Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Samas aipatia Greece bao la kusawazisha. Hawa Greece wameanza na kasi mpya - lol
Tunaanza upya.
 
Said it... Jamaa are good in Counter... They did it... Even though Boateng hakumkaba vizuri Samaras... They are Level...1-1
 
Marco reus ni mzuri anapokuwa na kina Lewandowski, Kagawa and Co.... hapa hajaipatia combination vizuri......
 
Masikini Greece, furaha yao imedumu dakika chache. Quedira anaipatia bao DE.
 
Sijajua plan ya Joachim kujaribu kufix something which is not broken.... He had a good winning team but naona kabadili
 
BJ hawa watu wanacheza mbele ya Mama Chancellor.... Unategemea wa loose hii game??? Dont khaa bana... hahahahahaaaaaaa

Ilhali ujerumani ni kikosi imara ila siwafagi aisee..kweli mbele ya mama lazima wajitahidi maana kuwa uwanjani ni support tosha..okay subiri nifurahie, yipeeeeeeee! ha ha
 
KLOSE bado ni soo..... 3-1.... BJ bado una hope????
 
KLOSE bado ni soo..... 3-1.... BJ bado una hope????

Klose ni mzee bwana..safi katundika kitu. Hiyo ni salamu kwa watakaokutana nao semi finals..!!

Mie leo yoyote ashinde...Bravo to Germany!! ubingwa unawanyemelea
 
Wagiriki warudi home wakashughulikie uchumi wao .. kazi.mjerumani kamaliza
 
Gomez ndani na KLOSE anapumzika....then Gotze....aongeze mauzoefu on International level....Bado nyingi ndani hizi dakika 12 zilizobaki.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom