BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,076
magazeti makubwa ya Ujerumani hapa nayazungumzia Franfurt Algamain tsaitung na Berlin algamain yametanabaisha uwezo mdogo wa kikosi cha timu ya Taifa ya Ujerumani pindi tu wanapokutana na ngoma ngumu buluda ama Azzurri ama Italia.
Pia yameweka wazi mfano wa Matokeo mabovu waliyoyapata wajerumani ndani ya miaka 16 iliyopita kwa kukosa ushindi dhidi ya Italy kwa kipindi chote hicho...
ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
Mkuu hapo ndipo ninapo pataka.Italy ni fupa gumu kutafuna so naombea wakutane nao ili nione kama wataendeleza kiwango chao cha kuchakaza watu.
Ila the Diesel wanastahili kuchukua ndoo wako fit sana na wamejiandaa kutwaa ndoo kwa kuwekeza katika ligi yao(Bundesliga) ili kupata kikosi imara.
Siku yoyote ktk mashindano makubwa hakuna timu inayoombea kukutana na Manguli wa kitaliano.
Na ukiona kocha au mchezaji anaomba kukutana na Italy basi ukae ukijuwa huyo kocha anauwezo pia wa kumnywesha Kuku maji ya moto akitegemea kuwa atataga Yai la kuchemsha...
Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
usibabaike na kufunga bao nyingi,kwani hata world cup 2010 si waliwafunga england4-1 na argentina 4-0,spain muziki mwingi hao germany wanaombea wasicheze nao maana washafungwa tayari ndani ya miaka 4 mechi zote semi final world cup 2010 na final euro 2008,najua hata sasa wanaomba kwanza kesho nafuu yao england ashinde maana wakiingia azzuri chancellor wao mwenyewe Angela Merkel anaogopa kwenda uwanjaniaisee germany ni soo...hawa jamaa over the years wameonyesha kua iwe ni world cup au euros lazima wafike semi finals, sioni team ya kuwafunga hawa hata spain hamna kitu. I'd put my money on germany winning the euros
ni kweli yani wanaombea Italy wasipite kesho j2 maana wanajijua kazi ipo,bado bao 2 dk 4 za mwisho extra time 120 wanakumbuka kwao wajerumani ktk world cup 2006magazeti makubwa ya Ujerumani hapa nayazungumzia Franfurt Algamain tsaitung na Berlin algamain yametanabaisha uwezo mdogo wa kikosi cha timu ya Taifa ya Ujerumani pindi tu wanapokutana na ngoma ngumu buluda ama Azzurri ama Italia.
Pia yameweka wazi mfano wa Matokeo mabovu waliyoyapata wajerumani ndani ya miaka 16 iliyopita kwa kukosa ushindi dhidi ya Italy kwa kipindi chote hicho...
ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
May your wishes come true. I'm really a bit concerned of today's match, not for the ability of La Roja but rather for the "History" that hunts Spain whener it faces France taking into account that it has never worn in any official competition. But as way of consolation and encouraging myself, I beleive that there's always the first time and for the first time today La Roja will suffer (I assure you) but it is going to win.Kwa leo ntaombea sana Spain ishinde!!! Infact they r fev as far the last game France game against SWE is concern!!! France played below per!!! But its football, anything can happen! Would love Spain to win today and Italy 2mrw!