Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

article-2166083-13DA1D0E000005DC-793_636x393.jpg



TEAM LINE-UP
SPAIN:

CASSILAS-ARBELLOA-ALBA-PIQUE-RAMOS-BUSQUET-ALONSO-XAVI-SILVA-INIESTA-FABREGAS.

ITALY:

BUFFON-ABBATE-CHIELLINI-BONUCCI-BARZAGLI-PIRLO-MARCISIO-DE ROSSI-MONTOLIVO-CASSANO-BALOTELLI.
 
Dakika 90 au 120 au matuta zitaamua mshindi japo naamini Italy watashinda.
 
Tangu umeanza mtanange huu nipo pamoja na Spain, leo haitakuwa tafauti.
A por los Azzuris, olé;
A por los Azzuris, olé;
A por los Azzuris, olé;
A por los Azzuris, olé olé!
Viva La Roja!
 
Asante sana BelindaJacob.
Hahaha! Huo utabiri wa Pedro Pinto ndio utabiri wangu. Amini jana usiku niliota matokeo Spain 2 -1Italy, na nikaota hata wafungaji - Torres na Iniesta kwa upande wa Spain na Italy sikumjua nani (possible Pirlo) lakini sio Balotelli - huu ni wazimu na presha tele. Muhimu ni kuwa tuone mchezo mzuri, bila ya kujali nani anaibuka ushindi.

Haya wee na ndoto yako itimie ili inoge zaidi. Mtanange ndo umeanza..

Nimeipenda motto yenu Juntos Podemos

 
Italy all the way.

King Kong is going to kill Spain.

I don't like Balotelli as he is a Shitty player, but I have to like him today when he will be putting his King Kong game over Spain.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom