joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 16,064
- 33,615
Naona una assume we unazani Russia hana solution ya kutatua changamoto zake, hivi hushajiuliza kwanini nchi nyingi kwenye sakata hili hawaja chagua upande na wapo tayari kufanya biashara na Russia.Vikwazo vitaiumiza EU kwa kiasi fulani ila vitaiumiza Russia zaidi long-term. Kusema kuwa vikwazo havitoiumiza kabisa Russia si kweli.
Russia inahitaji kuuza nje hasa nishati ambapo mteja wake mkuu ni EU. Inahitaji mapato kutokana na mauzo hayo kwaajili ya kuendesha nchi kiuchumi. Hata hiyo issue ya "kununua gesi kwa hela yake" ambayo ilizua mjadala mwanzoni, haipo tena kwa sasa sababu itakwamisha mapato. Utaratibu wa sarafu ni uleule wa awali wa euro.