Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Same here....

Ukitaka kuwaweza Spain ni kuwavuruga style yao ya kutegemea viungo wanne kuchezesha timu,i.e Xavi, Iniesta, Xabi Alonso na Busquets kama walivyofanya Portugal jana.....Kwa Italy kazi ya kuwavuruga viungo wa Spain itafanywa na Daniele De Rossi na Ricardo Montolivo huku Claudio Marchisio na Midfield Maestro Andrea Pirlo wakidefend na kutengeneza mashambulizi kuwalisha mipira wauaji Antonio Cassano na Super Mario Barwuah Balotelli.....

Patamu hapo aisee......

Perfect explanation...you couldnt put it any better.
 
man of the match ni Super Mario Balo...
Floap of the Match ni Mehsut Ozil...
 
article-2166162-13D6EB73000005DC-615_634x415.jpg

Centre of attention: Mario Balotelli rips his shirt off and poses following his crucial second
 
Haya its Going to be a cracking Semi Final.... Italy are so good defensively and German are so good offensively.... Kati ni OZIL vs Mtu mzima PIRLO....PATAMU SANA HAPO....

Questt heshima mbele mkuu...
Je unaweza kuufananisha uwezo wa mtu mzima Pirlo na Ozil?
Umekubali ya wahenga waliposema dobi wa kweli utamjuwa siku akipewa nguo nyeupe?
 
Ni semi final ingine baada ya ile ya world cup kati ya Italy na Germany mwaka 2006.

Andrea Pirlo alicheza mechi ile akiwa ana miaka 27 na sasa ana miaka 33. Mesul Ozil ana miaka 24 tu na bado damu inachemka.

Hivyo inangojwa nusu fainali ya nguvu kati ya Mesut Ozil- "attacking midfielder" na Andrea Pirlo- "playmaker" ambae pasi zake ndefu hufikia washambuliaji ambao kama Balotelli hupoteza.

Narudia tena ni dhambi kumfananisha Dikteta wa kiungo Andrea Pirlo na Ozil...
 
the best group in this champion is group c where the finalist were found..

Italy v Spain
forza azzuri
 
Nawapongeza italy but hawajanifurahisha sana kama walivyomtafuna germany 2006 kwenye world cup semi final in dortmund, mzee lipi baada ya kuona magoli hayapatikani dakika ya 80 akatoa viungo na kuongeza washambuliaji hadi wakawa wanne mbele kitu ambacho ni risk but lipi alijibu kwenye media kuwa kwenye semi final lazima upate magoli na kama hakieleweki jaza washambuliaji wa kumwaga. Germany mbona walijibeba siku hiyo tena nyumbani kwao jinsi pirlo alivyokuwa anazunguka katikati huku kina del piero wakijimwaga mbele...

Italy hawana kelele ila wana swagah kwenye semi finals mpaka raha... Unafikiri kuwa world cup glory 4 mchezo. Wachambuzi wakubwa kama tshaka hislop wa espn huwa anawaita azzuri world cup legends from europe... The italians job is unpredictable
 
nakumbuka hii mechi iliisha zikiwa zimesalia dakika mbili...ujerumani woote wakalala chini huku makamasi yanawachuruzika na vilio vikitawala...
 
EXCLUSIVE: The Rossoneri are looking to boost their
attacking ranks for the 2012-13 season and are
considering a move for the veteran Udinese striker,
who is playing for Italy at Euro 2012
 
It's not carelessness of Holger Badstuber, Matts Hummels and Mario Gomez. Bt also poor fielding of playerz by the manager. So, you Loew, u must bear this painful loss to Italians..!
**GERMANY FOREVER**
 
Fainali hizi zinawapa zaidi funzo waingereza kuboresha ligi yao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom