Eti wanaume huwa hawaonji mara moja...!

Eti wanaume huwa hawaonji mara moja...!

Aliachana au aliachwa? Fafanua pls kwani hiyo ni muhimu sana; na inaweza kutupa picha kuwa alimpenda KWELI au aliFIKIRI anampenda.

Nina assume aliachwa na huyo mdada baada ya kusalitiwa.

haya anavyonisimulia hayo, na kutoonesha kutojuta ina maana 2 na naweza chagua nini cha kuamini inategemea ameuteka moyo wangu kiasi gani.
1. Hajutii mahusiano yake yote ya nyuma coz yuko na mimi and he is happy with me; na naweza chukulia cheating yake ilikuwa ni searching for something missing ambacho amekuja pata kwangu at last. AU
2. He is a self centered cheating bast.rd ambaye hajali feelings za wengine na hafai kuwa na mimi. (hii conclusion itakuwa supported na matendo yake na jinsi anavyonitreat na hata ile ya juu pia inakuwa supported and how he is now)

good analysis. Mapenzi sio kama hesabu kuwa jawabu liwe moja tu. Kuna mambo mengi ya kuangalia kabla ya kufanya maamuzi.
 
kwikwiwkwiwi na maelezo yenyewe uje unipe huku Pm siyo hapa uwanjani........ au uwahi Kebbys kabla white patty haijanza unieleze vizuri

hahahaha Jiwe Linaloishi leo ni jumangapi? halafu tartiib naona na wewe ni mdau, ulikosea sana kuhama nyumba kabla kodi haijaisha
mwaJ msiri wangu umeshawafafanulia hawa maana ya kuwa 'msiri' wa mwenzio?
 
Last edited by a moderator:
daaahhhhh kuna mambo mengine majibu yake magumu sana kuyapata.
ni kushukuru tu na kupita ..

dahhhh na hii hongera uliyonipa sasa mmmmhhhh .
asante hahahahaha lolz

hahhahaha kupendwa si mchezo wengine wanaenda kuogo na kuvunja nazi njia panda ili watamkiwe hivyo...
any way cha msingi ni hiyo sinature yako (life goes on.....) i like it
 
hahahaha Jiwe Linaloishi leo ni jumangapi? halafu tartiib naona na wewe ni mdau, ulikosea sana kuhama nyumba kabla kodi haijaisha
mwaJ msiri wangu umeshawafafanulia hawa maana ya kuwa 'msiri' wa mwenzio?

hhahahaha hapana mkuu kuhama ilinilazimu kwani mwenye mali alikuwa mkurya kaenda hewani halafu mbavu nene nikajua kuwa akinikamata patachimbika na mi najua mbio tu nikaona salama yangu ni kusepa kuliko kubaki jiwe masalia
 
Haufai hata kidogo! Wewe cheza tu kidedea kuna siku na mie nitakupata wakati nishapiga sigara kubwa! Halafu hutoki kwenye huu uzi?

hahahah sifai kwa kukaanga, kuchemsha au chukuchuku?? Tata Mwita ashakuharibu hadi sigara kubwa unagonga... itabidi unione kwa maombi...
 
hahahah sifai kwa kukaanga, kuchemsha au chukuchuku?? Tata Mwita ashakuharibu hadi sigara kubwa unagonga... itabidi unione kwa maombi...

Ha ha ha haaaaa! Jiwe Linaloishi umebadilika kutoka kwenye unyau nyau kuwa hendisamu boi wa kizungu! Ila bado haufai kwa chumvi wala sukari! Kuliko niombewe na wewe bora nikaabudu ng'ombe! Mwita Maranya haniharibu ananifundisha mila za kikurya.
 
hahahaha si unajua sisi kule kwetu wazungu waliacha mbegu... sisi ndio masalia japo nywele kipilipili

Maombi yangu ya ukweli.. siyo yale ya "nipeni mlivyo navyo vyote, kisha ombeni mtapewa" heri wanaoamini bila kuona kuliko mnaosubiri kuona ndio muamini.

hizo mila la kikurya za kutoana kisusio ndio uonekane anakupenda utatoka huko na sura kama komba mwiko oohh shaurilo.
 
Jamani my love Ronn M mzima mpenzi?nilikumisije!nimeingia humu naogopa usikute ulishatangaza kusudia nashukuru umekuwa mvumilivu na kuzingatia kiapo

Umemkagua jeneneke ukajua kuwa kijana Ronn M hakuchakachua? Maana naona bado jinamizi la msiri wangu mwaJ linamwandama tu
 
Last edited by a moderator:
hhahahaha hapana mkuu kuhama ilinilazimu kwani mwenye mali alikuwa mkurya kaenda hewani halafu mbavu nene nikajua kuwa akinikamata patachimbika na mi najua mbio tu nikaona salama yangu ni kusepa kuliko kubaki jiwe masalia

KAzi ipo Jiwe Linaloishi, aka livingStone
 
Last edited by a moderator:
hahahaha si unajua sisi kule kwetu wazungu waliacha mbegu... sisi ndio masalia japo nywele kipilipili

Maombi yangu ya ukweli.. siyo yale ya "nipeni mlivyo navyo vyote, kisha ombeni mtapewa" heri wanaoamini bila kuona kuliko mnaosubiri kuona ndio muamini.

hizo mila la kikurya za kutoana kisusio ndio uonekane anakupenda utatoka huko na sura kama komba mwiko oohh shaurilo.

Kwi kwi kwi kwiiiiiii! Natumaini Mwita hatoisoma hii!
 
Utakuwa umemwekea limbwata labda

hahaha wanaume wa kiafrika bwana!yani mwanaume akiwa mwaminifu kwa penzi ni limbwata?!limbwata langu kwa Ronn M ni penzi la dhati lenye attributes zote na sala muulize hata mama gfsonwin ninavomhandle mwanae atakwambia ananaikubali
 
Last edited by a moderator:
ntajuaje na we ulikaa mbali wakati wa doa yetu ulisikiliza maneno ya Baba V lakini basi shetani kashindwa.shikamoo.una wasi wasi kwamba atakuwa amechukua tabia zako?hapana Baba Kaizer tulipooana tuliomba na kuvunja yote mabaya ya koo zetu yasingiie kwenye familia yetu na ndivyo ilivyo.
 
Last edited by a moderator:
Umemkagua jeneneke ukajua kuwa kijana Ronn M hakuchakachua? Maana naona bado jinamizi la msiri wangu mwaJ linamwandama tu
Mimi nimekuwa mwaminifu! mwaJ nilimpenda lakini akanitolea nje! Nimetulia na wangu jeneneke! Hata akiondoka mwaka akirudi atanikuta salama! Mama yangu gfsonwin kanifunza kuwa mwaminifu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom