Viper
JF-Expert Member
- Dec 21, 2007
- 3,666
- 1,406
Spain wana wapigaji wazuri sana wa penalties ukilinganisha na Portugal...
Wanakipa mzoefu pia..
Spain wana wapigaji wazuri sana wa penalties ukilinganisha na Portugal...
Wanaanza Spain.....Rui Patricio golini...
Xabi Alonso....Anapiga
Kakosaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
utaona kama itapigwa penati kama aliyoipiga Dikteta wa kiungo mtu mzima Pirlo