AbasMzeEgyptian
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 407
- 313
Huenda nae huyu ni Mmalawi, fuatilieni
Wanasema ni Mchagga lakini kaolewa na Mmalawi
sasa je huyo mumewe ni Mtanzania?
Lakini usijali sana, Magori atakuja kumtetea
Huenda nae huyu ni Mmalawi, fuatilieni
Aise kumbe baba yake ni mmalawi kama ni hivyo na yeye na yeye asili yake ni malawiKama hujui nikwambie hivi, Eunice ni mtoto wa kwanza wa Mh a Janet Zebedayo Mbene, Mbunge wa Ileje aliyekuwa Naibu Waziri wa viwanda awamu iliyopita. Mme wake Ni Chiume huyu ndiye mwenye asili ya Malawi . Yeye jina lake ni Eunice Mongi, baada ya kuolewa kaitwa Eunice Chiume
Yametolewa maelezo ya kina kwamba Dr. Carina si Mganda. For the sake of fairness that part of the story ought to be covered too.
I don't like xenophobia of any sort.
Inaelekea kila chama na taasisi sasa ina vijana wa mtandaoni.Eunice sasa hivi kazi yake moja tuu
kuandika na ku leak against Dr Dau kwenye magazeti ya DIRA na JAMBO LEO
Tunafahamu kuwa Waziri wa kazi Jenista Mhagama, Katibu Mkuu wizara ya Kazi Eric Shitindi, Waziri wa mambo ya Ndani, Charles Kitwanga Mkurugenzi wa Operations NSSF Crescentius Magori na Director wa Public Relations NSSF Eunice Chiume wanafanya kazi ya ziada kumchafua Dr magazetini lakini kwa nini wahariri wanakubali kutumika kupandikiza mbegu ya chuki na udini?
Kwa nini huu uchochezi unanyamaziwa na vyombo vya dola?
sasa ile habari kuwa Magufuli alipewa taarifa za uwongo juu ya Dr Dau na watu wake (akina Sefue, Shitindi,Kitwanga na Mhagama) hazikukuwa na ukweli wowote ule na hii jitihada yenye harufu ya duni inayotumika sasa imedhihiri wazi kuwa hii vita dhidi ya Dr Dau ni Udini na sidhanii kama Mheshimiwa Magufuli anafurahia haya mambo.
Kwanza Magazeti ya MTANZANIA na DIRA na JAMBO LEO yalimchafua Dr Dau kwakutumia ripoti feki ya CAG
sasa naona RISASI wamekuja na hiii
hatujui kesho na wiki ijayo magazeti yakuja na nini lakini sidhani kama wakoaji wakubwa wa Dr Dau watapendezwa na hili
Pia cha kushangaza kwa nini Dr Dau hajayashitaki haya magazeti yanayomchafua? ni wazi waziri wa Habari Nape anafurahia haya mambo ya kuchafuana magazetini.
![]()