Steven Sambali
JF-Expert Member
- Jul 31, 2008
- 364
- 183
Kwani umeshaona NGAPI hadi leo hii?
Game imedorora utafikiri siyo Euro! Hii ni game mbovu kabisa ya ufunguzi wa michuano ya soka niliyowahi kuona katika maisha yangu.