johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,965
- 141,968
Nimesoma nyuzi na comment nyingi humu jukwaani zinazodai wapiga dili wamerudi.
Ndio nauliza hao wapiga dili walitoka CCM na kujiunga na upinzani au walikwenda wapi?
Hao mnaowaita wapiga dili ndio kwenye uchaguzi mkuu wa wabunge wamepita bila kupingwa.
Ndio hao wanaoongoza kamati nyeti za bunge.
Sasa wamerudi kutoka wapi?