Na sijui kama hawatafanya fujo.Walivyokuwa wameshona uwanjani mashabiki wa Poland..wasiishie kufanya vurugu tu huko nje baadae!!
Kudoz to Czesh na Greece!!
:whoo::whoo:
Umeona eeh..hata mie nimeduwaa kweli, eishh!!
Let me save my energy for tomorrow's match..si unajua kesho naweza kuwa super happy au kilio, ha ha..!
Tuombe Mungu ili uwe super happy mie nitawashangalia kwa nguvu zote...si unajua kule kwenu kuna yule mcheza wetu huwa anatupagawisha sana wapenzi na washabiki wa GUNNERS.
Mie nadhani Uholanzi anaweza kuchukua ubingwa.
Walivyokuwa wameshona uwanjani mashabiki wa Poland..wasiishie kufanya vurugu tu huko nje baadae!!
Kudoz to Czesh na Greece!!
:whoo::whoo:
eti ni kigezo gani kilichotumika kuamua Greece iendelee badala ya Urusi?
eti ni kigezo gani kilichotumika kuamua Greece iendelee badala ya Urusi?
sikutegemea Russia waadhiriwe na Greece...Mpira kweli hudunda!!
Presha inapanda presha inashuka..Nederland ipite leo jamani japo si rahisi.
Nederland vs Portugal
Germany vs Denmark
Presha inapanda presha inashuka..Nederland ipite leo jamani japo si rahisi.
Nederland vs Portugal
Germany vs Denmark
Holland leo wana kibarua kikubwa kupita
sana kwakweli..yaani washinde atleast goli mbili bila na same time Germany iifunge Denmark, pheew!!
itakuwa huzuni wakitoka maana mwanzo mwisho Euro hii ni mfululizo wa kufungwa mechi zote 3.
BJ pole sana.... NED hawapiti leo..... No matter how hard they'll TRY but the wont.... I predict GERMANY & PORTUGAL... n'way we have 90Mins to come to conclusion...ALL THE BEST