from attending school; whereas the authorities are intimidating civil society organisations (CSOs) that advocate the rights of pregnant girls to go back to school;

I. whereas the Tanzania Commission for Human Rights and Good Governance has not been operational for some time; whereas President Magufuli has not appointed commissioners or other office bearers to the Commission;

J. whereas the government has shut down or threatened privately owned radio stations and newspapers, and ended live transmissions of parliamentary debates; whereas local channels and decoders which air local channels have been closed;

K. whereas Tanzania’s National Assembly passed the Cybercrimes Act in 2015 and the Online Content Regulations in September 2018 with the aim of controlling content used on social media; whereas the Statistics Act adopted in 2015 states that it is not allowed to discuss or question certain statistics communicated by the government;

L. whereas leading opposition members are regularly arrested on charges ranging from allegedly insulting the President to false information and sedition; whereas 20 members of Tanzania’s main opposition party were arrested in July 2018 over claims that they were fomenting trouble; whereas several political opposition members and parliamentarians have been violently attacked and even killed since the start of 2018; whereas on 22 February Godfrey Luena, a member of parliament with Tanzania’s main opposition party Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) and a vocal land rights defender, was killed with machetes outside his home; whereas in November 2018 the programme coordinator of the Committee to Protect Journalists (CPJ), Africa Angela Quintal, and her colleague Muthoki Mumo were arrested and released after pressure by international institutions;

M. whereas tourism development in recent years has led to increased activity, particularly in the Serengeti region where the Maasai live; whereas the control of arable or scarce land for speculative purposes has led to strong tensions in the area;

N. whereas the EU Head of Delegation Roeland van de Geer was forced to leave the country after the Tanzanian authorities exerted increased pressure on him; whereas, since the election of President Magufuli, the Head of UN Women, the Head of the UNDP and the Head of Unesco have all been expelled from Tanzania;

O. whereas the EU High Representative Federica Mogherini has announced a comprehensive review of the Union’s relations with Tanzania;

1. Expresses its concern about the deteriorating political situation in Tanzania characterised by a shrinking of the public space through the tightening of restrictions on the activities of civil society organisations, human rights defenders, the media and many political parties; is especially worried about the deteriorating situation for LGBTI persons;

2. Denounces all incitement to hatred and violence on grounds of sexual orientation; urges the Tanzanian authorities to ensure that Paul Makonda ends his provocation against the LGBTI community and is brought to justice for incitement to violence;

3. Calls for independent investigations to be conducted into cases of attacks and assaults on journalists, LGBTI people, human rights defenders and opposition party members, with a view to bringing suspected perpetrators to justice;

4. Reminds the Tanzanian Government of its obligation, including commitments made under the Cotonou Agreement, to protect the rights, dignity and physical integrity of all its citizens in all circumstances;

5. Calls on Tanzania to repeal laws criminalising homosexuality;

6. Urges the EU and its Member States to make full use of the LGBT Toolkit to encourage third countries to decriminalise homosexuality, help reduce violence and discrimination and protect LGBTI human rights defenders;

7. Calls on the Tanzanian authorities to amend all restrictive provisions in the Cybercrimes Act, the Electronic and Postal Communications (Online Content) Regulations and the Media Services Act and replace these with provisions that will guarantee freedom of expression and the media in line with international human rights standards;

8. Calls on the Tanzanian authorities to repeal any laws, policies or other barriers to services and information that women, girls and young mothers need for a healthy life, most notably President Magufuli’s declaration that girls who give birth should not be allowed to return to school, including the repeal of regulations that make it legal for pregnant girls to be expelled from school;

9. Urges the President of Tanzania to make the country’s Human Rights Commission operational as soon as possible, to appoint commissioners to follow up on human rights violations, and to take action to support domestic workers abroad;

10. Calls on the Tanzanian authorities to release political prisoners;

11. Expresses serious concern about the pressure exerted by the Tanzanian Government on the EU Head of Delegation, Roeland van de Geer; welcomes the decision of the European Union and its Member States to conduct a comprehensive review of EU policies towards Tanzania; insists on the importance of political dialogue to seek tangible commitments from the Tanzanian authorities towards creating an enabling environment for the operation of civil society, political parties and the media; calls on the Commission to ensure that an explicit reference to non-discrimination based on sexual orientation is included in the future ACP-EU partnership agreement post-2020;

12. Expresses concern at the situation of the Maasai people; denounces the use of force by the authorities and security forces;

13. Calls on the Tanzanian authorities to act decisively to safeguard the rights of civil society organisations, human rights defenders, journalists, health workers and political activists in accordance with the Tanzanian constitution, the African Charter of Human and Peoples’ Rights and the country’s international and regional obligations and commitments;

14. Calls for the EU to continue to closely monitor the human rights situation in Tanzania, particularly through regular reporting by its delegation; calls on the European Union Delegation and Member States to do all they can to provide emergency protection and support to human rights defenders at risk;

15. Instructs its President to forward this resolution to the Council, the Commission, the Vice-President of the European Commission / High Representative of the Union for Foreign Affairs and Security Policy, the EU Special Representative for Human Rights, the ACP-EU Council, the institutions of the African Union, the institutions of the East African Community, and the President, Government and Parliament of Tanzania.

SOURCE: http://www.europarl.europa.eu/sides...+P8-RC-2018-0570+0+DOC+PDF+V0//EN&language=EN
another rubbish to end the year.
 
sheria mpya za takwimu umeshazisoma?

Unaweza kutuwekea hapa tuone ubaya wake?

Magufuri hakuzuia mikutano ya kisiasa, alitoa utaratibu wa kila mbunge kufanya mikutano jimboni kwake kwa kufata sheria

kanuni za maudhui mitandaoni ziliasisisiwa na kikwete, mbona sikusikia kelele za wazungu?

kufungia magazeti ilikuepo tangu enzi hizo ila sikusikia kelele za wazungu,

Hii nshu ya wizi wa kura mliambiwa kama mna ushahidi mwende mahakamani.
Kumbe unahitaji elimu?? Sikujua.

Sheria mpya za takwimu za marekebisho ya 2018 zinazuia mtu yoyote asitoe takwimu za kuipinga serikali, na pia takwimu zozote zinapaswa kupewa kibali. Mtu yeyote anayetoa takwimu za kuipinga serikali anatenda uhalifu!!!!!

Kanuni za maudhui ya mitandaoni zimetengenezwa 2018 . Hazijatengenezwa na Kikwete.

Kumbe hauna taarifa sahihi aisee. Pole sana mkuu.
 
Wazungu kweli kuna wakati ni washenzi lakini Mara zote sisi mataifa ya ulimwengu wa tatu huwa tunawapa namna ya kutuingilia, hapa kwetu tumewapa nafasi na wataitumia kweli, tusubiri tuone, ngoma imeanza
nakuhakikishia huo uwezo hawana kwa sasa

Ni mkwala tu huo.
 
Actually wameshaacha baadhi ya Mataifa kwenye E.U yameshaacha kuiuzia Saudi Silaha,naamini ni ufaransa pekee ndio imebaki ambayo bado haijaamua ila iko kwenye mchakato

Sent from my LG-H990 using JamiiForums mobile app
Mkuu hawa watu sio waungwana kabisa,yaani mtu mmoja ndiye awafanye angalau wafikirie,lakini hawakujali yaliyotokea Yemen kabla ya Kashoggi?Haingii akilini.Na Syria jee,Iraq ambako Saudia wana mkono wao?Kutengwa kwa Quatar je, ambako Saudia wanahusika moja kwa moja?Mkuu hivi unajua ISIS weapons na logistics wanakuwa supplied na Saudia?Unajua hata majengo pacha ya WTC Saudia ilitumiwa na Marekani kuyaporomosha tarehe 11 September?Hivi unajua Wahabism?Waache double standards,waache ushirika na Saudia kama wanataka tuwaamini,Saudia is such an evil Kingdom.
 
Kumbe unahitaji elimu?? Sikujua.

Sheria mpya za takwimu za marekebisho ya 2018 zinazuia mtu yoyote asitoe takwimu za kuipinga serikali, na pia takwimu zozote zinapaswa kupewa kibali. Mtu yeyote anayetoa takwimu za kuipinga serikali anatenda uhalifu!!!!!

Kanuni za maudhui ya mitandaoni zimetengenezwa 2018 . Hazijatengenezwa na Kikwete.

Kumbe hauna taarifa sahihi aisee. Pole sana mkuu.
Nimekwambia uilete hiyo kanuni hapa mtandaoni ili nione ubaya wake,

hicho ulichoandika ni hadithi
 
Back
Top Bottom