European Parliament resolution on Tanzania

European Parliament resolution on Tanzania

Nafahamu hayo yote but Marekani ilifahamu hayo yote prior and after 9/11 na still iliendelea na biashara na Saudi,kwanini!!?

Majorly kwasababu ya mafuta,also hela iliyokuwa inaingiza toka Saudi kwa kuuza silaha na lastly ni geopolitical power coz saudi alikuwa na anaendelea kuwa na nguvu zaidi Middle East na ni "rafiki" pekee wa Marekani hence E.U

Now days Saudi sio mzalishaji mkubwa wa mafuta,vita na Yemen imeshaonekana haiwezi kushinda kwa mtutu also humanitarian crisis ni kubwa kuifumbia macho na kuendelea kuisaidia Saudi hata kama Marekani na E.U wanaichukia Iran.

Lastly vifo vya wengi ni statistics,kifo kimoja ni kifo.....always kinachukuliwa serious,Saudi imefanya mengi ya kuvunja haki za binadamu but kuuwawa kwa khashoggi kumewauma wengi kwasababu ni kifo cha mtu mmoja.

Also wananchi wa nchi nyingi za ulaya na hata Marekani wameanza kuhoji serikali zao kuhusu uhalali wa mahusiano ya Saudi na Nchi zao,Nchi kama Canada tayari ina mahusiano mabovu na Saudi kwasababu ya ku'criticize mienendo ya Saudi katika issue za haki za binadamu.

Mengi sana tutayaona mbeleni yakibadilika kuhusu Saudi.
May be,and I say may be.Wao ni pesa zaidi kuliko mtu.
 
Huyu mtu wamtenge tu mpaka atakapojirekebisha.

Kwa mtazamo wangu,haya maazimio ni kama mtego na akiendelea na kiburi chake,basi ajue tu watakwenda zaidi ya hapa.

Na tujue tu US watawaunga mkono EU.
Endelea kusubiri hatuwezi kukubali ushoga
 
Hapo number 8,hawa EU ni bure kabisa!, Rais Magufuli ndiye aliyesema hasomeshi wenye mimba, sasa una call authority gani iingilie?.

Number 9 wanampangia kazi Rais Magufuli?!.

Number 10 kuna watu wameshitakiwa for political crimes or ni criminal issues.

Hawajui kuwa Magufuli hapangiwi?. Kama katiba alioapa kuilinda ameweka pembeni, who is EU?.

Naona hawa wazungu wanajifurahisha tuu, kama vipi wazuie tuu misaada yao na watunyime visas za Shengen, tutakwenda UK na China.

Tanzania ni sovereign state, tuna uhuru wa kujipangia mambo yetu kama hatutaki ushoga wasitupangie na kutulazimisha bali tufundishwe tuu managing diversity ya kuwakubali mashoga kama walemavu wengine wote, tusiwabague wala kuwanyanyapaa lakini kubadili sheria zetu bado sana.
P

Pascal huwa wakati mwingine nakupa big up, huyu mutu syo kabisa anakanyaga katiba halafu hataki kuhojiwa.Ni Dikteta hata idd amin alianza hivihivi
 
Mkuu naona umeona ushoga tu kwasababu ushajipanga kuelekea huko..

Document imeongelea haki kibao mkuu....jaribu kusoma vizuri!

Watu emotional wanakimbilia kile kilichostua emotions zao wanaacha mambo chungu nzima ya maana vilevile..

Ondoa neno ushoga kichwani mwako for a minute and re-read the document uone vitu vingine!
After all ushoga ni uamuzi wa mtu na anatumia mwili wake hivyo ni uhuru wake ila kunyea katiba ambayo ni ya raia wote wa nchi syo sawa, kichwa kimoja kuamulia watu milion 50+ ni upumbavu, ila mijitu kama hilo lililoona ushoga pekee ni punguani na hana faida kwa taifa bora shoga maana ana uwezo wa kuzalisha
 
Hahahaaaa

Yaani mkuu ukisikiliza hizo hoja zao za ushoga mpaka unashangaa hawa watu ni mataahira au ni nini....

Ni aibu kabisa nchi kuacha vitu muhimu walivyo address na kushadadia ushoga as if unatusaidia chochote!

Yaani we have produced a rotten rulling class and we should be ashamed of ourselves as a civilization to bring these clowns on this earth!
 
TUTAVUKA SALAMA

KAMA SIKU ZOTE NA NYAKATI ZOTE
 
Hapo number 8,hawa EU ni bure kabisa!, Rais Magufuli ndiye aliyesema hasomeshi wenye mimba, sasa una call authority gani iingilie?.

Number 9 wanampangia kazi Rais Magufuli?!.

Number 10 kuna watu wameshitakiwa for political crimes or ni criminal issues.

Hawajui kuwa Magufuli hapangiwi?. Kama katiba alioapa kuilinda ameweka pembeni, who is EU?.

Naona hawa wazungu wanajifurahisha tuu, kama vipi wazuie tuu misaada yao na watunyime visas za Shengen, tutakwenda UK na China.

Tanzania ni sovereign state, tuna uhuru wa kujipangia mambo yetu kama hatutaki ushoga wasitupangie na kutulazimisha bali tufundishwe tuu managing diversity ya kuwakubali mashoga kama walemavu wengine wote, tusiwabague wala kuwanyanyapaa lakini kubadili sheria zetu bado sana.
P

Nilikuwa najiuliza sana imekuwaje Magu gafla anawakalisha TRA, MaRC na Ma RAS? sASA NIMEELEWA. Alishaisoma hiyo barua, kapiga hesabu budget ijayo hawatachangia hivyo inabidi kodi zikusanywe hasa ili mambo yaende. Maana hana mpango wa kutekeleza hata nukta moja ya hicho kilichoandikwa.

EU wapumbavu sana, wamemshindwa Trump anavyowapelekesha, Saudi Arabia wamemuogopa hata kumkaripia kwa mauaji ya Khashogi,
Watu wao tu wamezichoka sera zao wanawapiga vita ama kwa maandamano kama Ufaransa, Ugiriki au kwa kuchagua kwa nguvu vyama vya siasa vinavyoipinga EU kama walivyofanya Ujerumani, Denmark, Uholanzi, Sweden, Italia, Hungary, Austria, etc.
Sasa wamebakiza huku kwetu tu ndo pakujitutumulia.

Magu kunamambo anaboa sana LAKINI sisi ni nchi huru. Tusikubali ukoloni mambo leo.
 
Hata mm sasa niko tayari kula mizizi kwa ajili ya nchi yangu Tanzania hawa Watu ni wajinga kabisa.usenge usenge si wafilane wenyewe kwani Hawana makalio
 
Hahahaaaa

Yaani mkuu ukisikiliza hizo hoja zao za ushoga mpaka unashangaa hawa watu ni mataahira au ni nini....

Ni aibu kabisa nchi kuacha vitu muhimu walivyo address na kushadadia ushoga as if unatusaidia chochote!

Yaani we have produced a rotten rulling class and we should be ashamed of ourselves as a civilization to bring these clowns on this earth!
Bro ndo shida ya kuongozwa na wanaojinasibu ni vichaa, halafu 2020 bado mbele kwa mbele, that means even the voters are mads, ni taifa pekee raia wake wanachagua vichaa.
Huyo anaeona ushoga ndo kitu pekee ktk taarifa hiyo ni mwendawazimu
 
Hapo number 8,hawa EU ni bure kabisa!, Rais Magufuli ndiye aliyesema hasomeshi wenye mimba, sasa una call authority gani iingilie?.

Number 9 wanampangia kazi Rais Magufuli?!.

Number 10 kuna watu wameshitakiwa for political crimes or ni criminal issues.

Hawajui kuwa Magufuli hapangiwi?. Kama katiba alioapa kuilinda ameweka pembeni, who is EU?.

Naona hawa wazungu wanajifurahisha tuu, kama vipi wazuie tuu misaada yao na watunyime visas za Shengen, tutakwenda UK na China.

Tanzania ni sovereign state, tuna uhuru wa kujipangia mambo yetu kama hatutaki ushoga wasitupangie na kutulazimisha bali tufundishwe tuu managing diversity ya kuwakubali mashoga kama walemavu wengine wote, tusiwabague wala kuwanyanyapaa lakini kubadili sheria zetu bado sana.
P
You'r very smart brother, I always feel a lot of pressure
 
Nilikuwa najiuliza sana imekuwaje Magu gafla anawakalisha TRA, MaRC na Ma RAS? sASA NIMEELEWA. Alishaisoma hiyo barua, kapiga hesabu budget ijayo hawatachangia hivyo inabidi kodi zikusanywe hasa ili mambo yaende. Maana hana mpango wa kutekeleza hata nukta moja ya hicho kilichoandikwa.

EU wapumbavu sana, wamemshindwa Trump anavyowapelekesha, Saudi Arabia wamemuogopa hata kumkaripia kwa mauaji ya Khashogi,
Watu wao tu wamezichoka sera zao wanawapiga vita ama kwa maandamano kama Ufaransa, Ugiriki au kwa kuchagua kwa nguvu vyama vya siasa vinavyoipinga EU kama walivyofanya Ujerumani, Denmark, Uholanzi, Sweden, Italia, Hungary, Austria, etc.
Sasa wamebakiza huku kwetu tu ndo pakujitutumulia.

Magu kunamambo anaboa sana LAKINI sisi ni nchi huru. Tusikubali ukoloni mambo leo.

Mkuu usiendeshwe na blind patriotism kwa kulishwa maneno ya CCM na watawala!

Wewe kama mtu independent mwenye akili soma document ya EU uone mahali hawatetei uhuru,demokrasia,uuaji,katiba,haki za wote,etc then uniambie!

EU wameelezea kwa kinaga ubaga kinachovunjwa na kipi kirekebishwe otherwise una-face concequances! Vyote walivyotaja ni valid ukipinga utakua mnafiki mkubwa!

Ishu ya ushoga wameeleza vizuri mle....wewe umesoma,una akili,kuhusu haki zao ni very basic kwamba wasihukumiwe bila kufuata utaratibu sahihi wa mahakama..

EU haijatoa tangazo eti wanaume na wanawake TZ waanze kufanya mapenzi kinyume na maumbile na ndoa za kishoga zianze.....Noooooooooo...Hakuna kitu kama hicho..Ukisema ni hivyo nitakuona mpumbavu kabisa na mnafiki sana maana document haisemi hivyo asilani!
 
Document lugha imekaa kiamri amri ndio utaelewa who runs this world...

Sasa jiwe ajifanye kichwa ngumu aone!

Hii dunia jifunze ku-negotiate your way among vultures,jifanye tofali kama hutachongwa ukae sawa!

Dunia ina kila aina ya watu,penda usipende lazima ujifunze jinsi ya ku-coexist,know your place small soldier!

Zikilizeni kinachofuata jiwe akijifanya hamnazo!
USA Senate leo wamemjambisha rasmi, akitest kujamba tu wakati ana tumbo la kuhara hapo chacha.
 
Asilimia 90% ya tamko ni kutetea useng.e tu (homosexuality). Yaani hizo issue nyingine ni visingizio tu. Useng.e wa kufilana Sie hatutaki.
Kumbe bunge likioneshwa live huwa wanafirana huko bungeni?
 
The European Parliament,

– having regard to its previous resolutions on Tanzania, including that of 12 March 2015,

– having regard to the Declaration by High Representative Federica Mogherini of 15 November 2018 on behalf of the EU on EU-Tanzania relations,

– having regard to the local EU statement of 23 February 2018 on the rise in politicallyrelated violence and intimidation in Tanzania,

– having regard to the Council conclusions of 16 June 2016 on LGBTI equality,

– having regard to the statement by Michelle Bachelet, UN High Commissioner for Human Rights (OHCHR), of 2 November 2018 on the prosecution and arrests of LGBT people in Tanzania,

– having regard to the EU Council’s Toolkit to promote and protect the enjoyment of all human rights by lesbian, gay, bisexual and transgender people (the LGBT Toolkit),

– having regard to the Universal Declaration of Human Rights, the International Covenant on Civil and Political Rights and the Convention on the Elimination of All Forms of Discrimination against Women,

– having regard to the UN Convention on the Rights of the Child,

– having regard to the African Charter on Human and Peoples’ Rights (ACHPR),

– having regard to the ACP-EU Partnership Agreement (‘Cotonou Agreement’),

– having regard to Rules 135(5) and 123(4) of its Rules of Procedure,

A. whereas, since the election of Tanzanian President John Pombe Magufuli in 2015, basic rights in the country have been undermined through repressive laws and decrees; whereas critical journalists, opposition politicians and outspoken civil society activists have faced threats, arbitrary detention and harassment;

B. whereas there has been increasing stigmatisation, violence and targeted arrests against LGBTI people over the past two years in the country; whereas, under Tanzanian law, same-sex relationships are criminal offences punishable by 30 years to life imprisonment; whereas Tanzania’s anti-homosexuality law is among the harshest in the world;

C. whereas suspected gay men in Tanzania are subjected to forced anal examinations, a discredited method of ‘proving’ homosexual conduct that the United Nations and the African Commission on Human and People’s Rights have denounced as torture;

D. whereas Paul Makonda, the regional commissioner of Dar Es Salaam, has been a prominent advocate of the repression; whereas, at a press conference on 31 October 2018, he announced the creation of a task force to track down gay men, prostitutes and people conducting fraudulent fundraisers on social media; whereas he called on the public to report suspected gay people to the authorities;

E. whereas the Ministry of Health has temporarily suspended the provision of HIV and AIDS services at community level and has closed drop-in centres for key populations, including gay men; whereas it closed 40 health centres on 17 February 2017 for allegedly encouraging homosexuality; whereas several organisations have reported that the crackdown on the LGBTI community has resulted in HIV-positive men failing to access their anti-retroviral treatment, while others have stopped accessing testing and preventive services;

F. whereas in November 2018 ten men were arrested in Zanzibar for allegedly conducting a same-sex marriage ceremony; whereas 13 health and human rights activists were arrested on 17 October 2018 for participating in a meeting to discuss a law restricting the access of LGBTI people to some health services;

G. whereas many children and adolescents, particularly girls, are exposed to human rights abuses and harmful practices, including widespread sexual violence, corporal punishment, child marriages and teenage pregnancies, that make schooling difficult or impossible for them; whereas the Tanzanian Government obstructs access to sexual and reproductive health services and intimidates organisations providing information about such services;

H. whereas on 22 June 2018 President Magufuli issued a declaration banning pregnant girls from attending school; whereas the authorities are intimidating civil society organisations (CSOs) that advocate the rights of pregnant girls to go back to school;

I. whereas the Tanzania Commission for Human Rights and Good Governance has not been operational for some time; whereas President Magufuli has not appointed commissioners or other office bearers to the Commission;

J. whereas the government has shut down or threatened privately owned radio stations and newspapers, and ended live transmissions of parliamentary debates; whereas local channels and decoders which air local channels have been closed;

K. whereas Tanzania’s National Assembly passed the Cybercrimes Act in 2015 and the Online Content Regulations in September 2018 with the aim of controlling content used on social media; whereas the Statistics Act adopted in 2015 states that it is not allowed to discuss or question certain statistics communicated by the government;

L. whereas leading opposition members are regularly arrested on charges ranging from allegedly insulting the President to false information and sedition; whereas 20 members of Tanzania’s main opposition party were arrested in July 2018 over claims that they were fomenting trouble; whereas several political opposition members and parliamentarians have been violently attacked and even killed since the start of 2018; whereas on 22 February Godfrey Luena, a member of parliament with Tanzania’s main opposition party Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) and a vocal land rights defender, was killed with machetes outside his home; whereas in November 2018 the programme coordinator of the Committee to Protect Journalists (CPJ), Africa Angela Quintal, and her colleague Muthoki Mumo were arrested and released after pressure by international institutions;

M. whereas tourism development in recent years has led to increased activity, particularly in the Serengeti region where the Maasai live; whereas the control of arable or scarce land for speculative purposes has led to strong tensions in the area;

N. whereas the EU Head of Delegation Roeland van de Geer was forced to leave the country after the Tanzanian authorities exerted increased pressure on him; whereas, since the election of President Magufuli, the Head of UN Women, the Head of the UNDP and the Head of Unesco have all been expelled from Tanzania;

O. whereas the EU High Representative Federica Mogherini has announced a comprehensive review of the Union’s relations with Tanzania;

1. Expresses its concern about the deteriorating political situation in Tanzania characterised by a shrinking of the public space through the tightening of restrictions on the activities of civil society organisations, human rights defenders, the media and many political parties; is especially worried about the deteriorating situation for LGBTI persons;

2. Denounces all incitement to hatred and violence on grounds of sexual orientation; urges the Tanzanian authorities to ensure that Paul Makonda ends his provocation against the LGBTI community and is brought to justice for incitement to violence;

3. Calls for independent investigations to be conducted into cases of attacks and assaults on journalists, LGBTI people, human rights defenders and opposition party members, with a view to bringing suspected perpetrators to justice;

4. Reminds the Tanzanian Government of its obligation, including commitments made under the Cotonou Agreement, to protect the rights, dignity and physical integrity of all its citizens in all circumstances;

5. Calls on Tanzania to repeal laws criminalising homosexuality;

6. Urges the EU and its Member States to make full use of the LGBT Toolkit to encourage third countries to decriminalise homosexuality, help reduce violence and discrimination and protect LGBTI human rights defenders;

7. Calls on the Tanzanian authorities to amend all restrictive provisions in the Cybercrimes Act, the Electronic and Postal Communications (Online Content) Regulations and the Media Services Act and replace these with provisions that will guarantee freedom of expression and the media in line with international human rights standards;

8. Calls on the Tanzanian authorities to repeal any laws, policies or other barriers to services and information that women, girls and young mothers need for a healthy life, most notably President Magufuli’s declaration that girls who give birth should not be allowed to return to school, including the repeal of regulations that make it legal for pregnant girls to be expelled from school;

9. Urges the President of Tanzania to make the country’s Human Rights Commission operational as soon as possible, to appoint commissioners to follow up on human rights violations, and to take action to support domestic workers abroad;

10. Calls on the Tanzanian authorities to release political prisoners;

11. Expresses serious concern about the pressure exerted by the Tanzanian Government on the EU Head of Delegation, Roeland van de Geer; welcomes the decision of the European Union and its Member States to conduct a comprehensive review of EU policies towards Tanzania; insists on the importance of political dialogue to seek tangible commitments from the Tanzanian authorities towards creating an enabling environment for the operation of civil society, political parties and the media; calls on the Commission to ensure that an explicit reference to non-discrimination based on sexual orientation is included in the future ACP-EU partnership agreement post-2020;

12. Expresses concern at the situation of the Maasai people; denounces the use of force by the authorities and security forces;

13. Calls on the Tanzanian authorities to act decisively to safeguard the rights of civil society organisations, human rights defenders, journalists, health workers and political activists in accordance with the Tanzanian constitution, the African Charter of Human and Peoples’ Rights and the country’s international and regional obligations and commitments;

14. Calls for the EU to continue to closely monitor the human rights situation in Tanzania, particularly through regular reporting by its delegation; calls on the European Union Delegation and Member States to do all they can to provide emergency protection and support to human rights defenders at risk;

15. Instructs its President to forward this resolution to the Council, the Commission, the Vice-President of the European Commission / High Representative of the Union for Foreign Affairs and Security Policy, the EU Special Representative for Human Rights, the ACP-EU Council, the institutions of the African Union, the institutions of the East African Community, and the President, Government and Parliament of Tanzania.

SOURCE: http://www.europarl.europa.eu/sides...+P8-RC-2018-0570+0+DOC+PDF+V0//EN&language=EN
DAWN?
 
Mkuu usiendeshwe na blind patriotism kwa kulishwa maneno ya CCM na watawala!

Wewe kama mtu independent mwenye akili soma document ya EU uone mahali hawatetei uhuru,demokrasia,uuaji,katiba,haki za wote,etc then uniambie!

EU wameelezea kwa kinaga ubaga kinachovunjwa na kipi kirekebishwe otherwise una-face concequances! Vyote walivyotaja ni valid ukipinga utakua mnafiki mkubwa!

Ishu ya ushoga wameeleza vizuri mle....wewe umesoma,una akili,kuhusu haki zao ni very basic kwamba wasihukumiwe bila kufuata utaratibu sahihi wa mahakama..

EU haijatoa tangazo eti wanaume na wanawake TZ waanze kufanya mapenzi kinyume na maumbile na ndoa za kishoga zianze.....Noooooooooo...Hakuna kitu kama hicho..Ukisema ni hivyo nitakuona mpumbavu kabisa na mnafiki sana maana document haisemi hivyo asilani!
Unamuonea bure, tatizo ni lugha. Wakalimani waitafsiri hapa jamvini ili tuwasaidie wenzetu hawa waelewe kilichoandikwa.
 
Back
Top Bottom