Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

mambo ni ATN bwana, uwe na kingamuzi au usiwe nacho nikupeta tu. Polondi inaongoza kwa goli moja.
 
POLAND vs GREECE

45+3' There goes the whistle for the break. A 1-0 lead for Poland who have everything going for them now against the 10 men of Greece.
 
labda ni location mkuu; mi niko Dar natumia Antena ya kawaida kabisa na ninaona vizuri, labda na wewe jaribu ku-search. bado ni 1-0 kipindi cha pili sasa.
 
Bahati mbaya sana Mikono na Macho yangu hayafanyi kazi kama saa ya Mswiss.

La muhimu ilikuwa kufikisha ujumbe. Anyway, Kigiriki sikifahamu na hivyo ni rahisi kufanya makosa.


Kipindi cha pili kimeshaanza. Kwa ninavyowafahamu Wapolish, wanaweza kulemaa na wakafungwa kwa kujitakia kama mchezo. Sasa hivi tayari wameshajiona wameshinda na mechi imeshaisha. Wakifungwa goli moja wata-panick na wanaweza kuongezwa goli jingine kama mchezo mchezo.
Ni Papastathopoulos kaka...
 
Nimeandika na kweli goli...... Mtashangaa kulala kwao huko nimeandika juu. Poland Vs Greece 1-1.
 
Goalllll
Ni Dimitrios
Poland 1 - 1 Greece
 
51'GOAL! Salpigidis slams the ball into the empty net after Szczesny came and missed the cross. 1-1 and Greece are back in this game.
 
Penalty to Greece and a red card to a Polish goalkeeper
 
c7.png
68' GREECE HAVE A PENALTY! Szczesny has been sent off for bringing down Salpigidis in the box. Both teams with 10 men now. What a transformation in this match.

 
Game imedorora utafikiri siyo Euro! Hii ni game mbovu kabisa ya ufunguzi wa michuano ya soka niliyowahi kuona katika maisha yangu.
 
Hili kundi timu yeyote inaweza ku qualify .... sidhani kama Russia na Czech ni wazuri mno kuwashinda hizi Greece na Poland
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom