Goli zuri sana
Haya bana.... Walcott Man of the Match as far as am Concern!!!!
Oooh Walcott, namfagilia sana japo mie si asenali!! Kudoz to England..
hahahahah lol! Katoa pasi nzuri sana kwa yule mMANU 🙂 na kusababisha goli la ushindi.
He he..hapo mnafurahia wenyewe dogo alivyowapaisha mie ananikosha kweli. Tuwasubirie hao England itakuwaje dhidi ya Ukraine jumanne ijayo!..