Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

hah hah ha Gutierez is back...
bado nyie azzuri mtageuka kuwa bahari kabisa,yaani hata kwa kurusha shilingi kombe lazima liende san sebastian,bilbao,santander,malaga,mallorca,majorca,coruna,barcelona,valencia na kisha kutua zake madrid,cc ndio namba 1 kwa soka sasa duniani hilo mnalitambua,hongereni kwa kumfunga mjerumani ambae toka balotelli kazaliwa hajawafunga! bora stars kwa misri rekodi zingine.
 
Hapo red, ushawahi ona wapi bingwa anaishia nusu fainali ndugu yangu !!!! Starring hauwawi kamwe labda movie iwe ya kihindi !!! :dance:
:loco: sijui nicheke sijui nilie,historia inamata,hawa jamaa niliongea hivi kwa taarifa yako ni kuwa toka balotelli azaliwe hawajawahi kuwafunga italy,pili hata kwa spain tucheze hata uwanja wowote hata 1 touch ujerumani analala,pole sana kwa ugonjwa wa moyo,karibu la roja sasa timu ya ukweli,ukiwakosa j2 jimalize kabisa,timu inayotoa burudani ya uhakika kwa sasa duniani kiasi hata Manolo el del bombo the drum alipoteana na familia yake takriban miezi 6 kwa kuwa bize na spain ilipofululiza mechi.
Starring hauwawi kamwe labda movie iwe ya kihindi !!!
dance.gif
na kweli movie ya kihindi hiyo starring klose a.k.a amitabh bachan!
 
kweli mpira ni dakika 90. Sikutegemea germany wangetolewa sasa spain kazi anayo coz if there's one team that can beat spain ni italy. What a game.
 
i consider A.Pirlo as the best player of the tournament..
 
:loco: sijui nicheke sijui nilie,historia inamata,hawa jamaa niliongea hivi kwa taarifa yako ni kuwa toka balotelli azaliwe hawajawahi kuwafunga italy,pili hata kwa spain tucheze hata uwanja wowote hata 1 touch ujerumani analala,pole sana kwa ugonjwa wa moyo,karibu la roja sasa timu ya ukweli,ukiwakosa j2 jimalize kabisa,timu inayotoa burudani ya uhakika kwa sasa duniani kiasi hata Manolo el del bombo the drum alipoteana na familia yake takriban miezi 6 kwa kuwa bize na spain ilipofululiza mechi.
Starring hauwawi kamwe labda movie iwe ya kihindi !!! :dance: na kweli movie ya kihindi hiyo starring klose a.k.a amitabh bachan!

Haya mzee wa Spain, lets see tar 1 itakuwaje. Nadhani washabiki wa Arsenal wamejua kiwango cha jamaa yao mpya waliyemsajili, basically Wajerumani walimezwa kabisa dk 45 za mwanzo, ukiondoa dk chache sana za mwanzo. Mipira ilikuwa haikai mbele kabisa, I think kocha alitakiwa afikirie sub ya Podolki mapema zaidi. Poor marking pia ilikuwa tatizo lingine kubwa kwenye defence ya wajeru. Mario Gomez alikuwa hayupo kabisa kiwanjani. Technically Italy walicheza vizuri na wamestahili ushindi.
 
Andrea Pirlo kadhihirisha old is gold. Alihold dimba vilivyo. Return of Juve meant return of Italy.
 
bado nyie azzuri mtageuka kuwa bahari kabisa,yaani hata kwa kurusha shilingi kombe lazima liende san sebastian,bilbao,santander,malaga,mallorca,majorca,coruna,barcelona,valencia na kisha kutua zake madrid,cc ndio namba 1 kwa soka sasa duniani hilo mnalitambua,hongereni kwa kumfunga mjerumani ambae toka balotelli kazaliwa hajawafunga! bora stars kwa misri rekodi zingine.
hizi ni dhambi za kujitakia!mziki wa buluda santuri mia nane!hao spain wanapigika dimbani mpaka nje ya uwanja....blueprint ya kuwatandika tulishaonyesha katika mchezo wa kwanza.forza azzuri!
 
hizi ni dhambi za kujitakia!mziki wa buluda santuri mia nane!hao spain wanapigika dimbani mpaka nje ya uwanja....blueprint ya kuwatandika tulishaonyesha katika mchezo wa kwanza.forza azzuri!

Hah hah hah haaaah Gutierez una kazi kubwa mno...
Unaona mpaka sasa Italia tunaongoza 2-0
 
Gemu ya leo ni ngumu sana.
Moyo na sababu zangu ziko na Spain, ingawa nakubali kuwa Italy ni wazuri sana.
Hata hivyo, natabiri ushindi kwa Spain. That's my dream but in football, everything is possible.
 
Naona umeungana na Pedro Pinto wa CNN(sports anchor), yeye kasema 2-1 in favour of Spain.

Kila la kheri Mammamia na Spain yako..Naamini utakuwa mpira wa kuburudisha, nipo kote kote!!
 
Naona umeungana na Pedro Pinto wa CNN(sports anchor), yeye kasema 2-1 in favour of Spain.
Kila la kheri Mammamia na Spain yako..Naamini utakuwa mpira wa kuburudisha, nipo kote kote!!
Asante sana BelindaJacob.
Hahaha! Huo utabiri wa Pedro Pinto ndio utabiri wangu. Amini jana usiku niliota matokeo Spain 2 -1Italy, na nikaota hata wafungaji - Torres na Iniesta kwa upande wa Spain na Italy sikumjua nani (possible Pirlo) lakini sio Balotelli - huu ni wazimu na presha tele. Muhimu ni kuwa tuone mchezo mzuri, bila ya kujali nani anaibuka ushindi.
 
chaka la Simba swala hapati usingizi...
forza Italia
Sasa umeanza maneno madogodogo. Hakuna haja ya kuandikia mate, bado dakika 45 tu. Azzuri mkishinda nitakuwa wa kwanza kukupongeza, lakini bila ya kupoteza imani yangu kwa La Roja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom