Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

article-2159717-13A141E8000005DC-987_634x406.jpg
 
Wamerudiiiiiiiii.............England Soka hakuna ni MEDIA ndo inawapaisha.....
 
Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..................... Sasa Wa Swedish wapaki basi walinde ushindi.... England wamesha panic...
 
Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..................... Sasa Wa Swedish wapaki basi walinde ushindi.... England wamesha panic...
hawakuweza Sweden kulinda ushindi wao, na kuna hatari ya kuongezwa jengine. Mpira unaanza upya!
 
2-1 Sweden Yummy yaani hawachezi kwa kujituma kabisa wapo wapo tu kama wanacheza mchezo wa kirafiki

What a shame daaah kama wachomwe sindano ya kuwazindua eee
 
Last edited by a moderator:
What a shame daaah kama wachomwe sindano ya kuwazindua eee

labda watazinduka katika hizi dkk 16 zilizobaki na kufanya vitu vyao..vinginevyo watakuwa wamejiweka katika hali ya hatari kuyaaga mashindano
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom