BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,076
hivi Holland imeshatoka? siamini aisee..
hivi Holland imeshatoka? siamini aisee..
Dreaming is free of charge and hope is the last to be lost.Gang Chomba ni shabiki nguli wa Soka la Italia, so nikiwa na akili timamu pasipo kuwa hata na Handas kichwani napenda kuweka wazi kuwa Italy ama Azzurri tumebakiza mechi 3 kwa sasa.
1. Robo Fainali
2. Nusu Fainali
3. Fainali...
Ndetichia, Myao wa Tunduru na companero naomba mjitokeze huku mkiwa vifua wazi...
Forza Buluda
Goli la kizembe sana
Video Technology inahitajika kwa msingi huu
Wale marefa wa nyuma ya magoli hawana maana.
Hivi kweli Fifa hawataki goal line. technology?
Video Technology {Goal line Tech} inahitajika kwa msingi huu
Kusema kweli ni Plattini na Blatter sijui wana sababu gani za kukataa
Wale marefa wa nyuma ya magoli hawana maana.
Hivi kweli Fifa hawataki goal line. technology?