Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,333
- 17,873
Najua mgogoro utaisha muda si mrefu.
:cheer2::cheer2:
Najua mgogoro utaisha muda si mrefu.
Unamaanisha nn? sijakuelewa au 0713?
Hapo ndo panahusu mwaJ,,,,maana nikifikiria kwa mapana napata picha kwamba kadi ipo kwenye gari na moyoni pia, asante kwa kunitunzia mwaliko wangu hadi nitakapokuja kuuchukua, mgogoro wa mpaka ukiisha kati yetu na malawi
namaanisha wasichana ck iz mavazi yanawabana sana kiasi kwamba km na makalio ni makubwa kidogo jumlisha mabno wanaume mate hututokA!,apo chitin nje nje mama!
Mkuu Mtambuzi.
kuna aina mbili tu ya wanaume wataeweza kukwambia hayo:-
1.Mwanamme mjinga kuliko wote .
2.Mwanaume ambae anampago wa kukuacha (na anakupa misamiati hapo).
Kama mwanaume anakupenda kweli atafanya kila awezalo ndani ya uwezo wake
kukufanya uwe " comfortable" na kama atakwambia maisha yake hapo zamani za kale
Hayatakuwa na details nyingi sana. (kama ulivyoeleza hapo juu.)
kwa mwanaume wa hivyo
mi ntachukulia ananiambia mama funga virago kabla sijaku "exchange" mwehhh balaa sitaki.
Hivi mwaJ ndo umeshaolewa..
Msiri wangu Kaizer habari za kupotea? Wazee walishindwa kukataa ng'ombe za mkurya Mwita Maranya. Tulikutafuta sana uje kwenye harusi hukupatikana! Card ya mualiko tunatembea nayo kwenye gari mpaka leo!
Hapo ndo panahusu mwaJ,,,,maana nikifikiria kwa mapana napata picha kwamba kadi ipo kwenye gari na moyoni pia, asante kwa kunitunzia mwaliko wangu hadi nitakapokuja kuuchukua, mgogoro wa mpaka ukiisha kati yetu na malawi
Najua mgogoro utaisha muda si mrefu.
:cheer2::cheer2:
mkuu kwema? msema kweli rafiki ya Mungu, adui ya ccm hiyo Avantar yako kila nikiiona hasa siku za ijumaa na jmosi inaniletea kiu kweli mkuu
we Mwajuma (mwaJ) Tata mwita anajua kuwa kaiza ndio msiri wako?? Mkuu Kaiza angalia wakurya wana wivu wasije kukukata viungo... mi nilishawahi kuhama nyumba kabla kodi haijaisha.
Kaizer hapa naona kuna watu inabidi wapewe maelezo ili waache kupiga kelel na kulalamika. Hawajui maana ya neno "msiri" hawa!Guys i'm closely watching you!!
Sasa mkuu Kaizer unataka kuniambia dadangu wa ukwe'e AshaDii hajapita mtaa huu aone unavyotaka kumvuruga my swiri mwaJ!!? Chagua mwenyewe kipi chepesi, nikushtakie ama nichukue hatua mwenyewe?
Ndugu yangu Jiwe Linaloishi bora umempa tahadhari Kaizer ili huko mbele ya safari tusije tukalaumiana, ohooooo...!!!
namaanisha wasichana ck iz mavazi yanawabana sana kiasi kwamba km na makalio ni makubwa kidogo jumlisha mabno wanaume mate hututokA!,apo chitin nje nje mama!
Kaizer hapa naona kuna watu inabidi wapewe maelezo ili waache kupiga kelel na kulalamika. Hawajui maana ya neno "msiri" hawa!
mmmmmhhhh asanteeee
hiyo kaliWapenzi wakiwa katika shughuli ,jamaa alimuuliza wife wake Hivi honey kabla yangu ulikua na wanawake wangapi ?wife hajajibu! jamaa akarudia tena wife hajajibu! jamaa akaanza kulalama kwamba wife unanidharau basi wife akasema ndio nilikua nawahesabu nimefika 56 umenivuruga ngaoja nianze upya. jamaa akazimia alipozinduka akajikuta icu "ukiwa kwenye mahusiano jaribu kuwa na uaminifu kwamba ni ukurasa mpya vinginevyo ni shida"
Jiwe Linaloishi wala wala usihofu! Kama alikuwa hajui ndio inabidi ajue sasa! Mimi na Kaizer tumetoka mbali, siri zake zangu siri zangu zake hata wakeze gfsonwin na AshaDii wanalijua hilo. Sasa Mwita Maranya akitaka kumfahamu mkewe vizuri bora awe na urafiki Kaizer! Halafu wewe Jiwe unaonekana mchonganishi sana!mkuu kwema? msema kweli rafiki ya Mungu, adui ya ccm hiyo Avantar yako kila nikiiona hasa siku za ijumaa na jmosi inaniletea kiu kweli mkuu
we Mwajuma (mwaJ) Tata mwita anajua kuwa kaiza ndio msiri wako?? Mkuu Kaiza angalia wakurya wana wivu wasije kukukata viungo... mi nilishawahi kuhama nyumba kabla kodi haijaisha.
kwikwiwkwiwi na maelezo yenyewe uje unipe huku Pm siyo hapa uwanjani........ au uwahi Kebbys kabla white patty haijanza unieleze vizuri
Huyu mwaJ ni yule alonikataa?Kama ndiye hongera sana Mwita Maranya. Mwambie kuna mwanaume anampenda! Mke wangu jeneneke nina mwezi wa nne cjuhi alipo!
Huyu mwaJ ni yule alonikataa?Kama ndiye hongera sana Mwita Maranya. Mwambie kuna mwanaume anampenda! Mke wangu jeneneke nina mwezi wa nne cjuhi alipo!
hahahah mbona umeguna?? siku hizi vijana wanasema ni kujilipua...... unamtesa kwa remote kaazi kwelikweli
btw hongeraaaa