Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,596
- 155,435
Wamezika jana nafikiri, na hii inaweza kuwa sababu Eunice hajasikika maana inawezekana kabisa alikuwa katingwa na shughuli za msiba. Wamesafirisha mwili kutoka New York...100%.
..Kanyama Chiume ni Mmalawi lakini watoto wake wamekulia Tanzania.
..kuna binti yake amefariki hivi karibuni Marekani, lakini anazikwa Tanzania.