Eunice Chiume, kwanini unapotosha wanachama wa NSSF?

Maelezo kuhusu uraia wa Dr Carina yaliyotelewa na SSRA ambaye ndiye mwajiri wake hadi anateuliwa kukaimu nafasi ya U-DG NSSF. Na imefanunuliwa vizuri kabisa kuwa Dr Carina ni mtanzania.

Kwa upande mwingine hizi kelele za uraia wa Dr Carina zinaonesha dalili ya tatizo tulilonalo Watanzania lakini tunajidai hatuna. Watanzania si wamoja kama tunavyojidai na mbaya zaidi ni kushamiri kwa xenophobia.
Uraia wake wa kuomba kwasababu ya mume mtz, akiachwa nakuolewa Kenya ataukana uBongo hatuwezi kumpa nssf kwasababu ya status hiyo!
 
Mkuu, watu wengi wamegundua kuwa serikali inayafuatilia maoni yao kwenye mitandao, wakifuatiiloa trend za kina sefue zinawapa mizuka, tutaona mengi.
Unaweza kudhani Sefue kaondolewa kwa trend za mitandao, kumbe ni kawaida kwa Katibu Mkuu kiongozi wa serikaki iliyopita kuondolewa mara baada ya serikali mpya kumaliza handover.

Kama serikali inafuatilia trend za mtandao tutaona January anaondolewa muda si mrefu, maama amepakwa matope sana kwenye issue ya Muitaliano.
 
Maelezo yametolewa na wizara lakini sio NSSF

sasa kimya chake huyu dada tukitafsiri vipi sisi wanachama wa NSSF?

Alipoteuliwa yule Mganda she came out gun blazin na ku flood social media kutujuza

Mambo yalipobadilika she went into hiding.

Makes you question why?

Japo simfagilii, lakini nadhani baada ya kutenguliwa, hakuwa na uhusiano na NSSF tena. Ndio maana SSRA ndio walimtetea.
 
Tanzania sifikiri kwamba ili kuwa rais ninlazima uwe raia wa kuzaliwa. Nyerere hakuzaliwa Tanzania. Ditto Mwinyi.

Kuhusu uteuzi kutengukiwa, kwanza hatujui kama uteuzi umetengukiwa kwa sababu ya uraia au habari za mitandao, serikali ina resources zaidi ya mitandao, kama mawaziri wanafanya kazi kwa mitandao tatizo letu kubwa kuliko nilivyofikiri.

Pili, nashujuru umeona tatizo kwa wateuzi huko.

Nashangaa wanaomshikia bango mtangazaji wa uteuzi wakati mteuzi wanamuachia.

Kama mteuzi anajikanyaga na hajatoa habari, huyu Eunice Chiume ambaye ni mtangazaji tu, atangaze nini sasa?

Mkuu Kiranga naomba kama huta mind utusaidie Nyerere alizaliwa wapi na Mwinyi pia?

this is new info to me

Ila kuhusu uraia na uhalali hasa kwa Nyerere...

Wakati wa uhuru walitangaza kabisa kuwa

yoyote aliekuwa Tanganyika usiku ule wa tarehe 9 december 1961..
automatic atakuwa raia wa Tanganyika...unless yeye mwenyewe aje kuukana uraia huko mbele
hivyo watu wote waliokuwa Tanganyika siku ile tunapata uhuru wakawa raia wenye haki zote
kwa mujibu wa sheria.....nimesahau nilipoiona hii taarifa but historians wanaweza kutusaidia

Ndo maana suala la uraia wa Jenerali Ulimwengu lilinishangaza wakati alikuwa Tanganyika siku ya uhuru
na hata yule aliepandisha bendera mlima kilimanjaro usiku ule nae akaja kukamatwa kwa kesi ya uraia later
nafikiri kifungu hiko kilitumika kuhukumu.....hata wanajeshi ambao walikuwa na asili ya Malawi..
i stand to be corrected ....
 
Uraia wake wa kuomba kwasababu ya mume mtz, akiachwa nakuolewa Kenya ataukana uBongo hatuwezi kumpa nssf kwasababu ya status hiyo!
Huyo mama tofauti na wengi wanavyofikiri, kwa Ph.D yake, ni asset nchi yoyote atakayokwenda, na kukaa Tanzania ni mapenzi yake tu. Nchi nyingine watu kama hawa wanatafutwa kwa udi na uvumba wabadilishwe hata uraia, Marekani wanafanya hivyo.

Ndiyo maana wanaendelea.

Sie Watanzania tunataka kuangalia uraia.

Chenge raia wa Tanzania bila mzozo.

Na tazama anavyowafanya kitu mbaya kwa kebehi.

I can't stomach this smallminded xenophobia.

It is a trait of a backward society.
 
MMGL0274.jpg

Huyu mama ndio mkurugenzi wa Mawasiliano wa shirika la NSSF. Huyu miaka yote amekuwa mwoga wa kujitokeza kujibu hoja mbali mbali zinzohusu shirika hili kwa waandishi wa habari na umma kwa ujumla.

Lakini wiki iliyopita kwa spidi ya ajabu kabisa, kwa kushirikiana na waziri wa Kazi na Ajira, Jenista Mhagama alijotokeza kutangazia dunia kupitia mitandao kama vile Whatsapp, facebook, twitter, instagram, viber,google+, na vizingnezo uteuzi tata wa raia wa Uganda (DR CARINA) kuwa kaimu mkurugenzi mkuu wa shirika la hifadhi la NSSF.

Cha ajabu ni kuwa masaa 4 baada ya Jamiiforums kujulisha dunia kuwa huyu aliyepewa hiyo nafasi si mTanzania na ku challenge Waziri Mhagama na watu wake waonyeshe ushaidi kuwa ni mTanzania ilibidi wizara itoe Tamko la kuondoa uteuzi wake

Na ajabu zaidi ni kuwa huyu huyu Mama (Eunice Chiume), amekuwa kimya kwani:

Hajatoa taarifa yoyote ile kwa wanachama, umma na dunia kwa ujumla juu ya kutenguliwa kwa uteuzi wa Dr (MGANDA) Carina.

Sasa inamaana huyu Eunice Chiume anafanya kusudi au hataki kuujulisha umma na wanachama wa NSSF kinachoendelea kwenye hilo shirika au kuna siri gani ambayo hataki tujue au naye anasubiri maelekezo toka kwa Magori?
Ni jipu; atumbuliwe kiishe!
 
Mkuu Kiranga naomba kama huta mind utusaidie Nyerere alizaliwa wapi na Mwinyi pia?

this is new info to me

Ila kuhusu uraia na uhalali hasa kwa Nyerere...

Wakati wa uhuru walitangaza kabisa kuwa

yoyote aliekuwa Tanganyika usiku ule wa tarehe 9 december 1961..
automatic atakuwa raia wa Tanganyika...unless yeye mwenyewe aje kuukana uraia huko mbele
hivyo watu wote waliokuwa Tanganyika siku ile tunapata uhuru wakawa raia wenye haki zote
kwa mujibu wa sheria.....nimesahau nilipoiona hii taarifa but historians wanaweza kutusaidia

Ndo maana suala la uraia wa Jenerali Ulimwengu lilinishangaza wakati alikuwa Tanganyika siku ya uhuru
na hata yule aliepandisha bendera mlima kilimanjaro usiku ule nae akaja kukamatwa kwa kesi ya uraia later
nafikiri kifungu hiko kilitumika kuhukumu.....hata wanajeshi ambao walikuwa na asili ya Malawi..
i stand to be corrected ....
Wachana na huyo kiranga; ameandika njozi zake tu!
 
Nyerere amezaliwa Tanganyika Territory. Hajazaliwa Tanzania.Tanzania ineanza 1964. Hivyo, Nyerere na wote waliokuwepo Tanzania siku ya Muungano ambao walizaliwa kabla ya Muungano, si raia wa kuzaliwa wa Tanzania. Hakuna raia wa kuzaliwa wa Tanzania aliyezaliwa kabla ya Muungano wa Tanzania. Huyo raia atakuwa mkubwa kuliko nchi aliyozaliwa.
 
Hizi habari za kutumbua majipu willy nillly zitatufikisha Cambodia ya Pol Pot au kichaa cha baada ya Mapinduzi ya Ufaransa.
 
Maelezo yametolewa na wizara lakini sio NSSF

sasa kimya chake huyu dada tukitafsiri vipi sisi wanachama wa NSSF?

Alipoteuliwa yule Mganda she came out gun blazin na ku flood social media kutujuza

Mambo yalipobadilika she went into hiding.

Makes you question why?

waliomteua (serikali) wametoa maelezo sasa unatka maelezo ya nn tena? hivi Msemaji wa NSSF anaweza kuwa na "sauti" kuliko msemaji wa ikulu?
 
Jinsi wanavyomshikia bango huyo Eunice Chiume badala ya kufuatilia uteuzi serikalini huko, ukifikiri kwamba wana chuki binafsi na huyo Eunice Chiume siwezi kukushangaa.
 
wanawake shida sana, ukipiga moja kwa wiki, wanasema wanaume sikuhizi hawana nguvu za kiume, ukitaka kila siku bao mbili tatu, wanasema wewe mroho. haya sasa.
Majipu ni mengi
MMGL0274.jpg

Huyu mama ndio mkurugenzi wa Mawasiliano wa shirika la NSSF. Huyu miaka yote amekuwa mwoga wa kujitokeza kujibu hoja mbali mbali zinzohusu shirika hili kwa waandishi wa habari na umma kwa ujumla.

Lakini wiki iliyopita kwa spidi ya ajabu kabisa, kwa kushirikiana na waziri wa Kazi na Ajira, Jenista Mhagama alijotokeza kutangazia dunia kupitia mitandao kama vile Whatsapp, facebook, twitter, instagram, viber,google+, na vizingnezo uteuzi tata wa raia wa Uganda (DR CARINA) kuwa kaimu mkurugenzi mkuu wa shirika la hifadhi la NSSF.

Cha ajabu ni kuwa masaa 4 baada ya Jamiiforums kujulisha dunia kuwa huyu aliyepewa hiyo nafasi si mTanzania na ku challenge Waziri Mhagama na watu wake waonyeshe ushaidi kuwa ni mTanzania ilibidi wizara itoe Tamko la kuondoa uteuzi wake

Na ajabu zaidi ni kuwa huyu huyu Mama (Eunice Chiume), amekuwa kimya kwani:

Hajatoa taarifa yoyote ile kwa wanachama, umma na dunia kwa ujumla juu ya kutenguliwa kwa uteuzi wa Dr (MGANDA) Carina.

Sasa inamaana huyu Eunice Chiume anafanya kusudi au hataki kuujulisha umma na wanachama wa NSSF kinachoendelea kwenye hilo shirika au kuna siri gani ambayo hataki tujue au naye anasubiri maelekezo toka kwa Magori?
 
Kama hujui nikwambie hivi, Eunice ni mtoto wa kwanza wa Mh a Janet Zebedayo Mbene, Mbunge wa Ileje aliyekuwa Naibu Waziri wa viwanda awamu iliyopita. Mme wake Ni Chiume huyu ndiye mwenye asili ya Malawi . Yeye jina lake ni Eunice Mongi, baada ya kuolewa kaitwa Eunice Chiume
 
Huyo mama tofauti na wengi wanavyofikiri, kwa Ph.D yake, ni asset nchi yoyote atakayokwenda, na kukaa Tanzania ni mapenzi yaje tu. Nchi nyingine watu kama hawa wanatafutwa kwa udi nabuvumba wabadikishwe hata uraia, Marekani wanafabya hivyo.

Ndiyo maana wanaendelea.

Sie Watanzania tunataka kuangalia uraia.

Chenge raia wa Tanzania bila mzozo.

Na tazama anavyowafanya kitu mbaya kwa kebehi.

I can't stomach this smallminded xenophobia.

It is a trait of a backward society.

Jamaa wananichosha kabisa. Hoja ya uraia pacha ilipopamba moto watu walidai ukichukua uraia wa nchi nyingine basi papo hapo na uzalendo kwa nchi yako ya asili ukwisha na unakuwa loyal kwa "nchi" yako mpya. Sasa huyu mama kachukuwa uraia wa Tanzania wanauita Utanzania wake wa Plastic! Kwa nini wasimpime kwa kipimo kile kile wanachowapima Watanzania wenzao kwamba wanakuwa loya kwa "nchi" yao mpya? Huyu mama "nchi" yake mpya ni Tanzania hivyo kwa mantiki za hoja zilizokuwa zikipinga uraia pacha huyu mama ni loyal kwa Tanzania kuliko nchi yake ya asili. Kweli kuishi kwingi ni kuona mengi.

Xenophobia imewafanya hata waanze kumpachika mtu Umalawi. Sasa kama Eunice ni Mmalawi kwa kuolewa na "Mmalawi" kwa nini wanasita kusema Dr. Wangwe ni Mtanzania kwa vile kaolewa na Mtanzania (achilia mbali Utanzania wake aliochukua kwa kufuata taratibu za kisheria)? Kha!
 
Hizi hoja za uraia mara nyingi ni za watu wanaotapatapa.

Wamarekani wangekuwa na roho za kijiba hivi wasingeendelea.

Halafu tunashangaa kwa nini tunakuwa maskini wakati umaskini tunaulea wenyewe kwa kukumbatia ujinga.
 
MMGL0274.jpg

Huyu mama ndio mkurugenzi wa Mawasiliano wa shirika la NSSF. Huyu miaka yote amekuwa mwoga wa kujitokeza kujibu hoja mbali mbali zinzohusu shirika hili kwa waandishi wa habari na umma kwa ujumla.

Lakini wiki iliyopita kwa spidi ya ajabu kabisa, kwa kushirikiana na waziri wa Kazi na Ajira, Jenista Mhagama alijotokeza kutangazia dunia kupitia mitandao kama vile Whatsapp, facebook, twitter, instagram, viber,google+, na vizingnezo uteuzi tata wa raia wa Uganda (DR CARINA) kuwa kaimu mkurugenzi mkuu wa shirika la hifadhi la NSSF.

Cha ajabu ni kuwa masaa 4 baada ya Jamiiforums kujulisha dunia kuwa huyu aliyepewa hiyo nafasi si mTanzania na ku challenge Waziri Mhagama na watu wake waonyeshe ushaidi kuwa ni mTanzania ilibidi wizara itoe Tamko la kuondoa uteuzi wake

Na ajabu zaidi ni kuwa huyu huyu Mama (Eunice Chiume), amekuwa kimya kwani:

Hajatoa taarifa yoyote ile kwa wanachama, umma na dunia kwa ujumla juu ya kutenguliwa kwa uteuzi wa Dr (MGANDA) Carina.

Sasa inamaana huyu Eunice Chiume anafanya kusudi au hataki kuujulisha umma na wanachama wa NSSF kinachoendelea kwenye hilo shirika au kuna siri gani ambayo hataki tujue au naye anasubiri maelekezo toka kwa Magori?

Hiki kipele very soon kitatumbuliwa
 
Back
Top Bottom