Hii inanikumbusha final ya UCL ya mwaka 2003 kati ya Juventus na AC Milan ambapo beki Roque Junior wa AC Milan aliumia wakati kocha Carlo Ancelotti keshamaliza sub zote tatu..
Kikosi cha Spain nimemkumbukia David Villa, jamaa namfagi sanaaa!!
Italy kweli wamezidiwa. Mpaka sasa Spain wameshachukua ubingwa!! Viva Espana😛oa:A S soccer: