warthog gun
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 1,464
- 1,260
Jiwe has answers.Papaa Mobimba, What is the conclusion?? What is the resolution??
Jiwe has answers.Papaa Mobimba, What is the conclusion?? What is the resolution??
Weeeeeeeel said, hii ndio the best post humu ndani ya huu Uzi mpaka sasaApproach yao ni mbovu.
Unapoweka kuwa sawa mambo ya ushoga na haki nyingine za binadaam ambazo ni universal, unaondoa uhalali kabisa wa msimamo wako.
Huwezi kutaka mila na desturi za watu wengine ukazifanya takataka kwa kuwa wewe unaziamini.
Hapa ndipo wanapokosea sana hawa wazungu na kujishushia hadhi yao.
Wakitaka tuwaelewe, wasituchanganyie na hizo desturi zao wanazotaka tuzikubali kwa mlango hafifu wa kutuunga mkono kwenye malalamiko yetu juu ya utawala unaokiuka mambo yaliyomo katika taratibu na desturi zetu. Wasituletee na kutulazimisha tuyakubali hayo ya tamaduni zao.
Unajua Pascal nakuelewa sana ila mtu mwingine asipoenda beyond hawezi kukuelewa.Hapo number 8,hawa EU ni bure kabisa!, Rais Magufuli ndiye aliyesema hasomeshi wenye mimba, sasa una call authority gani iingilie?.
Number 9 wanampangia kazi Rais Magufuli?!.
Number 10 kuna watu wameshitakiwa for political crimes or ni criminal issues.
Hawajui kuwa Magufuli hapangiwi?. Kama katiba alioapa kuilinda ameweka pembeni, who is EU?.
Naona hawa wazungu wanajifurahisha tuu, kama vipi wazuie tuu misaada yao na watunyime visas za Shengen, tutakwenda UK na China.
Tanzania ni sovereign state, tuna uhuru wa kujipangia mambo yetu kama hatutaki ushoga wasitupangie na kutulazimisha bali tufundishwe tuu managing diversity ya kuwakubali mashoga kama walemavu wengine wote, tusiwabague wala kuwanyanyapaa lakini kubadili sheria zetu bado sana.
P
Haki za binaadam ndio nini weweee??Hawa Mafisi wa CCM wanaona USHOGA tu ilhali EU wametaja1 mambo kibao yanayohusu HAKI ZA BINADAMU kwa Tanzania ZINAZO KIUKWA NA UTAWALA WA MAGUFULI tangu aingie madarakani 2015!!
We had a leader less than five years ago and you never stopped insulting him. Magu kaza hapo rais wangu mpaka tutaftane. KudaadekiWewe hakika ni MGONJWA MTAMBUKA....!!
Kutawaliwa ni kutawaliwa tu! Inaonekana kwako KUTAWALIWA NA MWEUSI ni burdan tu......We need LEADERS and not RULERS like Magufuli!
[emoji13] [emoji13]Bibi yangu ulinifundisha kitu. Kwamba ukiwa mzinzi, na siku hiyo uko na mke wa mtu, ukasikia nje wanaitwa mwizi! Usitoke, maana, dhambi utendayo ni chafu kuliko wizi hivyo, usijekuta mawe badala kumwendea mwizi yakaja kwako.
[emoji23] utatisha sanaMkuu
Nikipata vijisenti najenga documentary kabisa aisee!
Nakusanya materials yote yanayotoka sasa hivi....videos zake,magazeti,vituko vya lissu,makonda na clouds,mo,korosho,makinikia,rwanda,bombadier,utumbuaji,fungafunga mbowe,tra,etc,etc..siachi kitu...
Nikija fyatua documentary 2026 ni best seller na nakua rich forever!
Huyo lugha ya maikia naona chenga kwake.Soma document baba,vipi hujasoma?
Au umesoma hujaona kitu?
Hatutishiki na rezolution za kiamberuty kama hizi. Wazungu ni nani hapa kwetu? Watuache na mambo yetu. Na watakoma maana hTa 2020 100% za urais na wabunge wanaoshabikia mashoga hawatafika 10 bungeniHili azimio litoshe kumfungua macho Jiwe, uhuru wa watu ungekuwa hauminywi haki za kidemokrasia zingekuwa hazisiginwi Taifa lingekuwa na umoja wa nguvu kuwalaani wazungu juu ya kutushinikiza kubadiri sheria za nchi kuhusu mambo ya ushoga. Lakini matendo yake ya ukandamizaji wa haki za msingi za kikatiba na kisiasa zilizoko kisheria yametuletea mgawanyo wa kitaifa kiasi kwamba watu wanawaona wazungu ni wakombozi badala ya yeye kiongozi wetu!.
Hili litoshe kumjulisha kuwa ipo siku Taifa litapata challenge inayotaka umoja wa kitaifa kulitatua lakini kwa kuwa watu wameminywa, wamegawanyika wanaona hata huo wito wa kuunganisha nguvu kwa ajili ya kupambana kwa pamoja kuondoa tatizo husika hauna maana!.
Fikiria kwa mfano Taifa liingie vitani na Malawi, huku wananchi wa kusini wanapigwa danadana kulipwa korosho zao, Huku watu wa kaskazini wakilalamika kutengwa, huku wapinzani wakiminywa hawapumui. HIYO COALITION YA KITAIFA ITAPATIKANAJE?
Wazungu huwa hawaingii kiurahisi katika nchi zenye umoja, bali watawala kwa matendo yao hutengeneza mazingira ya watu kuwaomba wazungu waje wasaidie bila hata kujali gharama!.
Sasa ona leo Wazungu wanatumia loophole za uminywaji wa haki za kiraia kupenyeza kiakili sana ajenda yao ya ushoga!, Laiti tungekuwa tumeungana, Taifa lina haki, Sote tungewashukia hawa jamaa kama mwewe!
KITU KIKUBWA CHA KUTISHIA USALAMA WA NCHI HUWA NI KUTOKUHESHIMU KATIBA NA SHERIA ZA NCHI, HATA MWALIMU ALILIITA JAMBO HILI KUWA NI NYUFA
Njaa ******** anapata tabu kukuelewa upo upande gani. [emoji23] [emoji23]Kuna mihimili mingine ipi?. Hujausikia mihimili uliojichimbia zaidi?. Kama katiba imekanyagwa then kuna sheria gani unayoizungumzia?. Hawa EU wanajifurahisha tuu mbele ya Magufuli, hapangiwi!.
P
Who is EU? Who is EU? Come again?Hapo number 8,hawa EU ni bure kabisa!, Rais Magufuli ndiye aliyesema hasomeshi wenye mimba, sasa una call authority gani iingilie?.
Number 9 wanampangia kazi Rais Magufuli?!.
Number 10 kuna watu wameshitakiwa for political crimes or ni criminal issues.
Hawajui kuwa Magufuli hapangiwi?. Kama katiba alioapa kuilinda ameweka pembeni, who is EU?.
Naona hawa wazungu wanajifurahisha tuu, kama vipi wazuie tuu misaada yao na watunyime visas za Shengen, tutakwenda UK na China.
Tanzania ni sovereign state, tuna uhuru wa kujipangia mambo yetu kama hatutaki ushoga wasitupangie na kutulazimisha bali tufundishwe tuu managing diversity ya kuwakubali mashoga kama walemavu wengine wote, tusiwabague wala kuwanyanyapaa lakini kubadili sheria zetu bado sana.
P
Just waitHuo wito waliotoa utabaki kwenye makaratasi tu hakuna litakalofanyika.
Siasa hizi......hawa watu hawataki Waafrika tupige hatua na kujitegemea....Wafunge ofisi zao waondoke....Hawawezikuwa wanatutisha tisha na vimisaada vyao..Huyu mtu wamtenge tu mpaka atakapojirekebisha.
Kwa mtazamo wangu,haya maazimio ni kama mtego na akiendelea na kiburi chake,basi ajue tu watakwenda zaidi ya hapa.
Na tujue tu US watawaunga mkono EU.
Leo naona umeandika vzuri....Wasituingilie bwana.....wafunge ofisi zao tuone kama wanaweza....Hawatutakii maendeleo kabsaHapo number 8,hawa EU ni bure kabisa!, Rais Magufuli ndiye aliyesema hasomeshi wenye mimba, sasa una call authority gani iingilie?.
Number 9 wanampangia kazi Rais Magufuli?!.
Number 10 kuna watu wameshitakiwa for political crimes or ni criminal issues.
Hawajui kuwa Magufuli hapangiwi?. Kama katiba alioapa kuilinda ameweka pembeni, who is EU?.
Naona hawa wazungu wanajifurahisha tuu, kama vipi wazuie tuu misaada yao na watunyime visas za Shengen, tutakwenda UK na China.
Tanzania ni sovereign state, tuna uhuru wa kujipangia mambo yetu kama hatutaki ushoga wasitupangie na kutulazimisha bali tufundishwe tuu managing diversity ya kuwakubali mashoga kama walemavu wengine wote, tusiwabague wala kuwanyanyapaa lakini kubadili sheria zetu bado sana.
P
Hongera sana kaka, umejibu kwa busara kubwa bila matusi wala panicMkuu naona umeona ushoga tu kwasababu ushajipanga kuelekea huko..
Document imeongelea haki kibao mkuu....jaribu kusoma vizuri!
Watu emotional wanakimbilia kile kilichostua emotions zao wanaacha mambo chungu nzima ya maana vilevile..
Ondoa neno ushoga kichwani mwako for a minute and re-read the document uone vitu vingine!
Watu wa lumumba asilimia kubwa lugha ya maikia ni tatizo kwao.Upo sahihi! Ndugu zangu Lumumba siwaoni! Sasa sijui ni lugha gongana au kitu gani? Hapo kwenye bold ndo ukweli wenyewe. Wanaweza ingiza timu!