MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,607
Asante sana BJ. Duh! We acha tu, nilikuwa presha tupu mpaka filimbi ya mwisho.It's Spain and Italy...WAMEPITA..wow!!!
Croatia and Ireland...NJE
Asante sana BJ. Duh! We acha tu, nilikuwa presha tupu mpaka filimbi ya mwisho.It's Spain and Italy...WAMEPITA..wow!!!
Croatia and Ireland...NJE
Hapana! Wakati mpira unatoka kwa mchezaji wa Croatia, Iniesta na Navas walikuwa katika nfasi sahihi, lakini Wakroatia waliona hivyo hivyo wakabaki kunyoosha mikono tu. Anyway, goli akishalikubali refa ndio imepita tena hiyo.Dah Wameotea goli naona
Gang Chomba ni shabiki nguli wa Soka la Italia, so nikiwa na akili timamu pasipo kuwa hata na Handas kichwani napenda kuweka wazi kuwa Italy ama Azzurri tumebakiza mechi 3 kwa sasa.
1. Robo Fainali
2. Nusu Fainali
3. Fainali...
Ndetichia, Myao wa Tunduru na companero naomba mjitokeze huku mkiwa vifua wazi...
Forza Buluda
England na spain wanapita
Again?? England wanatoka kaka...... Hahahahahahaaaaaaaaa......Najua hutaki ila ndo itakavyokua
Ha ha ha ,mkuu acha fujo nilitaka kuandika england na. France lol
OX... Kuwa mkweli katika hili swali...." MMESHIKWA HAMJASHIKWA???"
Acha kutumia mmeshikwa ua hamjashikwa, mie nawashangilia kutoa support kwa Walcott na Chamberlain. Jamaa wameshikwa.
England inabidi ifanye mabadiliko half time