Eunice Chiume, kwanini unapotosha wanachama wa NSSF?

Eunice Chiume, kwanini unapotosha wanachama wa NSSF?

Sasa kwa nini hufuatilii ofisi na hao wasaidizi unamuandama mtu ?

Na zaidi, Eunice si mtu anayeteua, ni mtangazaji tu. Kwa nini inamshikia bango mtangazaji wakati mteuzi humsemi?

Kama Eunice hasemi chochote kwa sababu hajapewa cha kusema, hajapewa uteuzi mpya wala maelezo, utamuandama kwa lipi?

Unataka atunge habari ambayo haipo?

Simwandami. Hapa nasema kuwa yeye ndiye mhusika na ndiye aliyetoa taarifa za uteuzi mpya na ndiye mwenye jukumu hilo.

Ameshindwa kumuuliza hata magori?
 
Sorry sikuyaona maelezo ya uraia wa Carine Wangwe
ni raia wa Tanzania kwa kuzaliwa?
au ni raia kwa kuomba uraia?
hakuwahi kuwa mganda?

What difference does that make, kuzaliwa au kuomba? Ni mtanzania.
 
Sorry sikuyaona maelezo ya uraia wa Carine Wangwe
ni raia wa Tanzania kwa kuzaliwa?
au ni raia kwa kuomba uraia?
hakuwahi kuwa mganda?
Ni raia wa kuasilishwa, na ana haki zote za kikatiba za Mtanzania kwani Tanzania hatuna madaraja ya raia.

Marekani imefanikiwa sana kwa kuwachukua raia wa nchi za nje wenye talent na kuwapa uraia. Huyu Dr. ana Ph. D nzuri, hawezi kukosa kazi nzuri ya kimataifa na uraia akitaka, ila kaona Tanzania ni kwao, kaolewa hapa, kazaa hapa. Hata asingekuwa hivyo mimi nisingepata tatizo kumtaka awe Mtanzania.

Lakini kwa sababu watu tunapenda xenophobia isiyo mantiki, utaambiwa si Mtanzania.
 
image.png
Kumbe kaolewa na mmalawi.....!!
Isijekuwa nae ni wa hukohuko
@Elungata,Kanyama Chiume ni mmalawi,lkn akiwa mtoto mdogo Mama yake alifariki,Mjomba wake aliyekuwa anaishi Morogoro akamchukua toka Malawi na kuishi nae Moro...Kanyama alisoma Shule ya Msingi Uhuru Dsm,huyu ni mwanadarasa wa mmoja wa kina Sykes,lkn pia amesoma na Kawawa hapahapa Tanganyika,Amesoma Tabora School na Dodoma Alliance(Mazengo)
Baadae akaja kuwa mwandishi wa gazeti la Daily News,Uhuru na Mzalendo akiwa na Mkapa..baada ya Uhuru Kamzu Banda alimuita na kumpa Wizara ya Mashauriano ya Kigeni,alikuja kupingana na Kamzu kuhusu msimamo wa Kamzu kuwa na ushirikiano na Makaburu na Wareno wa Msumbiji,akawa Exiled na kuja kuishi Tz...baadae akaenda US kuishi na familia,alifariki mwaka 2007 na kurudishwa kwao Malawi...Kanyama Chiume ni mwanamajumui wa Africa(Pan Africanist),mtoto wa Afrika,aliyekuwa "Mtanzania" wa kuishi na kusoma,na watoto wake wote aliwazalia Tanzania...Eunice ni mtoto wa Upanga,ameolewa na mtoto wa Kanyama Chiume na hivyo kuwa Mrs Chiume.
 
What difference does that make, kuzaliwa au kuomba? Ni mtanzania.

Unajiita hekima kwanza na hekima hauna
nilipotaka maelezo nilijua nataka kujua nini ndo maana nika specify kabisa
nipate maelezo ya kutosha
wewe sio kazi yako kunifundisha tofauti ya uraia wa kuzaliwa au wa kuomba
ungetoa maelezo au ungenyamaza
 
MMGL0274.jpg

Huyu mama ndio mkurugenzi wa Mawasiliano wa shirika la NSSF. Huyu miaka yote amekuwa mwoga wa kujitokeza kujibu hoja mbali mbali zinzohusu shirika hili kwa waandishi wa habari na umma kwa ujumla.

Lakini wiki iliyopita kwa spidi ya ajabu kabisa, kwa kushirikiana na waziri wa Kazi na Ajira, Jenista Mhagama alijotokeza kutangazia dunia kupitia mitandao kama vile Whatsapp, facebook, twitter, instagram, viber,google+, na vizingnezo uteuzi tata wa raia wa Uganda (DR CARINA) kuwa kaimu mkurugenzi mkuu wa shirika la hifadhi la NSSF.

Cha ajabu ni kuwa masaa 4 baada ya Jamiiforums kujulisha dunia kuwa huyu aliyepewa hiyo nafasi si mTanzania na ku challenge Waziri Mhagama na watu wake waonyeshe ushaidi kuwa ni mTanzania ilibidi wizara itoe Tamko la kuondoa uteuzi wake

Na ajabu zaidi ni kuwa huyu huyu Mama (Eunice Chiume), amekuwa kimya kwani:

Hajatoa taarifa yoyote ile kwa wanachama, umma na dunia kwa ujumla juu ya kutenguliwa kwa uteuzi wa Dr (MGANDA) Carina.

Sasa inamaana huyu Eunice Chiume anafanya kusudi au hataki kuujulisha umma na wanachama wa NSSF kinachoendelea kwenye hilo shirika au kuna siri gani ambayo hataki tujue au naye anasubiri maelekezo toka kwa Magori?
hivi kumbe kuna wakirsto pale NSSF? mimi nilifikiri ni waislam tu maana Dr. Dau aliajiri waislam peke yao? au huyo kaajiriwa hivi karibuni baada ya Dr. Dau kuondolewa pale NSSF?
 
Ni raia wa kuasilishwa, na ana haki zote za kikatiba za Mtanzania kwani Tanzania hatuna madaraja ya raia.

Marekani imefanikiwa sana kwa kuwachukua raia wa nchi za nje wenye talent na kuwapa uraia. Huyu Dr. ana Ph. D nzuri, hawezi kukosa kazi nzuri ya kimataifa na uraia akitaka, ila kaona Tanzania ni kwao, kaolewa hapa, kazaa hapa. Hata asingekuwa hivyo mimi nisingepata tatizo kumtaka awe Mtanzania.

Lakini kwa sababu watu tunapenda xenophobia isiyo mantiki, utaambiwa si Mtanzania.

Sifahamu vizuri sheria za uraia
lakini nafikiri kwa nafasi ya Urais ni lazima awe Raia wa kuzaliwa
kama ni hivyo inawezekana madaraja ya uraia yapo?

Kuhusu huyo mama nafikiri aliekosea ni Jenista Mhagama kutengua uteuzi kwa
presha za mitandao kumbe wakati huyo mama ni raia na kwa nafasi hiyo hakuna shida...
nakumbuka kuna mbunge Premji wa kigoma aliwahi kupambana hadi mahakamani
na akarudi kuwa mbunge....
 
Tanzania sifikiri kwamba ili kuwa rais ninlazima uwe raia wa kuzaliwa. Nyerere hakuzaliwa Tanzania. Ditto Mwinyi.

Kuhusu uteuzi kutengukiwa, kwanza hatujui kama uteuzi umetengukiwa kwa sababu ya uraia au habari za mitandao, serikali ina resources zaidi ya mitandao, kama mawaziri wanafanya kazi kwa mitandao tatizo letu kubwa kuliko nilivyofikiri.

Pili, nashujuru umeona tatizo kwa wateuzi huko.

Nashangaa wanaomshikia bango mtangazaji wa uteuzi wakati mteuzi wanamuachia.

Kama mteuzi anajikanyaga na hajatoa habari, huyu Eunice Chiume ambaye ni mtangazaji tu, atangaze nini sasa?
 
Bwana Ametoa

Bwana Ametwaa

Lakini kazi zinatakiwa ziendelee kama kawaida na ndio maana ofisi zina wafanyakazi na kuna wanaokaimu hizo nafasi. Unataka kuniambia kuwa NSSF hakuna mtu mwingine anayeweza kutoa press release kutujulisha sisi wanachama kinachoendelea?
Mbona haueleweki? umetoa malalaniko kwa mtu binafsi na sio kurugenzi ya habari, umeambiwa sababu ya kutokufanya hivyo unahamisha mada, mna personal conflicts labda
 
Maelezo ya SSRA siwezi kuyawapa seriousness ya aina yoyote ile

Mimi ningependelea kuona Mkurugenzi wa Uhamiaji wakitoa maelezo na vielelezo na sio hizi ngonjera wanazotuletea.

Pia huyu Dr. Carina hata kama ni mTanzania she will still remain a PLASTIC TANZANIAN and not otherwise na kumpa wadhifa huo waliompa ni tatizo kubwa sana
Nakubaliana na we we mkuu
 
Hakuna bwana wala kitwana.

Sasa mbona unamshikia bango mtu badala ya ofisi?

Kama Eunice yupo msibani, kwa nini usiwaulize walioko ofisini?
Mkuu, watu wengi wamegundua kuwa serikali inayafuatilia maoni yao kwenye mitandao, wakifuatiiloa trend za kina sefue zinawapa mizuka, tutaona mengi.
 
Back
Top Bottom