Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Zuku, star times unaweza kupata through ubc.
 
Poland wamepata goli dk ya 16. Wagiriki wana kazi!
 
Ugiriki mbona hawajitumi? Watapigwa nyingi. Dk 20 poland1 greece 0.
 
Du naona huyu Robert Lewandowski anatafuta nafasi kwa nguvu sana ndani ya MUFC.

Amefunga koli kwa ustadi mkubwa sana maana mpira unapigwa chini kwa kichwa.

Inanikumbusha Goli la Omam Biyik kwenye World Cup kati ya Cameroon vs Argentina ya Maradona.
 
jamaa wa bvb naona anaonesha cheche zake lewandonski
 
Vijana wangu wa ugiriki wanaanza mapambano kurudisha gari
 
ATN wanaonesha kwa wale tusokua na ving'amuzi!!
 
Mgiriki kashalimwa Nyekundu, yaani NJANO MBILI.Sokratis Papastokulos? anatoka nje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom