Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Ozil anafunga kwa penati...bado dakika mbili mpira uishe..
 
Full Time

Germany 1-2 Italy

Fainali ni Italy na Spain

Pole kwa Wajerumani....
 
Congratulazione Azzurri wamestahili kushinda...
 
Fainali ya timu kutoka kundi moja imekaa vizuri...
 
Mama kashindwa kujizuia...

391275_468874213140191_107914888_n.jpg
 
Italy naipa "team of the tournament award" na nampa Andrea Pirlo "Player of the tournament".

Italy naipa nafasi ya kutwaa kombe ingawa haitakuwa kazi rahisi dhidi ya Spain.
 
Italy naipa "team of the tournament award" na nampa Andrea Pirlo "Player of the tournament".

Italy naipa nafasi ya kutwaa kombe ingawa haitakuwa kazi rahisi dhidi ya Spain.

Same here....

Ukitaka kuwaweza Spain ni kuwavuruga style yao ya kutegemea viungo wanne kuchezesha timu,i.e Xavi, Iniesta, Xabi Alonso na Busquets kama walivyofanya Portugal jana.....Kwa Italy kazi ya kuwavuruga viungo wa Spain itafanywa na Daniele De Rossi na Ricardo Montolivo huku Claudio Marchisio na Midfield Maestro Andrea Pirlo wakidefend na kutengeneza mashambulizi kuwalisha mipira wauaji Antonio Cassano na Super Mario Barwuah Balotelli.....

Patamu hapo aisee......
 
Italy ni Baba wa Soka pale Ulaya...
Haya wale niliowaambia waweke Dau then Balantanda atakuwa shahidi wako wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom