Kiushabiki leo sina changu, lakini moyoni ningependa Greece washinde ili kulipiza kisasi kwa Chancellor Merkel (by the way yupo uwanjani) jinsi anavyoiyumbisha Greece kiuchumi.Leo niko neutral..Mshindi ashinde na game liwe la kuburudisha!!
Leo niko neutral..Mshindi ashinde na game liwe la kuburudisha!!
Kiushabiki leo sina changu, lakini moyoni ningependa Greece washinde ili kulipiza kisasi kwa Chancellor Merkel (by the way yupo uwanjani) jinsi anavyoiyumbisha Greece kiuchumi.
Wajerumani wawe waangalifu vinginevyo wanaweza kuadhirika.
Leo niko neutral..Mshindi ashinde na game liwe la kuburudisha!!
Naona Klose kaanza ahead of GOMES.... Kunani tena... Gomez had good scoring record...
Hata mimi nilimtarajia Gomez awemo tangu mwanzo, biashara aubuhi.Naona Klose kaanza ahead of GOMES.... Kunani tena... Gomez had good scoring record...
BJ ina maana hujui nani ni more Fev kuwin hii game au???? Aya bana....