Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Italy kazi mnayo kwa waingereza maana wanawasumbua sana,labda muende nao ktk matuta!,cc Spain japo France wamefungwa jana na Sweden,nao wagumu safari hii ila ni kama tunafumba macho kuingia semi final! halafu tunamsubiri mshindi wa kesho kati ya czech rep vs portugal ktk semi final j5 ijayo!
 
Mpira ni mpira, chochote kinaweza kutokea, lakini nahisi France jana ilijifungisha kusudi lakini naona kama wamekimbia maji watakuja kukanyaga matope. Wasubiri kisago.
 
Portugal na Czech wapo uwanjani, natabiria ushindi kwa Czech Rep. kwani hawa jamaa ingawa kimya lakini wamo. Tangu taifa hili kuundwa mwaka 1993 na kuanza kkushiriki kwa mara ya kwanza 1996, hakuna mwaka waliokosa kushiriki. Viwavyo na viwe, mshindi wa hapa atakuja kupambana na Spain (ikiwa nayo itashinda dhidi ya France).
 
CZECH vs PORTUGAL

Teams: Czech Republic: Cech; Gebre Selassie, Sivok, Kadlec, Limbersky; Hubshman, Plasil; Jiracek, Darida, Pilar; Baros.

Portugal: Patricio; Pereira, Pepe, Alves, Coentrao; Meireles, Veloso, Moutinho; Nani, Postiga, Ronaldo.
 
article-2161830-13B93BB8000005DC-246_634x413.jpg

Greats of the game: Portugal legends Eusebio (left) and Luis Figo were in attendance inside the National Stadium
 
There goes the whistle for the break. Remain 0-0. Portugal coming on strong in the second half of the first half. Work to be done though.
 
CR7 anaifungia Portugal bao la kuanzia. Mpra unaanza upya. WaCzech sidahni kama watafunga mikono.
Hongera kwa Portugal, sasa isubiri wa kupambana naye.
 
wow wow! What a goal C.Ronaldo..Portugal wanaweza kuibuka washindi, dakika chache zimebaki!! Yipeeee
 
GOAL! Ronaldo arrives to head the ball into the deck and over Cech from Moutinho's cross. Portugal lead 1-0. A deserved lead. Finally.
 
Portugal into Semi Final..

Mammamia pole sana..Czech wametoka hivyo!! Ronaldo kawamaliza🙂)
 
There goes the final whistle! A 1-0 win for Ronaldo. Portugal in complete control. They are into the last four to face Spain or France.
 
Portugal into Semi Final..

Mammamia pole sana..Czech wametoka hivyo!! Ronaldo kawamaliza🙂)
Asante sana BelindaJacob, nilikuwa nimeweka matumaini makubwa kwa Czech, just 4 sympathy mimi yangu Spain mpaka kieleweke.
 
Italy kazi mnayo kwa waingereza maana wanawasumbua sana,labda muende nao ktk matuta!,cc Spain japo France wamefungwa jana na Sweden,nao wagumu safari hii ila ni kama tunafumba macho kuingia semi final! halafu tunamsubiri mshindi wa kesho kati ya czech rep vs portugal ktk semi final j5 ijayo!

Tangu umekuwa na akili zako na unaweza kutazama na kuutathmini mpira je umewahi kuona timu ya taifa ya England ikachukua ubingwa?
 
Tangu umekuwa na akili zako na unaweza kutazama na kuutathmini mpira je umewahi kuona timu ya taifa ya England ikachukua ubingwa?
ukitoa mfano huo,hata spurs hawajawahi kuchukua uefa champs ligi lakini waliwatoa ac milan,lolote linaweza kutokea,ila nyie najua mkipita ujerumani kazi anayo!
 
Iwapo Spain itamtoa France,mechi yao ya semi final vs Portugal itakuwa ngumu sana maana ni Iberia derby,ni sawa belgium vs holland au nigeria vs niger,ni mechi ngumu sana itakuwa kwa la roja(wekundu) wa spain,maana lolote linaweza kutokea,timu nazozihofia kwa spain ni Ureno na Italy,wengine kama kumyatia kiziwi.
 
Mpira ni mpira, chochote kinaweza kutokea, lakini nahisi France jana ilijifungisha kusudi lakini naona kama wamekimbia maji watakuja kukanyaga matope. Wasubiri kisago.
kweli usemayo,ila in la roja(red/wekundu) spain we trust!
 
kweli usemayo,ila in la roja(red/wekundu) spain we trust!
Mimi na La Roja pamoja daima, lakini kumbukumbuku wanazotuonesha hapa Spain ni kuwa DAIMA La Roja haijawahi kuifunga France katika mashindano rasmi (EURO na WORLD CUP), ingawaje katika mechi za kirafiki France ikikutana na Spain wanakuwa kama mbuzi aliyeona chatu. Hata hivyo, kama wanavyosema hapa, La esperanza es lo último que se pierde [Hope is the last thing to be lost]. Tusubiri kesho.
 
mimi nasupport greece leo wamtoe ujerumani ili iwe njia nzuri kwa england kufika finals
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom