Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Tokea 2010 England walipodhulumiwa goli lao dhidi ya Ujerumani mimi nilisema wanahitaji sana goal line tech lakini naona hii mijamaa ya FIFA iko nyuma sana.
Yaani goli la wazi kabisa jamaa wamenyimwa. Haki iko wapi hapo?
Sijawahi kuona jamaa wabishi kama wale. Mtu unakataa vipi kitu ambacho kinakusaidia kufanya maamuzi?