Eunice Chiume, kwanini unapotosha wanachama wa NSSF?

Kumbe naye mumalawi eeeh ila nchi watu ka hao ndo wanafaidi
Mkapa ni mmakonde wa Msumbiji kwa mujibu wa Mtikila, hata Nyerere anajulikana kwao ni wapi, hizi ni hoja za kitoto na kijinga kabisa, pale Italy kuna mama kutoka DRC ni waziri wa kwanza black katika historia ya Italy.

Nyerere secretary wake alikuwa ni mama wa Kingereza, na mpaka leo bunge letu limejaa wahindi sasa sijui Muhindi anakuwaje Mtanzania ilihali India hakuna mbunge kutoka Afrika?
 
Utakuwa Plastic American
Na kuna kazi huwezi kupewa kwenye serikali ya Marekani
Apart from the presidency, which is a singularity, kazi gani nyingine?

Acha xenophobia.

Ni tabia inayoendeleza umasikini na ujinga.

What's next? Utataka kuleta ukabila pia?

Kwamba makabila ya mipakani si Watanzania halisi kwa sababu wanaingiliana sana na nchi jirani, Watanzania halisi ni wa katikati?
 
Sifahamu vizuri sheria za uraia
lakini nafikiri kwa nafasi ya Urais ni lazima awe Raia wa kuzaliwa
kama ni hivyo inawezekana madaraja ya uraia yapo?

Kuhusu huyo mama nafikiri aliekosea ni Jenista Mhagama kutengua uteuzi kwa
presha za mitandao kumbe wakati huyo mama ni raia na kwa nafasi hiyo hakuna shida...
nakumbuka kuna mbunge Premji wa kigoma aliwahi kupambana hadi mahakamani
na akarudi kuwa mbunge....
Hata Zambia walikuwa na makamu wa Rais mzungu, alipotaka kugombea urais kipengele cha uraia ndiyo kilimbana.
 
MMGL0274.jpg

Huyu mama ndio mkurugenzi wa Mawasiliano wa shirika la NSSF. Huyu miaka yote amekuwa mwoga wa kujitokeza kujibu hoja mbali mbali zinzohusu shirika hili kwa waandishi wa habari na umma kwa ujumla.

Lakini wiki iliyopita kwa spidi ya ajabu kabisa, kwa kushirikiana na waziri wa Kazi na Ajira, Jenista Mhagama alijotokeza kutangazia dunia kupitia mitandao kama vile Whatsapp, facebook, twitter, instagram, viber,google+, na vizingnezo uteuzi tata wa raia wa Uganda (DR CARINA) kuwa kaimu mkurugenzi mkuu wa shirika la hifadhi la NSSF.

Cha ajabu ni kuwa masaa 4 baada ya Jamiiforums kujulisha dunia kuwa huyu aliyepewa hiyo nafasi si mTanzania na ku challenge Waziri Mhagama na watu wake waonyeshe ushaidi kuwa ni mTanzania ilibidi wizara itoe Tamko la kuondoa uteuzi wake

Na ajabu zaidi ni kuwa huyu huyu Mama (Eunice Chiume), amekuwa kimya kwani:

Hajatoa taarifa yoyote ile kwa wanachama, umma na dunia kwa ujumla juu ya kutenguliwa kwa uteuzi wa Dr (MGANDA) Carina.

Sasa inamaana huyu Eunice Chiume anafanya kusudi au hataki kuujulisha umma na wanachama wa NSSF kinachoendelea kwenye hilo shirika au kuna siri gani ambayo hataki tujue au naye anasubiri maelekezo toka kwa Magori?
Kwanini wafuasi wa ponda mmelishikia bango sana suala la NSSF?
 
Ile haikuwa internal memo?
 
Mtoa Mada naona unapotosha Jukwaa, Eunice Chiume ni Meneja wa Masoko na Uhusiano wa NSSF, bali I. Halfani ndo Mkurugenzi wa Mawasiliano wa NSSF, kwa hiyo watu tuondoe chuki binafsi kwa Eunice Chiume
 
Huyu mumewe nadhani anafanyakazi kampuni ya Mafuta kama sikosei. Kama ni ndugu yake na Nathan (jamaa namkubali sana) lakini huyu binti wala sio kabisaa. Sasa nilikuwa najiuliza iweje Nathan awe na akili vile halafu huyu awe hana confidence?

Kumbe ni mtu na shemejiye

Nimeandika e-mail kwenda NSSF kuuliza kulikoni wakinijibu nitawafahamisha
Yes,kampuni ya orca,anaitwa william chiume
 
Hahahaaa huyu jamaa anweza kuwa Dr Dau. Tatizo lake halieleweki ni nini! Analalamikia Uraia wa Dr Carina hapo hapo anamshambulia Chiume. Hardly tatizo lake ni position ya uDG wa NSSF.
Vita vya panzi furaha ya kunguru.

Kama zisingekuwa taarifa kutoka humu jf kuhusu uraia wa Dr caria then waziri asingetengua uteuzi huo.
 
MMGL0274.jpg

Huyu mama ndio mkurugenzi wa Mawasiliano wa shirika la NSSF. Huyu miaka yote amekuwa mwoga wa kujitokeza kujibu hoja mbali mbali zinzohusu shirika hili kwa waandishi wa habari na umma kwa ujumla.

Lakini wiki iliyopita kwa spidi ya ajabu kabisa, kwa kushirikiana na waziri wa Kazi na Ajira, Jenista Mhagama alijotokeza kutangazia dunia kupitia mitandao kama vile Whatsapp, facebook, twitter, instagram, viber,google+, na vizingnezo uteuzi tata wa raia wa Uganda (DR CARINA) kuwa kaimu mkurugenzi mkuu wa shirika la hifadhi la NSSF.

Cha ajabu ni kuwa masaa 4 baada ya Jamiiforums kujulisha dunia kuwa huyu aliyepewa hiyo nafasi si mTanzania na ku challenge Waziri Mhagama na watu wake waonyeshe ushaidi kuwa ni mTanzania ilibidi wizara itoe Tamko la kuondoa uteuzi wake

Na ajabu zaidi ni kuwa huyu huyu Mama (Eunice Chiume), amekuwa kimya kwani:

Hajatoa taarifa yoyote ile kwa wanachama, umma na dunia kwa ujumla juu ya kutenguliwa kwa uteuzi wa Dr (MGANDA) Carina.

Sasa inamaana huyu Eunice Chiume anafanya kusudi au hataki kuujulisha umma na wanachama wa NSSF kinachoendelea kwenye hilo shirika au kuna siri gani ambayo hataki tujue au naye anasubiri maelekezo toka kwa Magori?
ULIMTOKEA AKAKUTOSA AU UNAVIZIA NAFASI YAKE?UMEANDIKA KWA HASIRA SANA TENA MAMBO PERSONAL.................
 
SEFUE OMBEN ANAKUJA LITUMBUA LIPE MUDA MWEKEEN SPIRIT NA PAMBA
 
Mtoa Mada naona unapotosha Jukwaa, Eunice Chiume ni Meneja wa Masoko na Uhusiano wa NSSF, bali I. Halfani ndo Mkurugenzi wa Mawasiliano wa NSSF, kwa hiyo watu tuondoe chuki binafsi kwa Eunice Chiume
huyu mdada ndiyo Head Wa public relation and communication pale NSSF, ni mtoto Wa bi janeth mbene mbunge Wa Ileje na aliyekuwa naibu wazito Wa viwanda katika awamu ya nne. Kuna tetesi ni mtoto Wa kufikia Wa Dr. Augustine Mahiga.
 
Hakuna aliyeshikiwa bango

Issue hapa ni kuwa siku zote amekuwa akijifiicha na hajitokezi kujibu tuhuma mbali mbali
Lakini siku alipoteuliwa mtu ambaye uraia wake una utata bas huyu mama alijitokeza na kutoa press release yenye vingereza na misamiati ya kila namna.

Masaa machache baada ya kuonekana kuna blunder imefanyika na wizara kutoa tamko, huyu mama amegoma kabisaa mpaka leo kutoa taarifa zozote zile kuwajulisha wanachama wa NSSF kilichojitokeza na utata ulijitokeza

Hiyo wewe unatafsirije ? Hivi mfano NSSF ingekuwa ni listed company kwenye stock market ingekuwa ishakuwa muflis kwani cofidence kwa shareholders ingekuwa at all time low if not imekufa kabisaa

Mimi kama mwanachama mchangiaji wa hili shirkka najiuliza maswali mengi na majibu sipati kwani huyo mwenye kitengo chake kaamua kwa kusudi kuingia mitini.

wewe sio mwanachama mbona sisi wanachama tumetulia sema wewe mfuasi mtiifu wa Dau
 
Yametolewa maelezo ya kina kwamba Dr. Carina si Mganda. For the sake of fairness that part of the story ought to be covered too.

I don't like xenophobia of any sort.
Mkuu
Kwako Mo Dewj akigombea u Raisi ni Sawa tu asee ?
 
Hizi habari za Utanzania zitatumaliza.

Huyo Dr. Carina ni Mtanzania. Lakini kashikiwa bango kwamba Mganda.

Huyo Eunice ni Mtanzania, tunamjua kasoma Muhimbili, dada yake Steven, walikuwa wanakaa Maweni St. Upanga, kaolewa na one of the late Kanyama Chiume's sons.

By te way, Eunice ana msiba mkubwa wa wifi yake aliyefariki Mount Vernon, NY, wamezika jana nafikiri Kinondoni.

Hivyo siwezi kushangaa kama hayupo kazini na ndiyo maana hajatia tamko lolote
watanzania full majungu, heri umewaeleza ukweli, kutwa kujamba na kuchimbana
 
Huko Nssf si naskia wamejaa waislam huko?

Sasa huyo mkurugenz Eunice nae ni muislam au muimba kwaya?
 
Mleta mada na wewe una matatizo

Hivi unataka kutuambia kuwa hujui kama Eunice is good for nothing?

Sielewi why anaendelea kubebwa
 
Back
Top Bottom