Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,932
- 34,916
Wanasema uzianane wenyewe hayo madini, hawataki tena.Madini yetu yakiibiwa hawasemi.
Wanasema uzianane wenyewe hayo madini, hawataki tena.Madini yetu yakiibiwa hawasemi.
Bure kabisa!.
P
[emoji23][emoji23][emoji23] pamoja mkuu , andaa kila kitu ntatimo sauti , alafu uzinduzi wapiii ?? mkuu are you serious
Sisi wengine hawa tumeishi nao, tumewafanyia kazi hivyo tunawajua fika, hakuna kitu.Nadhani hawamfamu.
Sisi wengine hawa tumeishi nao, tumewafanyia kazi hivyo tunawajua fika, hakuna kitu.
P
Nitakataa siku zote kuwa, masikini hana "Sovereignty" na hatakaa aipate mpaka mwisho wa dahari.Hapo number 8,hawa EU ni bure kabisa!, Rais Magufuli ndiye aliyesema hasomeshi wenye mimba, sasa una call authority gani iingilie?.
Number 9 wanampangia kazi Rais Magufuli?!.
Number 10 kuna watu wameshitakiwa for political crimes or ni criminal issues.
Hawajui kuwa Magufuli hapangiwi?. Kama katiba alioapa kuilinda ameweka pembeni, who is EU?.
Naona hawa wazungu wanajifurahisha tuu, kama vipi wazuie tuu misaada yao na watunyime visas za Shengen, tutakwenda UK na China.
Tanzania ni sovereign state, tuna uhuru wa kujipangia mambo yetu kama hatutaki ushoga wasitupangie na kutulazimisha bali tufundishwe tuu managing diversity ya kuwakubali mashoga kama walemavu wengine wote, tusiwabague wala kuwanyanyapaa lakini kubadili sheria zetu bado sana.
P
Mkuu hamna kitu kama hicho, hao EU wakianza kukutandika China ajitokezi hata siku moja yeye ni rafiki ako, ukiwa na amani tu, wakati wa vita na vikwanzo anatafuta nchi zingine kufanya biashara zake, Mchina nimbaya katika shida sio wakutegemea tena kumbuka EU=USA tena USA is the "policeman" of the world he determines whom to hit and when and how,.... tu na ishi katika era ya "PAX American" what ever America decides and does is "right" others follow to.China pekee is Bigger than EU....in all aspects!afu hawana mambo ya kijinga kama hao EU
Tangu lini EU ni super power?.Mayalla hivi leo una underestimate power of the world's superpowers?
Hivi kweli?
Unawadharau kiasi hicho?
Wewe kupewa vibarua vya kuandika andika na hizi balozi zao tayari ushawadharau kiasi hiki?
Nadhani ni masihara ya kitoto unafanya ndugu yangu....
These people are no joke,kazi mliyobakia nayo ni kuchemsha bongo zenu mvuke huu mtihani salama,huwezi kudharau opponent wako namna hii halafu tukuchukulie serious!
Sio kukuchungulia tu aiseee, naskia itabidi wakuchape nao kwanza. Kila la kheriNa uhame na nchi mi utanikuta nipo KWA MALIKIA NIMESHAKIMBIA NAENDA KUOMBA ASYLUM SEEKER NIWE M BRITISH TU KWA KISINGIZIO NIMENUSURIKA KUKAMATWA NA MAKONDA TEHE TEHE NAWAAMBIA MI GAY KWANI WATANICHUNGULIA TUNDU LANGU KUPROOVE
You're back after a long and costly absence.
Mkuu naona umeona ushoga tu kwasababu ushajipanga kuelekea huko..
Document imeongelea haki kibao mkuu....jaribu kusoma vizuri!
Watu emotional wanakimbilia kile kilichostua emotions zao wanaacha mambo chungu nzima ya maana vilevile..
Ondoa neno ushoga kichwani mwako for a minute and re-read the document uone vitu vingine!
Mugabe naye mara ya kwanza aliongea hivyo hivyo lkn yaliyofuata hatakaa asahau milele.Huo wito waliotoa utabaki kwenye makaratasi tu hakuna litakalofanyika.
Tangu lini EU ni super power?. Take it from me, hakuna kitu hapo.
P.
There are some other big problems in Dar, where locals do not get job and illegal expats are earning big money in USD. Can any one help to give me immigration head number to crack down this racket.Mkuu naona umeona ushoga tu kwasababu ushajipanga kuelekea huko..
Document imeongelea haki kibao mkuu....jaribu kusoma vizuri!
Watu emotional wanakimbilia kile kilichostua emotions zao wanaacha mambo chungu nzima ya maana vilevile..
Ondoa neno ushoga kichwani mwako for a minute and re-read the document uone vitu vingine!
Utaondoaje neno lilipo kwenye maandishi hawa wanataka ushoga tu na kitu ambavho hakikubaliki nchini
lakini una darushoga hatutaki
Nasema ushoga hatutaki full stoplakini una dar