Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

duu kesho asubuhi na subiri majibu..
heshima zenu bala na the don gang chomba

Huyu kocha wa Portugal ananikumbusha Portugal ile ya Golden Generation ya kina Vitor baia, jorge costa, fernando couto, figo, rui costa, sa pinto, joao pinto, conceicao, nuno gomez, na wengineo...dah
 
Ulimboka analikosa gemu hili dah. Ureno sikutegemea.
 
Kama watapiga Penalty basi RONALDO asipige hata moja.....
 
Spain wana wapigaji wazuri sana wa penalties ukilinganisha na Portugal...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom